Dr Slaa aizika CCM Tunduma


Mkuu Chilipamwao najua utakuwa maeneo husika hakikisha unapata picha za kutosha.
 
Last edited by a moderator:
Mwampamba karibu usikie sumu zinavyo mwagwa.
 
tunawatakia mkutano mwema na muwe makini na mamluki wa uvccm waovalishwaga magwanda wanakuja kuleta fujo ili ionekane ni chadema wameleta.Mungu awatangulie katika yote Ameni.

Mkuu Chadema nyanda za juu kusini kipo makini kuliko maelezo
 
Chadema nendeni vijijini mkatoe elimu ya uraia, wao wanaamini ccm ndo kila kitu! Mkifanikiwa kutoa elimu ya uraia kwa asilimia 60 tu vijijini mnaweza kubadilisha historia ya taifa letu!
 

anamchanganya dr slaa na kinana bariiidi?duh
 
Kila la kheri makamanda wa Tunduma na Mbozi. Huu si wakati wa kufanya ajizi na magamba hata kidogo.

Ni lazima tushirikiane kuwakataa ccm kwa vitendo na walitambue hilo.

Mungu akujalie afya njema kamanda Dr.W.Slaa ili hatimaye watanzania wapate kunufaika na utumishi wako.
 
Last edited by a moderator:
Safi sana CDM..haya ndio mambo tunataka kusikia... Dr piga kazi achana na porojo za magamba......
 
Kila la heri dr mungu akupe afya njema uweze kufanya shughuli za chama ipasavyo kwani tunaamini tulianza na mungu na tunaendelea na mungu na tutamaliza na mungu amina.
 
Chadema nendeni vijijini mkatoe elimu ya uraia, wao wanaamini ccm ndo kila kitu! Mkifanikiwa kutoa elimu ya uraia kwa asilimia 60 tu vijijini mnaweza kubadilisha historia ya taifa letu!

hili nalo neno mkuu inabidi makamanda wasambae interior kabisa ushindi lazima utapakatikana
 
 
CDM walipanga mkakati mzuri sana wa kiuongozi Bungeni na nje ya Bunge ambao unatoa mbadala sawia kwa serikali iliyoko madarakani.

Kwamba; kila kiongozi wa CCM bungeni na nje ya bunge anaye mbadala wake ndani ya CDM, Kifo cha CCM 2015 ni dhahili, hata wana CCM wengi wanalijua hilo.

Madam Supika, Makinda -------------- Mbowe, Kiongozi wa Upinzani Bungeni
Waziri Mkuu, Pinda -------------------- Zitto, Makamu Kiongozi wa Upinzani Bungeni
Msemaji wa CCM bungeni, Lukuvi ------- Tundu Lissu, Mnadhimu Kambi ya upinzani bungeni
Raisi aka Mkuu wa nchi, Kikwete ------- Dr. Slaa; Katibu Mkuu CDM; Rais Mioyoni mwa waTZ (Majority)
Mawaziri, --------------------------------- Mawaziri Vivuli
Wakuu wa mikoa -------------------------- Wakuu wa Kanda
----------
----------
---------
Mkuu wa PoliCCM; Saidi Mwema --------------------------------- Rwakatare (haaaa haaa ), Mkuu wa Usalama CDM
 
Moyo wangu hujisikia raha sana kila nikisikia jina la dr.Slaa likitamkwa popote.nadhani kwa kuwa kiongozi bora hutoka kwa MUNGU,basi sina shaka kuwa dr.Slaa katoka kwa MUNGU kwa ajili ya watu wake wa TANZANIA.
 

Mkuu hapo kwenye red mbona husomeki? Ulichoandika hapo ni zaidi ya matusi unajua hilo? Unawezaje ku-equate hao watu wawili!
 
Reactions: MC
Mkuu hapo kwenye red mbona husomeki? Ulichoandika hapo ni zaidi ya matusi unajua hilo? Unawezaje ku-equate hao watu wawili!

Mkuu Dudus, wewe ndio hujanielewa, ninachoongelea ni mbadala, kumbuka mbadala sio lazima iwe sawasawa inaweza kuwa zaidi. Kikwete ni President kama alivyo Obama. Kikiitishwa kikao cha Marais wote wana nafasi sawa kimsingi, lakini practically influence yao ni tofauti sana kwenye kikao hicho.

Nielewe mkuu;
 

Bila shaka atakuwa ni mzee Ndovu.
 
Muda sio mrefu kila kitu kitakua sawa.!!!
 
mkuu Greenwich tupatie picha na updates kwa ajili ya hawa ndugu zetu wapendwa ccm waweze kusadiki!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…