usiwasemee watanzania. jisemee wewe kuwa unamhitaji. maneno ambayo nadhani angepaswa kuyasema josephineAna heri aliyechoka kuliko mdanganyifu wa umri, jina na daraja la shahada.Alaaniwe fisadi msaka urais wa Tanzania. Dr. Slaa ni mwanasiasa mkomavu, mwelevu,aliyejaa weledi na tunayemhitaji kwa Tanzania tuliyonayo. Long live Dr.Wilbrod Peter Slaa. Tunakuhitaji Dr.Slaa.Wewe furahisha baraza lakini Dr. Slaa anabaki wa kipekee
usiwasemee watanzania. jisemee wewe kuwa unamhitaji. maneno ambayo nadhani angepaswa kuyasema josephine
barabara bora za lami nchi nzima. hospitali za rufaa kila mkoa. shule za sekondari kila kata. chezea mkweree weyeeAliyechuja ni Kikwete-Maisha ovyo kwa kila Mtanzania!
huna authority ya kuwasemea watanzania...wewe ni dagaa baharini