Wewe ni punguani kwa ku overestimate nguvu ya Dr Slaa, kumbuka kuwa a candle always burns brightest before it goes off, na yeye anatumia mgongo wa chadema na Lowassa kung'ara. Ila Dr Slaa Hana nguvu ya kushawishi WANAMABADILIKO kubadili msimamo,naongea kama mwanamabadiliko, cha zaidi huyu Mzee kajishusha na nawapongeza chadema kwa kuweka kando machizi kama yeye
**** mahakama ya mijizi na mifisadi baada 25 oct
imamuhusu ; serikali
Mada yangu haijahusu wagombea Urais. Nimewaima yule aliyetakiww kuwa Mgombea Urais na huyu aliyenunua ugombea Urais
Wadau, amani iwe kwenu.
Sasa ni dhahiri kwamba Dr Slaa amemfunika kabisa Lowasa kwenye media. Ukiangalia hata hapa JF utaona kuwa mada nyingi zinazoanzishwa ni zile zinazomhusu Dr Slaa. Pia mada zinazomhusu Slaa zinakuwa na wachangiaji wengi kuliko zile za Lowasa. Hii ni dhahiri kwamba umaarufu wa Dr Slaa ambaye alikuwa mhimili muhimu ndani ya CHADEMA na UKAWA unazidi ule wa Lowasa ambao unazidi kuporomoka kila kukicha.
Watu wa media wamekata tamaa kwa vile fedha walizokuwa wanapewa ili wamwandike vizuri Lowasa zinazidi kupungua kila siku. Vijana wake mitandaoni nao hali ni mbaya sana.
Hakika CHADEMA wanajuuutaaaaa kuchukua fisadi Lowasa. Dr Slaa hakukosea aliposema kuwa walichofanya CHADEMA ni kama kupakua kinyesi kwenye choo na kuweka chumbani kwako. Sasa CHADEMA hapakaliki. Wamekuwa kama wajenzi wa mnara wa Babeli. Kila mtu anasema lake. Wamefikia hatua ya kumlaghai Rose Kamili ili amseme vibaya mzazi mwenzake lakini haijasaidia kitu zaidi ya yule mama kujidhalilisha tu na kudharauliwa na wanawake wenzake.
Dr Slaa unatisha. Mapambano dhidi ya fisadi Lowasa yanaendelea na sisi humu tunazidi kupigilia misumari ya moto. Mpaka Oktoba 25 watakuwa wamechakazwa vibaya na wamekuwa ndembendembe
tumesha amua mabadiliko.....mwendo ndo ule ule......lowasaaaaaaa.....mabadilikooooo........mabadilikooooooo........lowasaaaaaaaa
Wadau, amani iwe kwenu.
Sasa ni dhahiri kwamba Dr Slaa amemfunika kabisa Lowasa kwenye media. Ukiangalia hata hapa JF utaona kuwa mada nyingi zinazoanzishwa ni zile zinazomhusu Dr Slaa. Pia mada zinazomhusu Slaa zinakuwa na wachangiaji wengi kuliko zile za Lowasa. Hii ni dhahiri kwamba umaarufu wa Dr Slaa ambaye alikuwa mhimili muhimu ndani ya CHADEMA na UKAWA unazidi ule wa Lowasa ambao unazidi kuporomoka kila kukicha.
Na ww BILA SHAKA NI TIMU MA LOCK MM SIJAONA CHA MAAANA AMBACHO MR PhD KAKIONGEA PALE
Watu wa media wamekata tamaa kwa vile fedha walizokuwa wanapewa ili wamwandike vizuri Lowasa zinazidi kupungua kila siku. Vijana wake mitandaoni nao hali ni mbaya sana.
Hakika CHADEMA wanajuuutaaaaa kuchukua fisadi Lowasa. Dr Slaa hakukosea aliposema kuwa walichofanya CHADEMA ni kama kupakua kinyesi kwenye choo na kuweka chumbani kwako. Sasa CHADEMA hapakaliki. Wamekuwa kama wajenzi wa mnara wa Babeli. Kila mtu anasema lake. Wamefikia hatua ya kumlaghai Rose Kamili ili amseme vibaya mzazi mwenzake lakini haijasaidia kitu zaidi ya yule mama kujidhalilisha tu na kudharauliwa na wanawake wenzake.
