Dr. Slaa Anafaa Kuwa Rais


a twit at work!
 
Kamwe Dr Slaa hatugusa ikulu.
 
kama wewe umeolewa, wengine tunaoa hatuolewi

sasa mbona inaonekana una ashki za kike au wewe ni shoga? hebu jipambanue vizuri tukuelewe. kama unaona aibu kujieleza, hebu jipige picha makalioni utupie hapa tuone kama wewe ni shoga mzoefu au kama ndio unaanza.
 
Bavicha bwana ina maana mmesahau kinacho mfanya hadi saaa asifunge ndoa? Slaa ana case mahakamani mtafute umuulize.

Kesi mlipeleka nyie mkiogopa kipigo cha Dr slaa ili kuwaondoa wananchi kwenye kampeni wajikite kwenye huo uhuni. Ccm jipangeni upya mbinu zenu zote Dr slaa anazo.
 
Dr Slaa alistaafishwa kanisani kwa manufaa ya kanisa.Kwa hiyo hafai kokote kama hata kanisa walishindwa na tabia za kikware za huyu babu

kwa hiyo unamuonea wivu josephine? ulitaka ukabanduliwe wewe? umedoda wewe nungaembe!
 
sasa mbona inaonekana una ashki za kike au wewe ni shoga? hebu jipambanue vizuri tukuelewe. kama unaona aibu kujieleza, hebu jipige picha makalioni utupie hapa tuone kama wewe ni shoga mzoefu au kama ndio unaanza.

tabia uliyo nayo usiwasimulie wenzio upunguani unaofanyaga
 
Atawaongoza wambulu wenzie kwa Tanzania Zitto ndio anafaa kuwa rais ila chadema mnamuwekea kauzibe tu!!!RIP Chadema mwaka huu:rip:
 

Huu upuuzi wa kusema chaguo la mungu tuachane nao mwaka huu wewe kama mtu unampenda sema unampenda sio kumsingizia mungu mtu mwenyewe anaonekana mjanja mjanja wa mjini tu
 
No one like Dr Slaa!

Wezi wa Mali za umma pekee ndio wanaomuogopa Dr Slaa!
 
Hii imechuja kajipange upya Mingoi! Watanzania wanataka mabadiliko, wasipoyaona ndani ya ccm watayafafuta nje ya ccm (Mwalimu Nyerere)

Watanzania walikuwa wanaishi kwa kueshimiana kabla Slaa ajaiba mke,yeye kama kioo cha jamii kwa wengi walivyotegemea amegeuka kuwa mfano mbaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…