Dr. Slaa Anafaa Kuwa Rais | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr. Slaa Anafaa Kuwa Rais

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by minda, Oct 22, 2010.

 1. minda

  minda JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Wakuu,
  Ni siku chache zimebaki watanzania tutakapopiga kura kuchagua viongozi wetu ( wawe watu au chama!)
  Ni wazi, kwa sasa kila mtanzania mwenye haki ya kupiga kura atakuwa ameshasikiliza sera za vyama mbali mbali katika kampeni zinazoendelea kwa sasa.
  Baada ya kusikiliza kampeni za vyama mbali mbali, binafsi nimeona kwamba Dr Slaa anafaa kuwa rais wa nchi yetu.
  Pengine mkuu yeyote anaweza kuniuliza ni kwanini. Majibu yako mengi lakini hasa; Dr Slaa-
  • Ni mjasiri anayetetea maslahi ya taifa (sote tumeshuhudia bungeni).
  • Anatoa matumaini kwa watanzania walio wengi kupitia sera ya elimu bure.
  • anaahidi vitu vinavyotekelezeka, mfano kupunguza kodi ya vifaa vya ujenzi.
  • Tunamuamini tunamhitaji.
  • Ongezea...!
  Kutokana na hayo, Dr WS anafaa kuwa raisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania baada ya uchaguzi mkuu wa tarehe 31 oktoba, 2010.


  Mungu ibariki Afrika! Mungu ibariki Tanzania!


  nawasilisha!!!
   
 2. G

  GAMA LUGENDO Senior Member

  #2
  Oct 22, 2010
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 131
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Vile vile ni mtafiti mzuri na anaweza kupata taarifa toka vyanzo vya uhakika, si kutegemea wapambe. Ana uwezo mzuri wa kufikiri na kujieleza (oratory skill) pia, hategemei kusoma vikaratasi vilivyotayarishwa na poor speach writers.

  Mengine ni:empathy: anaonyesha dhahiri kuwa matatizo ya watanzania hasa wa hali ya chini si tu yanamuuma bali anaonyesha dhamira ya dhati siyo chati kuyatafutia ufumbuzi kwa kupendekeza njia za kivitendo pragmatic na siyo myopic za kuyatatua.

  Sense of patriotism: Anaonekana wazi anaithamini nchi yake kwanza na watu wake, na siyo kukumbatia na kusujudia wageni tu.
  Kwa kifupi ametuonyesha tumaini jipya kwa kuwa wengi walishaanza kukata tamaa kuhusu mambo yanayoborongwa nchi hii.Tumuombe Mungu azuie jaribio lolote wa kuhujumu matokeo (kama lipo) ili umati wa watu unaojidhihirisha kwenye kampeni zake umpigie.Naamini kwa kupitia jemedari huyu (Dr Slaa) atatuwezesha WE AS A PEOPLE TO GET TO THE RIGHT DESTINY.
  GOD BLESS TANZANIA.
   
 3. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #3
  Oct 22, 2010
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mungu ataleta mujiza kipindi hiki na pia atawalaani wale wote watakao chakachuo matokea ya urais
   
 4. minda

  minda JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  live interview yake ya hivi karibuni kwenye itv ni uthibitisho tosha wa hili ninaloandika.
   
 5. M

  MKUU WA WAKUU Member

  #5
  Oct 25, 2010
  Joined: Oct 23, 2010
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  no stone will remain unturn,tutawashughulikia wenyewe god atamalizia
   
 6. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #6
  Oct 25, 2010
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  alichonifurahisha pale, NO KUTUMIA VIBUTI KAMA MA ---DR WENGINE, YAAANI WA SISI
   
 7. JOYCE PAUL

  JOYCE PAUL JF-Expert Member

  #7
  Oct 25, 2010
  Joined: Jan 8, 2010
  Messages: 1,007
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  ogopa watu kama slaa wewe atakubadilikia ufe kwa presha akiingia madarakani loh..
   
 8. E

  Erica85 Member

  #8
  Oct 25, 2010
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mungu atupe macho ya kuona na kutambua kisha tuchague kiongozi anayejali maslahi ya wananchi
   
 9. G

  Gomezi Richard New Member

  #9
  Oct 26, 2010
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ushindi mwaka huu ni lazima hauna upinzani
   
 10. minda

  minda JF-Expert Member

  #10
  Oct 26, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135


  kwa ngazi ya taifa, anayefaa si mwingine zaidi ya dk ws.
   
