Dr.slaa aliongoza nchi kwa niaba ya kikwete!

Wenzako wapo kimwili tu ccm mioyo yao ipo chadema.....mungu akusaidie nawewe uwape kisogo mafisadi japo ndugu zako nao wafaidi keki ya taifa kuliko nchi kuendelea kuliwa na akina kikwete.rostam,lowasa na vikaragosi vingine
kumbe huku jf ni michadema mitupu imejaa, subirini basi tuone hizo ndoto zenu,
 
this is the truth na hata wana ccm ninaoongea nao wanamkubali slaa kwa vitendo japo wanamkubali kikwete kwa maneno na wameahidi kumpigia kura slaa.........wameendelea kuandamana na kikwete kwenye mikutano yake ili asiaibike na ajue wapo pamoja naye wakati mioyo yao ipo mbali na kikwete.........tuanze leo kujenga nchi kwa kuchagua kiongozi atakayesimamia maslahi ya taifa letu


Hilo halina mjadala walkati watu wanabembea kwenye bembea Jamaica huku Mzee Dr Slaa alikuwa anapambana na mafisadi Bungeni sasa kwa hilo nani hapo alikuwa Raisi wa Nchi??? Anayembea au anakemea maovu yanaondelea nchini?????????????????????
 
Bila shaka wakati mzee akibembea basi dr.slaa alikuwa akiongoza nchi kwa vitendo na uzalendo wa hali ya juu
hilo halina mjadala walkati watu wanabembea kwenye bembea jamaica huku mzee dr slaa alikuwa anapambana na mafisadi bungeni sasa kwa hilo nani hapo alikuwa raisi wa nchi??? Anayembea au anakemea maovu yanaondelea nchini?????????????????????
 
Back
Top Bottom