Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,468
Labda mwaka huu ila kama hatokutwa tena na kashfa ya kudowea wake za watu
Akili za kuambiwa changanya na za mumeoLabda mwaka huu ila kama hatokutwa tena na kashfa ya kudowea wake za watu
Akili za kuambiwa changanya na za mumeo
kama wewe umeolewa, wengine tunaoa hatuolewi
Sina muda wa kushindana na mwehu
Wakuu,
Ni siku chache zimebaki watanzania tutakapopiga kura kuchagua viongozi wetu ( wawe watu au chama!)
Ni wazi, kwa sasa kila mtanzania mwenye haki ya kupiga kura atakuwa ameshasikiliza sera za vyama mbali mbali katika kampeni zinazoendelea kwa sasa.
Baada ya kusikiliza kampeni za vyama mbali mbali, binafsi nimeona kwamba Dr Slaa anafaa kuwa rais wa nchi yetu.
Pengine mkuu yeyote anaweza kuniuliza ni kwanini. Majibu yako mengi lakini hasa; Dr Slaa-
Kutokana na hayo, Dr WS anafaa kuwa raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania baada ya uchaguzi mkuu wa tarehe 31 oktoba, 2010.
- Ni mjasiri anayetetea maslahi ya taifa (sote tumeshuhudia bungeni).
- Anatoa matumaini kwa watanzania walio wengi kupitia sera ya elimu bure.
- anaahidi vitu vinavyotekelezeka, mfano kupunguza kodi ya vifaa vya ujenzi.
- Tunamuamini tunamhitaji.
- Ongezea...!
Mungu ibariki Afrika! Mungu ibariki Tanzania!
nawasilisha!!!
Ushindi mwaka huu ni lazima hauna upinzani
kama wewe umeolewa, wengine tunaoa hatuolewi
halafu mwehu mkubwa ni yule anayem quote mtu na kuandika uenza wazimu wake
Njaa ya watanzania Ndiyo inayompa kiburi Lowasa. mwizi ni mwizi tu hata kama akiungama kwa papa. mtajuta watanzania. Najua Dr Slaa akishaingia ikulu cha kwanza anawafunga wezi wote wakiwemo waliotoa m 10 za mboga
Wewe ni kinyesi kibichi..
Labda kama rais wa chama cha wacheza bao.
Dr. P. W slaa atosha...mungu tusaidie
Lakini si unaijua adhabu ya mtu alieba mke wa mtu?
Mungu yupi anaewalelea wazinzi?