Dr Slaa alikuwa maarufu bungeni bila lugha ya kuudhi wala matusi, wabunge vijana CHADEMA igeni

Yani kweli wewe eltoni John...leo ndio umeona kuwa Dr Slaa ni kiongozi bora? ##$$%%^^** zako.
 
Tatizo kubwa la TZ sasa ni UBINAFSI hakuna tena kujali maslai ya TAIFA. Kila kinachojadiliwa kwanza sisi(kikundi) tutafaidikaje. Yaani mbunge anaonyesha chuki yawazi kabisa dhidi ya mwenzie.
 
Tatazo! Nyinyi MaCCM mna ajenda gani ya siri na muungano.
Hivi nyinyi MaCCM mbona mmewadarau sana wanzazibar.
Sasa mnaijadili Chadema badala ya katiba mnayo enda kuichakachua.
 
Tatizo! Nyinyi MaCCM mna ajenda gani ya siri na muungano.
Hivi nyinyi MaCCM mbona mmewadarau sana wanzazibar.
Sasa mnaijadili Chadema badala ya katiba mnayo enda kuichakachua.
 
Ritz acha unafiki,siku zote unamtukana dr slaa eti leo unamsifia..!! unafiki unafiki unafiki....!
 
Kuhusu utaratibu na.mwongozo wa spika ndio huwa chanzo chavurugu mara nyingi. Often akiomba MCCM hupewa nafasi kumkatisha MCDM lakini akiomba MCDM often huwa ni changamoto. hapo tu
enzi.zile CCM HAWAKUGUNDUA WEAPON HII NDIO SOURCE YA KUSWAP USPIKA.
.
 
Wanaukumbi,

Yanayoendelea bungeni kwa sasa yana athari kwa jamii inayoiunga mkono chadema japo wengi hawataki kukubali ukweli huu.

Inawezekana ilikuwa hivyo lakini kwa sasa kitendo cha wabunge wa chadema kutolewa nje kila wakati hakiwajengei tena umaarufu bali kinaanza kuharibu sifa nzuri ya chama.

Umakini wa chadema kwa hili una walakini na mmekubali kuanguka kwenye mtego wa Mwigulu Nchemba na Lusinde. Nkamia, kwani wao wakijua kwamba watakapowa-prove na ninyi mka-react mtaendelea kutolewa nje na hili halitaendelea kuwa zuri au kuwapatia umaarufu kama zamani na matokeo yake wananchi watawachoka na kuwaona kama wafanya vurugu, fujo na matusi.

Hata mkifanya hayo mnayoyafanya hamtasikilizwa, mfano Mbowe alipoambiwa atoke nje angetoka sidhani kama ingetokea damage kubwa kama hii iliyotokea. Kuna wananchi wa majimbo mengi ya Chadema ya uchaguzi ambao hawatawakilishwa kwa kutoka nje wabunge wao, hiki sio kitu kidogo.

Nakumbuka enzi za ubunge wa Dr Slaa, pamoja na Hamadi Rashidi wa CUF, Dr Slaa alitajwa na tafiti mbali mbali kama ndiye mbunge kinara zaidi kwa michango na hoja zenye mantiki lakini sijawahi kumsikia akitumia maneno yenye kuudhi kama "this government is impotent'.
bbbnm-564x272.jpg

Wabunge wa chadema, hasa vijana punguzeni emotions, msiwe driven na maneno ya kuudhi jengeni hoja zenye mashiko wananchi watawelewa na kufahamu umuhimu wenu hakuna haja ya kutumia ubabe na nguvi nyingi.

Fanyeni kazi bungeni mlizotumwa na wapiga kura wenu, wananchi watakuwa nyuma yenu, msitafute sababu za kuundiwa kanuni kila siku, msiwe wabunge wa mwongozo Spika. Na hizi kanuni mpya za adhabu msipo kuwa makini zitakuwa kwakwa ajili yenu.

Chadema wawe makini na kufuta mawazo ya viongozi wao ambao hawapo makini kwenye mambo ya msingi na umoja wetu kama hapa chini hizi kauli.

