sammosses
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 1,682
- 1,110
Ni wajing wachache tu ndiyo watakaohangaika kuita busara.Hata kama kuna usemi unaosema pasipo na habari tengeneza habari basi hii ya Machage ni too much.tunakwenda wapi wapi wanatasinia wa habari,sitaki kuamini kama Tanzania kuna ombwe la waandishi ili hali vyuo vyetu kila siku viantoa product za uhakika.Machage ndugu yangu tunakuomba rudi tena darasani,huendaikawa ulisahau some materials for the creation of articles.Ni haki yako kikatiba kukosoa ila usijaribu kuupotosha umma.uanaharakati huo huo wa CDM ndiyo uliogawa kura za urais tena zenye utata mpaka sasa.!?Uharakati huo huo ndiyo uliopelekea Dalali kufichwa nje ya nchi ili hali serikali iksema wakimhitaji hawashindwi kumpata!Uharakati huo huo ndiyo uliopelekea CCM kujivua magamba na nchi kuyumba.Sasa basi kama maandamano ya CDM yanakukera na hayana tija unaeweza kuanzisha chama unachoshauri kuliko kupiga domo kaya lisilo na mashiko