Dr Slaa amaliza ziara Marekani

Achananae huyu msukule hayo ndio aliyokuwa anakalilishwa na Padri Sixtus Kimaro viwanja vya chuo kikuu.

Na Alhaji Kikwete amekaririshwa kama hayo hayo na Askofu wa Katoliki, Ngalalekumtwa
 
Hii ziara ya Dr.Slaa inajulikana JF tu huku mtaani wala hakuna anayejua.
 
Na Alhaji Kikwete amekaririshwa kama hayo hayo na Askofu wa Katoliki, Ngalalekumtwa
Vipi kile kipimo chako cha wapenda ngono huku kwetu Kisiju watu wanakiulizia hawaamini kijana mdogo kama wewe umejaaliwa nacho

Hii ziara ya Dr.Slaa inajulikana JF tu huku mtaani wala hakuna anayejua.

Acha uongo we msukule wa team lumumba. Hapo mtaa wa lumumba mnajua ratiba nzima ya siku ya kuondoka Dar hadi mahali alikotembelea na nini alichokiongea huko alikotembelea. Pia mtaa wa lumumba mnafahamu ni lini anarudi na ndege atakayosafiri nayo na muda atakaotua nchini!
 
padri MUASI SILAA karibu sana. Yaani kwa wiki zote tatu hakuna hata wiki moja nimeona picha ukiwa kanisani kweli we padri uliasi!
 
Leo misukule mnacheka kwa kuwa master a.k.a shifo wa misukule anarudi

kwenye huu uzi tu una comments zaid ya 10 ,utalipwa sh ngapi?
@Dr .w.slaa ndiye rais wako ajaye
 
Vipi kile kipimo chako cha wapenda ngono huku kwetu Kisiju watu wanakiulizia hawaamini kijana mdogo kama wewe umejaaliwa nacho

Teh teh teh! Utanipasua mbavu kamanda.
 
Bavicha souds haya nenda ufipa kachukue viroba vyako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…