Hapa chini tena hizi kauli za viongozi wa Chadema wanakiri kuwa wanafanya fujo.

Huu ubabe wa hawa wabunge wa Chadema hauwezi kuwasaidia zaidi ya kuwabomoa.

Hii picha chini inatufundisha nini Watanzania.

>Endapo bunge lingekuwa linaongozwa na spika kama Samuel Sita sawa... Lakini sio hawa vilanza..wa sasa!
 
nahisi kuna watu huwa wanafanya safari ya jamaika kabla ya kutinga mjengoni, tena kishule shule zile za chooni, maana hii aibu kwa mtu na akili zake timamu, na mwenye familia inayomtazama hawezi fanya miujiza kama hii..
 
Mwenzangu umeguswa ni kitu cha ncha kali nini? Polesana.

Na wewe shk yahaya anahusikaje hapa? Unaanza kupatwa na mawenge nini. Unamkumbuka shk nadhani alikuwa mshirikina wako unayemuomba akutabirie direction ya jinsi kupata chochote cha kupeleka mdomoni next day wakati wa uhai wake.

Hahahha....Acha hasira.Nilitarajia
 
Wanaukumbi,

Yanayoendelea bungeni kwa sasa yana athari kwa jamii inayoiunga mkono chadema japo wengi hawataki kukubali ukweli huu.

Inawezekana ilikuwa hivyo lakini kwa sasa kitendo cha wabunge wa chadema kutolewa nje kila wakati hakiwajengei tena umaarufu bali kinaanza kuharibu sifa nzuri ya chama.

Umakini wa chadema kwa hili una walakini na mmekubali kuanguka kwenye mtego wa Mwigulu Nchemba na Lusinde. Nkamia, kwani wao wakijua kwamba watakapowa-prove na ninyi mka-react mtaendelea kutolewa nje na hili halitaendelea kuwa zuri au kuwapatia umaarufu kama zamani na matokeo yake wananchi watawachoka na kuwaona kama wafanya vurugu, fujo na matusi.

Hata mkifanya hayo mnayoyafanya hamtasikilizwa, mfano Mbowe alipoambiwa atoke nje angetoka sidhani kama ingetokea damage kubwa kama hii iliyotokea. Kuna wananchi wa majimbo mengi ya Chadema ya uchaguzi ambao hawatawakilishwa kwa kutoka nje wabunge wao, hiki sio kitu kidogo.

Nakumbuka enzi za ubunge wa Dr Slaa, pamoja na Hamadi Rashidi wa CUF, Dr Slaa alitajwa na tafiti mbali mbali kama ndiye mbunge kinara zaidi kwa michango na hoja zenye mantiki lakini sijawahi kumsikia akitumia maneno yenye kuudhi kama "this government is impotent'.
bbbnm-564x272.jpg

Wabunge wa chadema, hasa vijana punguzeni emotions, msiwe driven na maneno ya kuudhi jengeni hoja zenye mashiko wananchi watawelewa na kufahamu umuhimu wenu hakuna haja ya kutumia ubabe na nguvi nyingi.

Fanyeni kazi bungeni mlizotumwa na wapiga kura wenu, wananchi watakuwa nyuma yenu, msitafute sababu za kuundiwa kanuni kila siku, msiwe wabunge wa mwongozo Spika. Na hizi kanuni mpya za adhabu msipo kuwa makini zitakuwa kwakwa ajili yenu.

Chadema wawe makini na kufuta mawazo ya viongozi wao ambao hawapo makini kwenye mambo ya msingi na umoja wetu kama hapa chini hizi kauli.

Hapa chini tena hizi kauli za viongozi wa Chadema wanakiri kuwa wanafanya fujo.

Huu ubabe wa hawa wabunge wa Chadema hauwezi kuwasaidia zaidi ya kuwabomoa.

Hii picha chini inatufundisha nini Watanzania.
>Naunga mkono maazimio ya viongozi wetu..
 
Yanayoendelea bungeni kwa sasa yana athari kwa jamii inayoiunga mkono chadema japo wengi hawataki kukubali ukweli huu.

Inawezekana ilikuwa hivyo lakini kwa sasa kitendo cha wabunge wa chadema kutolewa nje kila wakati hakiwajengei tena umaarufu bali kinaanza kuharibu sifa nzuri ya chama.

Umakini wa chadema kwa hili una walakini na mmekubali kuanguka kwenye mtego wa Mwigulu Nchemba na Lusinde kwani wao wakijua kwamba watakapowa-prove na ninyi mka-react mtaendelea kutolewa nje na hili halitaendelea kuwa zuri au kuwapatia umaarufu kama zamani na matokeo yake wananchi watawachoka na kuwaona kama wafanya vurugu.

Mpango huu ulisukwa vizuri kwenye party caucus ya CCM wakimtumia Spika, Naibu wake na hao niliowataja hapo juu, wawachokoze mkiwajibu spika awaadhibu na nyinyi muonekana ndio wakorofi na jamii inayowaamini mwishoni mwa siku itaanza kuaminishwa hivyo.

Nawaomba hata kama spika hataki kutenda haki, daini haki hizo kwa njia za kistaarabu, mna rufaa nyingi ambazo hazijajibiwa, endeleeni kukata hizo rufaa na kuwa bungeni, sitegemei kama makinda hata mlalamike kiasi gani atakuja kuwasikiliza kwa kuwa yuko pale kwa kazi ya kuilinda serikali yake na kuuminya upinzani. Hata mkifanya hayo mnayoyafanya hamtasikilizwa, mfano Mh Lissu alipoambiwa atoke nje angetoka sidhani kama ingetokea damage kubwa kama hii iliyotokea. Kuna wananchi wa majimbo sita ya uchaguzi ambao hawatawakilishwa kwa siku tano, hiki sio kitu kidogo.

Nakumbuka enzi za ubunge wa Dr Slaa, alitajwa na tafiti mbali mbali kama ndiye mbunge kinara zaidi kwa michango na hoja zenye mantiki lakini sijawahi kumsikia akitumia maneno yenye kuudhi kama "this government is impotent'.

Wabunge wa chadema, hasa vijana punguzeni emotions, msiwe driven na maneno ya kuudhi ya akina Mwigulu na Lusinde, hawa wameshajulikana kazi yao ni nini na uzuri wananchi wote wanawajua kama ni wazushi na kila mbinu chafu wanazopanga wananchi wanazijua. Hizo single zao za ukabila sijui Dr Slaa alifanya vikao na viongozi wa dini, sijui ugaidi, haziuzi tena huku mtaani. Kwa hiyo acheni waseme na wakiona hawajibiwi watanyamaza na ndio utakuwa mwisho wao. Nawahakikishia Maneno ya Nchemba na wenzake hayana tena athari kwa chama, kwa kuwa wameshajulikana ni kwa ajili ya kukichafua chama na hakuna ukweli kwa chochote wanachoongea. Waachieni wananchi hao akina Nchemba wataawaadhibu 2015.

Pigeni kazi bila emotions, tuko nyuma yenu, msitafute sababu za kuundiwa kanuni kila siku, hili ndio wanalolitaka akina Makinda. Na hizi kanuni mpya za adhabu ni kwa ajili yenu, hata siku moja hutasikia mbunge wa CCM hata atukane tusi kubwa kama la Serukamba kukemewa wala kutungiwa kanuni. Kanuni iliyowasimamisha haikuwepo na sasa imelazimishwa ili kuwaadhibu ninyi na itaendelea kutumika dhidi yenu. Kuweni makini CCM maji yamewafika shingoni, wanatapatapa wanajaribu kushika hata wimbi la maji wakijua ni gogo la kuwaokoa.

Yangu ni hayo.
nafikir ndio mwisho wako wa kufikir ucjal nimekuelewa
 
Mleta mada, unachosema ni kizuri lkn kwa uongozi huu wa sasa wa Bunge naona haiwezekani.
 
Watz tunajua hizi ni hila za ccm, kwa kuwafanya watu wamiini wapinzani hawafai ila hakika ccm ndio msingi wa uovu kwa kila sekta ya nchi hii.
 
Wanaukumbi,

Yanayoendelea bungeni kwa sasa yana athari kwa jamii inayoiunga mkono chadema japo wengi hawataki kukubali ukweli huu.

