Dr. Slaa anafanya kazi kupitiliza!

Mie nadhani Slaa afanyi kazi kupitiliza kama anavyosema muanzisha hii thread, wengine wanasema kaamua kujitolea...Slaa anafanya kazi analipwa Milioni 7.5 kwa mwezi muacheni afanye kazi.
Wewe ulitaka afanye bure inamaana hata Kama mtu analipwa hachoki? Kuna watu wanalipwa mpaka million 25 na hawafanyi kazi Kama yeye
 
Stop thinking that way wewe hata mtumishi unayemnyonya unahitaji aishi na awe na afya njema ili akutumukie zaidi na uweze kumnyonya zaidi.itakuwaje kwa mtu kama huyo anyewatumikia wananchi?
 
kwa kipindi nilichomfahamu dr slaa kama mbunge na baadae mgombea uraisi nikiri kuwa mwonekano wake umebadilika sana.dr.slaa amepungua sana yaani amekonda mno isipokuwa ubongo wake ndio haujakonda kwani bado akisimama jukwaani anatema cheche kama kawaida.

Amepima?
 
Mambo mengi yanaweza kuwa yamechangia mfano umri lakini nionavyo mimi cdm wanamtumia sana huyu mzee wa watu kwa kiwango ambacho nahisi hakizingatii wala kutambua hitaji la mzee huyu kupumzika na kujenga afya yake.dr slaa yupo kila mahali kwa kila kitu.iwe mkutano iwe oparesheni iwe kupokea wanachama na hata mikutano ya waandishi wa habari.anazunguka mikoani kwenye mikutano isiyokwisha.anashiriki mikutano ya ndani na kufungua matawi.ndiyo nakubali huyo ni katibu mkuu lakini kiukweli nahisi dr slaa anachoshwa na kuzeeshwa zaidi na shughuli hizo.

cdm wanapaswa kuinua na kuwafunda makada vijana waende huko mkioani kukomaa na ccm ana wapambe wao na sio kumwacha dr.slaa akihangaika kama hakuna vijana.ni muda wa heche na viongozi wenzie wa bavicha kuacha malumbano ya kwenye magazeti na kujikita katika ujenzi wa chama mikoani.kazi hizo wapewe kina lema ,lissu mbowe zitto nassari na wengine ambao bado ni vijana wadogo.

kama kweli cdm mnamuhuitaji slaa katika mipango yenu ya baadaye,huu ni muda wa kutafakari namna ya kuutumia uwezo na kipaji alichopewa na mungu .

Nawasilisha.

Jamani vitambi sio afya Kama unavyofikiri,ule ni ugonjwa.
 
Seif al islam,
Mkuu unataka Dr. Slaa awe na mwonekano kama wa mkaahapa au Komba?
Mwacheni Dr wa watu achanje mbuga ndo ku maintain figure. Hata mwalimu alichanja mbuga sana kuwaunganisha wadanganyika wawe wamoja bila kujali ukabila wao wala imani zao.
Dr. Slaa atatuachia historia nzuri kwa faida ya vizazi vijavyo.
 
Last edited by a moderator:
naona agenda ya siri nyuma ya ushauri huu ambao ni mzuri,,,ni vyema waka angalia upya ratiba yake,,,,,,ageda,,,,,,,,2015 sio mbali tokea sasa,dr slaa anatakiwa alinde kura za chama na kuziongeza,,,,,,,,rejea cuf igunga ,,, na cdm meru east ,,,then chaguzi kuu,,nccr,,,cuf,,,tlp,,na udp,,nafikiri ili kumentain na ku advance,,,na kutoisha kisiasa,,,wenye malengo ya kugombea wasingependa kumuona,,anamentain,,kuna strategies ktkt ya ushauri huu,,,,,,s,,,,,ni mtazamo tu,
 
ritz, Dr. Slaa kama katibu mkuu wa chama ana descriptions zake ambazo anatakiwa azi implement. Kazi anayofanya Dr. Slaa ni kazi anayotakiwa kufanya kila mwanachadema regardles of his/her position in the party. CHADEMA kama chama kinachojiandaa kuchukua utawala wa nchi ni lazima kila mwanachama na mpenda mabadiliko mwenye dhamira njema na Tanzania ku play their part.
Mie nadhani Slaa afanyi kazi kupitiliza kama anavyosema muanzisha hii thread, wengine wanasema kaamua kujitolea...Slaa anafanya kazi analipwa Milioni 7.5 kwa mwezi muacheni afanye kazi.
 
Last edited by a moderator:
Usiwe na wasiwasi anakula kwa kipimo yule si kama hao MAFISADI wengine wanaotafuna kila kinachopita mbele yao. Ulivyosema ni sahihi kabisa; ni bora Dr Slaa akili yake iendelee kutema cheche zaidi na zaidi kuliko tumbo la Mhe yule muimba kwaya kuchukua nafasi zaidi kama kibadala vile.

Na kweli maana huyu mwimba kwaya ukimsimamisha na pipa la gongo hawawezi kutofautiana!
 
Tanzania tumezoea kuona vitambi na sasa tunaanza kuamini kama hauna muonekano wa ki-John Komba basi wewe si mzima! Tatizo la unene ni kubwa sana hasa kwa viongozi wetu. Angalia vigogo wa polisi, wanahema kwa tabu tupu na siku zote naamini, if you cannot control how much goes into your stomach then you cannot control a lot of things. Just think about it.

Kweli wanaoukula rushwa na wezi ndo wanaongoza kwa mavitambia ya ajabu ajabu
 
Tanzania tumezoea kuona vitambi na sasa tunaanza kuamini kama hauna muonekano wa ki-John Komba basi wewe si mzima! Tatizo la unene ni kubwa sana hasa kwa viongozi wetu. Angalia vigogo wa polisi, wanahema kwa tabu tupu na siku zote naamini, if you cannot control how much goes into your stomach then you cannot control a lot of things. Just think about it.

Kweli wanaoukula rushwa na wezi ndo wanaongoza kwa mavitambia ya ajabu ajabu maana mapolice kwa rushwa utadhani pumzi na binadamu
 
Mie nadhani Slaa afanyi kazi kupitiliza kama anavyosema muanzisha hii thread, wengine wanasema kaamua kujitolea...Slaa anafanya kazi analipwa Milioni 7.5 kwa mwezi muacheni afanye kazi.

ritz, Mukama analipwa kiasi gani, do you know?
 
Ni muhimu tukajiridhisha kwamba anaweza kufanya kazi masaa yote, Urais si mchezo, muhimu asiwe na wazo la kuja kujilipa nae akawa FISADI.
 
Hiyo ndiyo CHADEMA. Angalia sekretarit yake wote hamna mambo ya vitambi. Mtazame Mnyika, Komu, Lwakatare, kigaila, Mtemelwa, no time to fatten oneself.:A S-baby:
 
Mi kwa mtazamo wangu ule mkono unachangia sana kumpa DR.Slaa frastrations. Kama kuna uwezekano aw kufanyika harambee akatibiwe plz tunaomba tumsaidie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom