MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,952
- 10,512
Ni mgombea wa kudumu, hana mpinzani.
tulia vizuri dawa ikumiminikie upate:mimba:
Ni mgombea wa kudumu, hana mpinzani.
Hauna tija? Mbona wenzao walikuwepo? Lipumba na Nccr walikuwepo in short ulikuwa wa vyama vya upinzani.[/QUO]
Sio kilicho na tija kwa mwenzio na kwako pia kitakuwa na tija, huenda chadema wanayo sababu ya kutohudhuria
Dr Slaa hajawahi kutamka mahali popote pale kwamba anautaka Urais wa Tanzania......Hayo ya yeye kutaka kuwa rais umeyatoa wapi?
Let the fact be told....Dr ni mtu makini...sio mtu wa kukurupuka...Its well known hata kwako wewe
Hivi nyinyi mbona akili zenu ndogo,Slaa hakugombea uchaguzi 2010? kufanya hivo tayari kunampa yeye sifa ya kuwa anaweza akawa Ikulu mda wowote kulingana na mazingira hata kama kwa mwaka huu hajatangaza,hivo yule ni figure ambayo tayari ni Presidential level so hicho nilichokizungumza lazima awe nacho.Kuna watu ambao wanaonekana sio Presidential level kwahiyo hata wasipokuwa na hizo sifa hatujali lakini sio Dr Slaa ambaye tunajua at any time anaweza akawa rais wetu its just a matter of time.
Sawa yeye ni makini kuliko member wenzake wote wa Ukawa including Prof Lipumba,Mbatia,Makaidi na ACT's Zitto ambao tumewaona jana wakielezana ideas za vyama vyao kuhusu jinsi ya kulisukuma taifa mbele na hivyo ndio tunataka kama taifa,inafika wakati tuweke uvyama pembeni tuangalie taifa kwa pamoja.Hizi habari za sijui mlinzi kataka kuniua,sijui CCM wamenitegea kinasa sauti tumezichoka we need to hear ideas za vyama ni zipi vikiingia madarakani wananchi wapate chaguo sahihi.
Unatenda nini wewe? kuhamasisha kila kiongozi anafanya including Lipumba,Zitto,hata Lowasa ambaye hamtaki hata kusikia jina lake lakini anakopita tunasikia akihamasisha!! mkuu ndio mlikofikia credit mnazitafutia katika uhamasishaji kazi ambayo hata mimi naifanya ninapokutana na vijana wezangu huwa nawaambia "Msipopiga kura hakuna kulalamika twendeni tukajiandikishe".Ukweli ni kuwa mnakimbia midahalo na hii ni very unhealthy kwa siasa za chama chenu na ustawi wa nchi acheni hiyo tabia,Accept the criticism jirekebisheni,Simple.Taifa halitaki waongeaji linataka watendaji...wewe kama unataka kuongea sana endelea..Sasa hivi CHADEMA tunatenda....Tunahamasisha wananchi kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura...Baada ya hapo debates tutaenda .....haraka ya nini?
Unatenda nini wewe? kuhamasisha kila kiongozi anafanya including Lipumba,Zitto,hata Lowasa ambaye hamtaki hata kusikia jina lake lakini anakopita tunasikia akihamasisha!! mkuu ndio mlikofikia credit mnazitafutia katika uhamasishaji kazi ambayo hata mimi naifanya ninapokutana na vijana wezangu huwa nawaambia "Msipopiga kura hakuna kulalamika twendeni tukajiandikishe".Ukweli ni kuwa mnakimbia midahalo na hii ni very unhealthy kwa siasa za chama chenu na ustawi wa nchi acheni hiyo tabia,Accept the criticism jirekebisheni,Simple.
Mkuu napenda sana tukiwa tuna argue hivi ndivo tunavotakiwa,bado napingana na weweHakuna aliyesema Lowasa hahamasishi
Hakuna aliyesema Lipumba hahamasishi
Hakuna aliyesema zito hahamasishi
Naomba uelewe...Ninachokisema...Focus ya CHADEMA kwa sasa ni kuhamasisha wananchi kujiandikisha katika daftari la wapiga kura.Na hio kazi inafanyika na ushahidi wa kutosha upo.
Hakuna aliyetafuta Credit katika hili ila fact on the ground inaonesha nini kinafanyika
Pia naomba kusisitiza....Taifa halijengwi kwa midahalo...hakuna kitu kipya kilichoongelewa kwenye huo mdahalo...Kila kitu kinajulikana na kiko obvious...Taifa linahitaji watendaji...na wawajibikaji.....sio wapiga porojo
Taratibu za ndani za Chama zikikamilika we will do the talking mnayoitaka,na ni ndani ya wiki chache zijazo.......Haraka yenu ni ya nini haswa?
Mkuu napenda sana tukiwa tuna argue hivi ndivo tunavotakiwa,bado napingana na wewe
1.Labda kama ninavoelewa mimi kazi ya midahalo ni tofauti na wewe,YES tunataka watendaji lakini wananchi watajuaje wewe mtendaji?? yes kuna majukwaa lakini sio wote watakuona ukienda kuhutubia Singida vijijini huko,au Mtwara etc,Lakini midahalo inakuwa ni rahisi kuonekana na majority ya wananchi ndio mana hii platform ni muhimu kwa vyama kuelezea sera za vyama vyao na maono ya viongozi wao,sasa ukikomaa na utendaji huku wananchi hawajajua utatenda nini utabaki unalia kila siku unaposikia ccm wameshinda uchaguzi.Kwa hiyo dhana ya taifa halijengwi kwa midahalo mimi sikubaliani nalo,midahalo ndio itakayopelekea kupata kiongozi ambaye atakuja kufanya huo utendaji unaosema wewe.Hivi unafikiri Obama bila Midahalo angepata kura ya nani koz hadi alipotangaza nia No body knew him na hakuna aliyejua anasimamia vitu gani hadi alipohudhuria midahalo.
2.Sikutegemea Mtu kama Slaa kukwepa mdahalo ambao ni muhimu kwa taifa kwa visingizio alivyotoa,angalia viongozi waliobaki walivojipanga jana na kubadilishana mawazo ya jinsi ya kulisukuma taifa,wewe unatuambia hujaandaa ilani huwezi kuja? kweli? 1hr itakufanya kila kitu kiharibike huko unakoandaa hiyo ilani? kweli chama kinakutegemea wewe tu kiasi kwamba ukipoteza saa moja kwa mjadala wa kitaifa chama kitakosa ilani?
3.Focus ya Chadema ni kuhamasisha.....mmmh ndio mana nikasema kila mtu anahamasisha sio swala la kusema ni focus ya chadema kwa sasa,kweli na ukubwa wa chama chenu focus ya chama chote ni kuhamasisha kiasi kwamba hata kuhudhuria Mdahalo ni ishu,kweli nchi ilivojaa mambo mazito mtaiweza kweli mkiwa Ikulu kama vitu hivi vidogo tu mnashindwa kujipanga na kuvifanya Simultaneously???
4.Yes the so called Mafuruki anaweza akawa ana mapungufu yake katika organisation,lakini kusema chama/ukawa hakijachagua mgombea kwahiyo kwa yeye Slaa kwenda itakuwa kujipigia debe it too low for him,koz Mafuruki alishaweka wazi lengo la mdahalo haikuwa wagombea kwenda kujiuza,ndio mana akaalika hata wengine ambao sio wagombea eg ZZK,pia Lipumba pamoja na kuwa keshatangaza nia lakini hukumuona akijipigia debe pale kwamba yeye ndio ana uwezo wa kupeperusha bendera ya ukawa,sasa kwa nini Dr Slaa aogope yeye? Jamani sisi ni watu wazima ni bora angesema tu kama alivosema Lowasa kwamba siji bila sababu ya msingi basi.Mkuu napenda sana tukiwa tuna argue hivi ndivo tunavotakiwa,bado napingana na wewe
1.Labda kama ninavoelewa mimi kazi ya midahalo ni tofauti na wewe,YES tunataka watendaji lakini wananchi watajuaje wewe mtendaji?? yes kuna majukwaa lakini sio wote watakuona ukienda kuhutubia Singida vijijini huko,au Mtwara etc,Lakini midahalo inakuwa ni rahisi kuonekana na majority ya wananchi ndio mana hii platform ni muhimu kwa vyama kuelezea sera za vyama vyao na maono ya viongozi wao,sasa ukikomaa na utendaji huku wananchi hawajajua utatenda nini utabaki unalia kila siku unaposikia ccm wameshinda uchaguzi.Kwa hiyo dhana ya taifa halijengwi kwa midahalo mimi sikubaliani nalo,midahalo ndio itakayopelekea kupata kiongozi ambaye atakuja kufanya huo utendaji unaosema wewe.Hivi unafikiri Obama bila Midahalo angepata kura ya nani koz hadi alipotangaza nia No body knew him na hakuna aliyejua anasimamia vitu gani hadi alipohudhuria midahalo.
2.Sikutegemea Mtu kama Slaa kukwepa mdahalo ambao ni muhimu kwa taifa kwa visingizio alivyotoa,angalia viongozi waliobaki walivojipanga jana na kubadilishana mawazo ya jinsi ya kulisukuma taifa,wewe unatuambia hujaandaa ilani huwezi kuja? kweli? 1hr itakufanya kila kitu kiharibike huko unakoandaa hiyo ilani? kweli chama kinakutegemea wewe tu kiasi kwamba ukipoteza saa moja kwa mjadala wa kitaifa chama kitakosa ilani?
3.Focus ya Chadema ni kuhamasisha.....mmmh ndio mana nikasema kila mtu anahamasisha sio swala la kusema ni focus ya chadema kwa sasa,kweli na ukubwa wa chama chenu focus ya chama chote ni kuhamasisha kiasi kwamba hata kuhudhuria Mdahalo ni ishu,kweli nchi ilivojaa mambo mazito mtaiweza kweli mkiwa Ikulu kama vitu hivi vidogo tu mnashindwa kujipanga na kuvifanya Simultaneously???