Inawezekana ilikuwa hivyo lakini kwa sasa kitendo cha wabunge wa chadema kutolewa nje kila wakati hakiwajengei tena umaarufu bali kinaanza kuharibu sifa nzuri ya chama.

Umakini wa chadema kwa hili una walakini na mmekubali kuanguka kwenye mtego wa Mwigulu Nchemba na Lusinde. Nkamia, kwani wao wakijua kwamba watakapowa-prove na ninyi mka-react mtaendelea kutolewa nje na hili halitaendelea kuwa zuri au kuwapatia umaarufu kama zamani na matokeo yake wananchi watawachoka na kuwaona kama wafanya vurugu, fujo na matusi.

Hata mkifanya hayo mnayoyafanya hamtasikilizwa, mfano Mbowe alipoambiwa atoke nje angetoka sidhani kama ingetokea damage kubwa kama hii iliyotokea. Kuna wananchi wa majimbo mengi ya Chadema ya uchaguzi ambao hawatawakilishwa kwa kutoka nje wabunge wao, hiki sio kitu kidogo.

Nakumbuka enzi za ubunge wa Dr Slaa, pamoja na Hamadi Rashidi wa CUF, Dr Slaa alitajwa na tafiti mbali mbali kama ndiye mbunge kinara zaidi kwa michango na hoja zenye mantiki lakini sijawahi kumsikia akitumia maneno yenye kuudhi kama "this government is impotent'.
bbbnm-564x272.jpg

Wabunge wa chadema, hasa vijana punguzeni emotions, msiwe driven na maneno ya kuudhi jengeni hoja zenye mashiko wananchi watawelewa na kufahamu umuhimu wenu hakuna haja ya kutumia ubabe na nguvi nyingi.

Fanyeni kazi bungeni mlizotumwa na wapiga kura wenu, wananchi watakuwa nyuma yenu, msitafute sababu za kuundiwa kanuni kila siku, msiwe wabunge wa mwongozo Spika. Na hizi kanuni mpya za adhabu msipo kuwa makini zitakuwa kwakwa ajili yenu.

Chadema wawe makini na kufuta mawazo ya viongozi wao ambao hawapo makini kwenye mambo ya msingi na umoja wetu kama hapa chini hizi kauli.

Hapa chini tena hizi kauli za viongozi wa Chadema wanakiri kuwa wanafanya fujo.

Huu ubabe wa hawa wabunge wa Chadema hauwezi kuwasaidia zaidi ya kuwabomoa.

Hii picha chini inatufundisha nini Watanzania.

na je ndugai angemsikiliza mbowe kama kiongozi wa upinzani bungeni ingetokea hayo yaliyotokea leo?
 
-Kipindi hicho kulikua na spika wastaarabu na professional.Pamoja na mapungufu yao lakini pia yalikua yanavumilika kitaaluma na kisiasa.

Mnabahati sana serikali hii imewapa uhuru hata mkajiona mnaweza hata kukojoa ndani ya binge na mkaachwa,siku zinakuja ambapo huruma na hekima za JK hazitakuwepo madarakani,atakuja Rais jeuri mtajuta na kushika adabu,angalia Sugu alivomrukia askari,yani chama kimejaa mateja watupu,sio mwenyekiti,hakika Kuna vichaa chadema
 
Kanuni zifuatwe tu, na si upole au ujeuli wa viongozi
 
In an attempt to maintain status quo, vs for the sake of true cosciousness which which change the system. Let people not argue, as if; not only incapable of thinking but as if tey wont be able to think more. Nchi ngumu hiyo jamani Hapo hata kwa matusi ukombozi tunataka. CHADEMA juuuuuuuuuuuuu
 
Kinacholeta haya tunayoyaona yote ni umbumbu wa spika na naibu wake, katika kipindi ambacho Slaa alikuwepo bungeni spika alikuwa Samweli Sitta huyu alikuwa akiruhusu hoja za kila upande.Leo hii uongozi wa bunge unatoa majibu ya serikali.Na unashabikia chama!
 
Back
Top Bottom