Dr. Slaa amfunika Lowassa kwenye media

Simsikii magufuli kwenye media zaidi ya star TV, TBC na gazeti la Uhuru. Tunaimaniiiiiiii na lowaaaaaaassa... oya oya oyaaaaaaaaaaa
 
Hiyo analogy ya kuchukua mavi chooni na kukaa nayo chumbani nimeipenda sana. It is so apt!

Ni ulofa kusema unataka mabadiliko na huku unataka utoke Team Kikwete uingie Team Lowasa. Mbona, as far as corruption is concerned, ni kutoka kikaangoni na kuingia motoni?
 
Hvi kuna siku CCM wameacha mtaja Lowasa?
 

Safi sana mkuu. Ukawa wanaota mchana kweupe kwenda Ikulu. CCM wapo kikazi wanafanya yao ili kuingia ikulu kwa mara nyingine. Hapa kazi tu
 
Kwa picha hii, mgombea Urais atakayeongoza kwa kura ni Dr. Slaa, then Edward Lowasa halafu ndiyo Dr. Magufuli.
 
Amefunika kwa pumba no longer survive cheapest was talking never never
 
Yes, kwa kuchemka... But not affecting voters decisions
It do so mzee, upepo umebadilika sasa hivi, hauuvumi tena kusini,wananchi wameamka wameona wanageuzwa geuzwa tu
 
Wafa maji hawaishi kutapatapa cku zote huyo dr slaa ni mfa maji 2 nae....
 
Kama ufisad ni tatizo kwa ukawa lowasa ni sawa na tone 1 la damu Baharin kule aliko toka ccm oyeeeeee ndio balaa dis qualifying
 
Endelea kujifariji. Utakuwa ni punguani kama utadharau nguvu ya Dr Slaa
Naamini upunguani wa huyu hautazidi wa kwako unaeshabikia mfumo uliooza uliokataliwa na wananchi
 
Mwambie huyo mutukuzi huyo jamaa cjui kala maharage wa wapi......
 
Dr Slaa ndiyo alitarajiwa kuwa rais wa jmt ndo maana ccm wakateua Magufuli. Tofaut na hapo Lowasa hana hata chembe ya uwezo wa kuwa rais
 
Sidhani kama wanachama wa chadema walikuwa na moyo wadhati kwa chama chao ili kiwe kisafi wasingekubali kumchukua mtu ambae walikuwa wanamkashifu kila siku
 
Hakika CHADEMA wanajuuutaaaaa kuchukua fisadi Lowasa. Dr Slaa hakukosea aliposema kuwa walichofanya CHADEMA ni kama kupakua kinyesi kwenye choo na kuweka chumbani kwako.

Bora choo kichache kilichochotwa na kuwekwa hewani kitapoteza harufu baada Ya muda mfupi kwa wanaoishi chumbani kuliko wale wanaoishi chooni kilichochotwa kinyesi.
 
Dr Kasema bora tuchague Choo na Kinyesi chake kuliko kinyesi kidogo kilichopakuliwa Chooni
 
Endelea kujifariji. Utakuwa ni punguani kama utadharau nguvu ya Dr Slaa

Wewe ni punguani kwa ku overestimate nguvu ya Dr Slaa, kumbuka kuwa a candle always burns brightest before it goes off, na yeye anatumia mgongo wa chadema na Lowassa kung'ara. Ila Dr Slaa Hana nguvu ya kushawishi WANAMABADILIKO kubadili msimamo,naongea kama mwanamabadiliko, cha zaidi huyu Mzee kajishusha na nawapongeza chadema kwa kuweka kando machizi kama yeye
 
Dr slaa yuko sahii napiya siyo kwaleo tuu itavuma mpaka ijitokeze kwani kampeni ya lowasa haijaanza leo toka amchague jk yeye alikuwa na ndoto ya uraisi ndiyo maana hata mpakansasa anahangaika japo kachoka utuuzima woote hajali pesa anazo mke anye anatakiwa apumzike lakini taamaa imemfikisha kugombanisha watu hiii ni SHIDAaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…