 11. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #11
  Oct 26, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  simple and clear
   
 12. S

  Subira Senior Member

  #12
  Oct 26, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 162
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  dr tsaaa hafai kuwa kiongozi wa nchi yoyote ile hasa yenye utajiri kama hii, Mang'ola ni mfano halisi wa nchi hii, kwani ina utajiri mkubwa sana wa ukulima wavitunguu, na wakulima ni matajiri, huyu mbunge wa hapo yaani tsaa,
  hajaweza kuwasaidia wakulima hao kitu chochote kwamiaka 15ya ubunge, alihitaji kuwahamisisha tu wachange na yeye awasaidie kuleta umeme, na barabara ya kupitisa mazao ,tumeona kwa macho juzi kwenye ziara ya rais jk karatu,pia tumeonyeshwa kibanda cha udongo cha kwake lo raisi ambae hata Hawezi kubadili maisha yake kuwa bora atamuongoza nani. wakazi pale wengi wana nyumba nzuri ila yeye. m/kiti wa kijiji amekiri utendaji mbovU wa tsaa, na kurudisha card yy na wafuasi wake, hii ni kuthibitisha jinsi gani walivyocHoshwa na ahadi za uongo,
  DR,TSAA HAFAI KUONGOZA HATA FAMILIA YAKE IWEJE ATUONGOZE SISI WATZ

   
 13. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #13
  Oct 26, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,381
  Likes Received: 3,141
  Trophy Points: 280
  Rais wa ukweli.......
   
 14. minda

  minda JF-Expert Member

  #14
  Oct 26, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135


  mkuu umesahayu baba wa taifa alijengewa nyumba na kukabidhiwa na jeshi letu mwezi mmioja kabla ya kifo chake.
  au unataka tuamini, kama ilivyo ndani ya chama chako, kwamba ili uwe kiongozi ni lazima uwe tajiri?


  ni wazi katika chama chako maskini hawana nafasi ya uongozi; lakini kwa upande wa chadema uongozi ni nguvu ya umma( people's power) na wala sio utajiri wa huyo kandidati.
   
 15. Kibo10

  Kibo10 JF-Expert Member

  #15
  Feb 28, 2015
  Joined: Aug 20, 2013
  Messages: 11,243
  Likes Received: 3,395
  Trophy Points: 280
  ImageUploadedByJamiiForums1425113740.633152.jpg
  Mwalimu nyerere alisha wahi kusema ukimtizama usoni ujiridhishe kama kweli anafaa.
  Nimemtizama Dr slaa katika picha hii aliyopiga na Mwigulu nimejiridhisha huyu ni kiongozi na anatufaa watanzania.
  Uso wake unahamasa ya maendeleo
  Uso wake unaweza kukalipia
  Uso wake unaweza kuwajibisha mtu
  Uso wake haupendi rushwa
  Uso wake na moyo vinashabiana
  Huyu ndio kiongozi,Unaweza kuona nindhamu aliyonayo mwigulu hapo kwenye picha.Hata kabla ya Dr kuingia ikulu,Huyu ni kiongozi tena chaguo la mungu.
  Tukichezea shilingi chooni tena mwaka huu watanzania tutakuja kujuta kwa miongo kadhaa
  Muda wa mabadiliko ndio huu kiongozi ndio huyu tufanye maamuzi sahihi.
   
 16. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #16
  Feb 28, 2015
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,230
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Kuelekea uchaguzi mkuu tutashuhudia mengi....
   
 17. Kibo10

  Kibo10 JF-Expert Member

  #17
  Feb 28, 2015
  Joined: Aug 20, 2013
  Messages: 11,243
  Likes Received: 3,395
  Trophy Points: 280
  Kama wagombea wenyewe ni kina EL na Wasira kweli yapo mengi yakushuudia mkuu.
   
 18. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #18
  Feb 28, 2015
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,230
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Hayo yako!
   
 19. M

  Mohamed Ngwasu JF-Expert Member

  #19
  Feb 28, 2015
  Joined: May 11, 2011
  Messages: 304
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Njaa ya watanzania Ndiyo inayompa kiburi Lowasa. mwizi ni mwizi tu hata kama akiungama kwa papa. mtajuta watanzania. Najua Dr Slaa akishaingia ikulu cha kwanza anawafunga wezi wote wakiwemo waliotoa m 10 za mboga
   
 20. victor shio

  victor shio JF-Expert Member

  #20
  Feb 28, 2015
  Joined: Dec 3, 2013
  Messages: 652
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Umenena kweli mkuu lakini ninachoamini nikwamba Dr anafaa sana tusuburi taratib za chama pia rais msuri anatoka kwenye tasisi imara kwani tasisi ndio umsimamia kikamilivu mtendaji wake
   
Loading...