palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,463
Moderator:
Picha hizi chini si za leo, zinatumika kufanya propaganda. Dr. Slaa yupo nchini na JamiiForums imewasiliana naye na kuthibitisha hajaondoka nchini
======
Kama ailivyokuwa kwa mwenzake Pof. Lipumba mara baada ya kufanya press conference alikwea pipa. Vivyo hivyo Dr. Slaa naye kakwea pia leo. Habari za uhakika ni kuwa anaelekea USA.