Dr Slaa aizika CCM Tunduma

Dr. Slaa aache kufanya mikutano mijini, aende vijijini, au anaandaa mazingira ya kusema nimeibiwa?
 


Ratiba ikiruka mkutano Mlowo itakuwa jinai kubwa kabisa hiyo. Nina hakika wachakarikaji wa Mlowo wangependa sana kumwona Dr Slaa pale wajue wanaheshimiwa, wajue wanapendwa na chama hiki chaguo la watu jipya.
 
Padre kuchukuwa wake za watu ndo heshima!!!

Mkuu mbona unatokwa Mapovu? Kama anachukua Wake za watu sio kosa lake. Kosa ni la hao Wanaume wanaoshindwa kuwafikisha au Kuwaridhisha Wenzi wao!

Ila inaonekana una Wivu sana je Mama yako nae angejipendekeza kwa Dk Slaa halafu akaamua kumtolea Uvivu ungechukia pia!!

Ya Ngoso mwachie Ngoso.Dk hawezi kuchukiwa na Wananchi kwa Maneno yenu yasiyo na Nyuma wala mbele.Kama huamini kamuulize Nape na Mwigulu Mzinzi kwa jitihada zao wanazojaribu kumchafua Dk Slaa bila Kufanikiwa.

Mama yako pia akijipendekeza usidhani ataachwa na jinsi tena inavyoonekana una Kiherehere. Mama yako si ndio zaidi sasa?

CCM NI GENGE LA WAHUNI HAIKUBALIKI TUSHIRIKIANE KUITOKOMEZA!!!!!
 
Utambulisho unaendelea viongozi mbalimbali wanatambulishwa saizi.!!!
======
Mama Josepheni anasema yeye hana tamaa ya kwenda ikulu ya majambazi. Ndugu zangu Dr. Slaa haitaji kwenda ikulu anaelimu ya kutosha kuishi popote.
Naomba mniombee nimtunze Dr. Wenu vizuri ili tuweze kuiondoa ccm madarakani.!!!

=========

Chadema ilichukua Kura zote tatu hapa tunduma. Diwani,mbunge na Rais. Anatoa mhitasari wa maendeleo yaliyofanywa na chadema Tunduma. Jimbo la mbozi ndio lenye madarasa mengi zaidi mkoa wa mbeya kupitia chadema.

Silinde....
Kulinga na uhaba wa maji mdogo wa Tunduma, nilitoa milioni 35 kwa ajili ya visima na visima vimechimbwa.

==========

Tanzania sio. Ya wakristo wala sio waislamu..... Sitamung'unya maneno Le....... Udini umeletwa na viongozi wenye tamaa ya madaraka.

=========
Dr.Slaa
Nimekuja kwenu kuleta matumaini mapya. Kwanini watanzania ni maskini ccm imeshindwa kutupa jibu ndani ya miaka 50. Maji ni siasa,barabara ni siasa, afya ni siasa.... Siasa imetawala kila kitu ndio maana hata ugumu wa maisha unasavavishwa na siasa...

Jukumu la kwanza la shekhe na Askofu ni kukemea uonevu dhidi ya wananchi.

Dr. slaa: sioni haja kuilinda mikutano yangu wakati raslimali za taifa zinaibiwa kila siku. Nataka kumwambia kikwete ameshindwa kuongoza nchi. Sababu raslimali zetu zinaibiwa kila siku na yeye yupo tu hachukui hatua..

Dr.Slaa...
Akichambua vifungu vya sheria kuhusu kazi ya mwanasiasa. Anaelezea kazi ya mwanasiasa ni kuikosoa na kuierekebisha serikali dhidi ya makosa kwa nchi.!!!

Dr.Slaa...
Siasa safi ziliondoka na mwalimu Nyerere sio saizi..... Watanzania wamefanywa maskini, umaskini wetu sio mpango wa Mungu ni sera mbovu za ccm. Ari zaidi, kasi zaidi, inamfanya mtanzania awe maskini zaidi.!!!!

Dr.Slaa...
Chadema inaandaa makamanda 36000 kwa ajili ya kusambaza majimbo yote Tanzania. Kuanzia sasa tunataka tuwe na mabalozi wa chadema kila mtaa. Mtu akiambiwa taja balozi wako utaje wa chadema na sio ccm tena.!!!!

Dr.Slaa...
Tuliaidi kwamba uwezo wa kubadilisha nchi tunao. Kwa raslimali zetu hata SA hawatufikii... Adui wa ccm sio chadema...
Boresheni maisha ya mtanzania muone kama mtasemwa.!!

Dr.Slaa...
Usalama wa Taifa ni weupe kama karatasi. Mipango yao yote inaishia mikononi mwa chadema...

Dr.Slaa
Kikwete ndio mdini namba moja Tanzania. Kwa kuuanzisha kuulea na kuundeleza kwa maslai yake na hatimae taifa limepasuka mikononi kwake.!!

Dr.Slaa....
Kikwete ndi mchechezi mkubwa wa udini. Simsemi kikwete sababu ya imani yake. Nimefanya kazi na mwinyi kwa muda mrefu hakujawai kutokea udhaifu kama wa kikwete.

Dr.Slaa...
Anamaliza sasa kwa kuwaomba wenye nia nzuri na nchi hii wajitolee kwa ajili ya ujenzi wa ofisi ya ustawi wa chadema Tunduma.

Maana chadema ni ya wananchi.!!!!
=========
 
Anasema ccm wameandaa kutoa mikopo ya pikipiki kwa vijana iliwaendelee kukichagua. (Mke wa dr.slaa)
 
Sasa anaongea Mbunge wa mbozi mashariki ndugu Davidi Silinde.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…