Kuna Mwanaharakati mmoja aliwahi kuniambia, kinachomuweka Slaa pale CHADEMA ni ruzuku, ukitaka kujua Slaa ana hasira, tishia kuzuia ruzuku!
DR SLAA NDIYE MTU MAARUFU ZAIDI east and central africa kwa hivi sasa , KWA HIYO HAO WAJERUMANI HAWAJANISHANGAZA KABISA .
wewe gamba tulia!!
Kuna Mwanaharakati mmoja aliwahi kuniambia, kinachomuweka Slaa pale CHADEMA ni ruzuku, ukitaka kujua Slaa ana hasira, tishia kuzuia ruzuku!
We kweli choo,cdm iliasisiwa na ikasavive bila ruzuku kwa miaka mingi sembuse sasa ambapo kina wanachama kibao tz? tunaweza kukichangia hata buk 1@mwanachama na kikaendelea na kazi zake! acha kufananisha cdm na maccm ambayo yana ruzuku kubwa+majengo,viwanja yalivyopora kwa umma wa watz lakn bado yanalia njaa!
nafkiri huu ni ushahidi kuwa ccm ni chama butu.kama mlikuwanaye miaka hiyo hakun'gara mpaka pale alipojiunga na cdm,basi cdm ni timu inayojua kumtumia mchezaji.hivi dr. Aliondoka ccm lini? Yaani amezeeka ndiyo anang`ara, siku zote alikuwa wapi??????? Namuonea huruma kwan urais atausikilizia ndotoni
Dr Slaa anapenda sana kusafiri. Hivi hizo hela za safari za kila siku si bora
zipelekwe sehemu nyingine. Wana cdm kataeni hizi ziara.
rais wako na mwenyekiti wa chama chako anayechuana na obasanjo kasafiri mara ngapi vile mpaka akahitwa aka fast jet?Dr Slaa anapenda sana kusafiri. Hivi hizo hela za safari za kila siku si bora
zipelekwe sehemu nyingine. Wana cdm kataeni hizi ziara.
Wewe unaonyesha dhahiri kuwa ni mmoja wapo wa misukule ya pale lumumba. poor you.
QUOTE=Mandla Jr.;8381238]Dr Slaa anapenda sana kusafiri. Hivi hizo hela za safari za kila siku si bora
zipelekwe sehemu nyingine. Wana cdm kataeni hizi ziara.
Dr Slaa anapenda sana kusafiri. Hivi hizo hela za safari za kila siku si bora
zipelekwe sehemu nyingine. Wana cdm kataeni hizi ziara.
M4c iboreshwe! Kuanzia mwezi wa 10 uchaguzi wa serikali za mitaa! Dr. Slaa apange timu mapema!
Slaa keshajichokea zake, hata yeye anashangaa inakuwaje mnampa sifa ambazo hana.
kachukue bk7.na leo kikwete day unywe viroba