Phlagiey
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,499
- 1,687
Usinilishe maneno kijana
Jibu hoja kwanini picha ya jk pale ajilegeze hivo wakati ni Chief wa Makamanda?
Leta hoja za maana utajibiwa lakini sio hizi za kitoto na sijui kujilegeza ni nini?
Na umetumia kipimo gani kujua hilo la kujilegeza?
Usitake tuongeze page kwa kubishana kwa hayo mambo yako ya kitoto unayo yaita hoja.