Dr Slaa unatisha. Mapambano dhidi ya fisadi Lowasa yanaendelea na sisi humu tunazidi kupigilia misumari ya moto. Mpaka Oktoba 25 watakuwa wamechakazwa vibaya na wamekuwa
ndembendembe
"Anae muunga mkono lowassa akapimwe akili"
Wadau, amani iwe kwenu.
Sasa ni dhahiri kwamba Dr Slaa amemfunika kabisa Lowasa kwenye media. Ukiangalia hata hapa JF utaona kuwa mada nyingi zinazoanzishwa ni zile zinazomhusu Dr Slaa. Pia mada zinazomhusu Slaa zinakuwa na wachangiaji wengi kuliko zile za Lowasa. Hii ni dhahiri kwamba umaarufu wa Dr Slaa ambaye alikuwa mhimili muhimu ndani ya CHADEMA na UKAWA unazidi ule wa Lowasa ambao unazidi kuporomoka kila kukicha.
Watu wa media wamekata tamaa kwa vile fedha walizokuwa wanapewa ili wamwandike vizuri Lowasa zinazidi kupungua kila siku. Vijana wake mitandaoni nao hali ni mbaya sana.
Hakika CHADEMA wanajuuutaaaaa kuchukua fisadi Lowasa. Dr Slaa hakukosea aliposema kuwa walichofanya CHADEMA ni kama kupakua kinyesi kwenye choo na kuweka chumbani kwako. Sasa CHADEMA hapakaliki. Wamekuwa kama wajenzi wa mnara wa Babeli. Kila mtu anasema lake. Wamefikia hatua ya kumlaghai Rose Kamili ili amseme vibaya mzazi mwenzake lakini haijasaidia kitu zaidi ya yule mama kujidhalilisha tu na kudharauliwa na wanawake wenzake.
Dr Slaa unatisha. Mapambano dhidi ya fisadi Lowasa yanaendelea na sisi humu tunazidi kupigilia misumari ya moto. Mpaka Oktoba 25 watakuwa wamechakazwa vibaya na wamekuwa ndembendembe
UKAWA ndiyo mmechnganyikiwa. Fisadi lowasa aliambiwa arudishe hela za marafiki zake sasa akishindwa tena lazima mfe naye kwa presha. Na ninyi ni wapumbavu na malofa yaani hamjui apson na marando wameusuka huu mpango kuharibu nguvu ya upinzani mnadhani mtashinda? Wewe subiri viongozi wenu by october watapingana na kurushiana ngumi au kupigana wao kwa wao. Si unakumbuka ilivyosambaratika nncr? Labda kama ulikuwa mtoto. Kama una akili huwezi kushabikia kinachoendelea chadema hata kidogo.
Yes. Mabadiliko ya kuachana na vita dhidi ya ufisadi na kukumbatia mafisadi
Tumesha amua mabadiliko.....mwendo ndo ule ule......Lowasaaaaaaa.....Mabadilikooooo........Mabadilikooooooo........Lowasaaaaaaaa
ni kweli amewafunika wote maghufuli na lowasa...
Endelea kuamini hivyo. Mwisho wa siku mtarudi hapa mkiwa vichwa chini
UKAWA ndiyo mmechnganyikiwa. Fisadi lowasa aliambiwa arudishe hela za marafiki zake sasa akishindwa tena lazima mfe naye kwa presha. Na ninyi ni wapumbavu na malofa yaani hamjui apson na marando wameusuka huu mpango kuharibu nguvu ya upinzani mnadhani mtashinda? Wewe subiri viongozi wenu by october watapingana na kurushiana ngumi au kupigana wao kwa wao. Si unakumbuka ilivyosambaratika nncr? Labda kama ulikuwa mtoto. Kama una akili huwezi kushabikia kinachoendelea chadema hata kidogo.
Sijapata kuona mrangi lofa na mpumbavu kama wewe
Nyie watu wa Ukawa narudia kusema, hamjielewi, Dr kamaliza saa4 kuhojiwa ni vp magazeti yangeandika na kuhariri habari alafu itoke leo.Zitatoka kesho.
Kaka achana na Dr Slaa kwa sasa unapaswa ulinganishe Lowassa na Magufuli. Huyo Slaa wenu tuachieni siye wananchi tunajua nini cha kufanya, ashapuuuziwa kitambo sana ndo maana unaona magazeti yote leo kimyaaa. Hakuna anayejali, mtamtumia kwa muda tuu na mtamtema vilevile.
Lizaboni