Dr. Slaa Anafaa Kuwa Rais

Tatizo ni watanzania kuwa na mawazo ya kiuzifu.tunahitaji rais si mme au mke wa mtu.tuambie kama ammzini mamako!
Huu ni ujinga tu mkuu maana kila mtu anaelewa kuwa Dr. Slaa mahisiano yake ni halali wala hamna cha mke wa mtu wala nini ni propaganda tu ambazo ni watu wachache wenye akili wanaweza kuzinunua.
Hivi ni watu wangapi walioa na wakaachana na wake zao na wakaoa tena? Hivi mwanamke anaweza kulazimishwa kumwacha mme wake anayempenda akaenda kuishi na mwanaume mwingine? Ndoa ni hiari kama mke wako mnashindwa kuelewana anao uhuru wa kuondoka na kuingia kwenye mahusiano mengine na mtu mwingine ambaye pia yuko huru!

Sijawahi kuona hoja yenye kuhold water juu ya mahusiano ya Dr. Slaa ni propaganda ambazo zinawalenga wajinga wasiofatilia mambo.

Najua Dr.slaa wanalichukulia swala la propaganda hizi ni ujinga japo zinaweza kuwateka watu wachache wasioelewa hivyo ni muhimu wakati mwingine kuwaelimisha!
 
Hilo Halina Pingamizi Mkuu Slaa Anaingia Magogoni, Iwe Mchana, Iwe Usiku, Kuche Kusikuche, Jogo Awike Asiwike, Mbona Mkapa Alioa Mke Wa Bazir Mlamba Mpaka Mlamba Akapozwa Na Kawizala Ka Fedha, Lakini Hatusemi!
 
Kwani UKAWA wameshateua mgombea wao kuwa Slaa?
 
Sisi twamtaka slaa awe mwizi, mlevi, mzinzi, mushenzi sisi tunajua neno moja tu yeye ndo yesu wa Tanzania.
 
Hivi mnajuwa maana ya uadilifu au mnajiandikia tu?

Mtu mwadilifu anapelekwa mahakamani kwa kosa la kutelekeza "mke" na watoto?

Fikiri.
 
Amezini na baba yako kiongozi? Kambagua ama anachuki na nani zaidi ya matendo yanayohujumu maslahi ya nchi kitu ambacho ndicho kilio cha tanzania nzima?

Bisha kwa hoja.

Slaa ni mzinzi
. Mbaguzi ana chuki ya asili na mkurupukaji ktk maamuzi
 
Tena wewe nyamaza kabisa. Ungekuwa na uzalendo hata chembe, usingetetea ufisadi, rushwa na ugaidi. Ni afadhali ukanyamaza kuliko kuleta hoja za kijinga hapa.

Hivi mnajuwa maana ya uadilifu au mnajiandikia tu?

Mtu mwadilifu anapelekwa mahakamani kwa kosa la kutekeleza "mke" na watoto?

Fikiri.
 
Amezini na baba yako kiongozi? Kambagua ama anachuki na nani zaidi ya matendo yanayohujumu maslahi ya nchi kitu ambacho ndicho kilio cha tanzania nzima?

Bisha kwa hoja.
Hivi unafikiri Josephine Mshumbusi hakuwa Maslahi ya Mahimbo? au yeye siyo mwananchi?
 
Hivi mnajuwa maana ya uadilifu au mnajiandikia tu?

Mtu mwadilifu anapelekwa mahakamani kwa kosa la kutekeleza "mke" na watoto?

Fikiri.

Tatizo la ccm wengi ubongo ni tatizo...yaan propaganda ya mwaka 47 mnaitumia hadi leo?Mkiona Jina dr Slaa mnakuwaga kama mmepandwa na maruani
 
Tena wewe nyamaza kabisa. Ungekuwa na uzalendo hata chembe, usingetetea ufisadi, rushwa na ugaidi. Ni afadhali ukanyamaza kuliko kuleta hoja za kijinga hapa.
Unafikiri kumpigia debe SLAA ndiyo kupiga vita ufisadi. HAUJUI SLAA analipwa zaidi ya mil.12 kila mwezi za bureee kabisa? HaujuiAGAZETI la Tanzania Daima lilianzishwa kwa pesa za Chama? Unajua jengo la Slaa lililoko Mbezi beach limejengwakwa pesa gani? Unajua sababu za ZITTO na akina Mwigamba wamefukuzwa Chadema kwa kosa gani? Unajua chanzo cha kifo cha CHACHA WANGWE?
 
Nani alikuambia mshahara wa kikwete ni sawa na wa mwalimu wa shule ya msingi? Hoja yako imejaa wivu na majungu. Mwigamba amefukuzwa act kwa ajili gani?

Kifo cha Wangwe hakikuchunguzwa na polisi? Report ya polisi ilisema nini tena polisi ambao siku zote wamekuwa kinyume na maslahi ya vyama vya upinzani? Kama Dr. Slaa alimuua Wangwe, kwa nini polisi hawakumkamata?

Ondoa ujuha wako hapa.

Utakufa na kuoza huku ukitembea kwa uwongo wako wa kumsingizia Dr. kuua. Hizo tabia zibaki nyumbani kwako na kwenye vijiwe vya watu waina yako na usidhani kila mtu akili zake zinaishia hapo.

Tena huwa sipendi kusoma maandiko yako kwa sabbu huwa yamejaa pumba za ki.pumbavu sana. Usiniandikie tafadhali unless pale nitakapokuwa nimekuadress binafsi. Sina muda mrefu sana wa kupoteza kwa wwatu wenye akili duni kama zako.

Tafadhali dont write me back kwa sababu sitasoma. Nina mambo ya maana ya kushughulika nayo zaidi ya hoja za kipum.bavu zisizokuwa na mantiki.

Unafikiri kumpigia debe SLAA ndiyo kupiga vita ufisadi. HAUJUI SLAA analipwa zaidi ya mil.12 kila mwezi za bureee kabisa? HaujuiAGAZETI la Tanzania Daima lilianzishwa kwa pesa za Chama? Unajua jengo la Slaa lililoko Mbezi beach limejengwakwa pesa gani? Unajua sababu za ZITTO na akina Mwigamba wamefukuzwa Chadema kwa kosa gani? Unajua chanzo cha kifo cha CHACHA WANGWE?
 
Nina mashaka na kichwa chako wwe. Binadamu anawezaje kuwa maslahi ya mwingine? Mbona naona kama kichwa chako kimebunguliwa? Kwa akili zako Josephine ni raslimali ya wanaume? Huu ni udhalillishaji tena unaofanywa na jitu punguani.

Huyo Mahimbo mlilmpanga na kumbeba hadi mahakamani yuko wapi? Au wewe ndiye mshenga wake? Wewe kichwa cako kiko tupu sana siwezi kusema na wewe.

Tafadhali usiniandikie, tafuta watu wa saizi yako. Sina muda wa kupoteza kwa hoja za kipumbavu za kutunga.

Hamna uwezo wa kumchafua Dr. Slaa, hata mtambike. Dr . Slaa ana Mungu na ninyi mna majini na mashetani. Mtakufa wote kwa kihoro. Pumb.avu kabisa.

Hivi unafikiri Josephine Mshumbusi hakuwa Maslahi ya Mahimbo? au yeye siyo mwananchi?
 
Back
Top Bottom