kwa maneno haya chadema inasafri ndefu inabidi ijitafakari kama wanachama ambao mbowe anasema atapata mamilioni inabidi ajitafakari sana
Si wote wanaomtukana Dr. Slaa ni wanachadema. Wengine ni watu wa kitengo ili waonekane wanaCDM hawana shukrani. Kwa hiyo suala hili linatakiwa liache kufanyiwa kampeni ili muda ukifika Dr. Slaa ataweka wazi kama alivyosema.
natangaza rasmi kukudharau kabisa kwa kipindi chako chote kilichosalia hapa duniani .We umeona wapi mgeni anakaribishwa nyumbani anaingia mpaka chumbani na kukabidhiwa familia aiongoze? Lowasa sasa hivi ndio kiongozi mkuu wa Chadema,, Akina Mbowe hawana chao tena wanasubiri maelekezo kutoka kwa Lowasa
Wanajf na hasa wanachadema wenzangu tuwe makini sana na maandishi yetu hapa jukwaani kuhusu huu ukimya wa DR SLAA , tafadhalini sana , DR ni kiongozi mkubwa sana anastahili kuheshimiwa , wale wenye uchungu na cdm na tunaofahamu tulipotoka hatuwezi kumkashifu huyu mtu , kwa lipi hasa ? acheni kabisa jambo hilo, sikupenda kuandika jambo hili maana linaweza kuendeleza malumbano zaidi lakini nimelazimika kuliweka kama angalizo .

Mkuu umeongea point sana
mkuu uko sahii kabisa wanaomtukana ni pro lowasa ambao hawajaonja machungu ya Kuwa cdm
Hao wageni waliokuja na Lowasa ndo wanamtusi!!
nyie mtakuwa wapuuzi kweli kweli, hivi akina mungi ndo wageni walikuja na lowasa? akina rockspider? acheni ujinga. fuateni ushauri wa red blood cell hapo juu.
mkuu uko sahii kabisa wanaomtukana ni pro lowasa ambao hawajaonja machungu ya Kuwa cdm
Nasikia ccm kumebaki na mapengo kama mahindi yaliyoliwa na fuko
Tunafahamu tulipotoka, tumetoka nae wapi, C.C.M?anastahili kuheshimiwa , wale wenye uchungu na cdm na tunaofahamu tulipotoka hatuwezi kumkashifu huyu mtu , kwa lipi hasa ?