Kweli mkuu haingii akilini.Yes the so called Mafuruki anaweza akawa ana mapungufu yake katika organisation,lakini kusema chama/ukawa hakijachagua mgombea kwahiyo kwa yeye Slaa kwenda itakuwa kujipigia debe it is too low for him,koz Mafuruki alishaweka wazi lengo la mdahalo haikuwa wagombea kwenda kujiuza,ndio mana akaalika hata wengine ambao sio wagombea eg ZZK,pia Lipumba pamoja na kuwa keshatangaza nia lakini hukumuona akijipigia debe pale kwamba yeye ndio ana uwezo wa kupeperusha bendera ya ukawa,sasa kwa nini Dr Slaa aogope yeye? Jamani sisi ni watu wazima ni bora angesema tu kama alivosema Lowasa kwamba siji bila sababu ya msingi basi.Arguments zako zinashahabiana na jina lako big up bro how come mdahalo wa an hour basic qns politician facing everyday unatolewa excuse?? Au tuseme watu (cdm) wamekuwa wanijiamni kiasi hicho. Sioni tafouti ya kiburi kilichoanza kuwachomoza kmsame as ccm. Jaman 2010 sio 2015 kumbukeni uchaguzi ulitawaliwa factor nyingi i.e kwa mpasuko wa kidini sasa isiwape watu kiburi kuwa wanakubalika kihivyo.
Mkuu napenda sana tukiwa tuna argue hivi ndivo tunavotakiwa,bado napingana na wewe
1.Labda kama ninavoelewa mimi kazi ya midahalo ni tofauti na wewe,YES tunataka watendaji lakini wananchi watajuaje wewe mtendaji?? yes kuna majukwaa lakini sio wote watakuona ukienda kuhutubia Singida vijijini huko,au Mtwara etc,Lakini midahalo inakuwa ni rahisi kuonekana na majority ya wananchi ndio mana hii platform ni muhimu kwa vyama kuelezea sera za vyama vyao na maono ya viongozi wao,sasa ukikomaa na utendaji huku wananchi hawajajua utatenda nini utabaki unalia kila siku unaposikia ccm wameshinda uchaguzi.Kwa hiyo dhana ya taifa halijengwi kwa midahalo mimi sikubaliani nalo,midahalo ndio itakayopelekea kupata kiongozi ambaye atakuja kufanya huo utendaji unaosema wewe.Hivi unafikiri Obama bila Midahalo angepata kura ya nani koz hadi alipotangaza nia No body knew him na hakuna aliyejua anasimamia vitu gani hadi alipohudhuria midahalo.
2.Sikutegemea Mtu kama Slaa kukwepa mdahalo ambao ni muhimu kwa taifa kwa visingizio alivyotoa,angalia viongozi waliobaki walivojipanga jana na kubadilishana mawazo ya jinsi ya kulisukuma taifa,wewe unatuambia hujaandaa ilani huwezi kuja? kweli? 1hr itakufanya kila kitu kiharibike huko unakoandaa hiyo ilani? kweli chama kinakutegemea wewe tu kiasi kwamba ukipoteza saa moja kwa mjadala wa kitaifa chama kitakosa ilani?
3.Focus ya Chadema ni kuhamasisha.....mmmh ndio mana nikasema kila mtu anahamasisha sio swala la kusema ni focus ya chadema kwa sasa,kweli na ukubwa wa chama chenu focus ya chama chote ni kuhamasisha kiasi kwamba hata kuhudhuria Mdahalo ni ishu,kweli nchi ilivojaa mambo mazito mtaiweza kweli mkiwa Ikulu kama vitu hivi vidogo tu mnashindwa kujipanga na kuvifanya Simultaneously???
Kweli mkuu haingii akilini.Yes the so called Mafuruki anaweza akawa ana mapungufu yake katika organisation,lakini kusema chama/ukawa hakijachagua mgombea kwahiyo kwa yeye Slaa kwenda itakuwa kujipigia debe it is too low for him,koz Mafuruki alishaweka wazi lengo la mdahalo haikuwa wagombea kwenda kujiuza,ndio mana akaalika hata wengine ambao sio wagombea eg ZZK,pia Lipumba pamoja na kuwa keshatangaza nia lakini hukumuona akijipigia debe pale kwamba yeye ndio ana uwezo wa kupeperusha bendera ya ukawa,sasa kwa nini Dr Slaa aogope yeye? Jamani sisi ni watu wazima ni bora angesema tu kama alivosema Lowasa kwamba siji bila sababu ya msingi basi.
unaelekea ulitokea ambako hawatokei watoto wote wanapozaliwa unalaana wewe na kizazi chako chote bazazi mkubwa usidharau bibilia hata siku moja jinni wewe