Dr. Slaa ailipua Ikulu

kipenzi cha wanachadema sio watanzania nani hamtake slaa labda ww na familia yenu ya chagadema
 
kipenzi cha wanachadema sio watanzania nani hamtake slaa labda ww na familia yenu ya chagadema

Kwasababu wewe nifisadi ndio maana unasema si kipenzi cha watanzania, sasa kwatarifa tutaendelea kuwabana mafisadi wote kama wewe
 
Ningeshangaa sana babu asingedandia hii hoja muflis, maana siku hizi kaishiwa, anatazama upepo na anadandia.

Babuuu, kalee kijukuu. Haya mambo huyaelewi tena ntashangaa zaidi kama hii hoja haijafanywa ya chademaa.

Unajua maana ya neno muflisi? Bila shaka hujui na ndiyo maana unajitia aibu hadharani. Watu wana uchungu na wezi wewe unawatetea bila hata chembe cha aibu kwa malipo ya ya senti za kununulia bamia. Ona haya.
 

Acha kusifia mwizi wa fedha za chama. Kwani yeye alisharudisha ile milioni 140 aliyochukua kwenye chama. Au yale magari chakavu waliokiuzia chama yeye na mwenyekiti wake kwa bei ambayo hata kichaa asingeweza kuyanunua na kwenda kugawana fedha je hiyo fedha ilisharudi ndani ya chama? Kama kweli wanapinga ufisadi iundwe tume huru ili ichunguze uhalali wa matumizi na posho ndani ya chama (Chadema)
 
Maajabu ya dr.w.slaa ni kudandiaga hoja tu sijawahi msikia akija na hoja mbadala.
 

Yaani wewe bazoka kweli, kwahiyo unafurahia unapoona serikali imetulia nakuendelea kufanya kazi na mafisadi yaliyochukua mabillions, tumieni akili. Yaani maabara walalahoi wanachangishwa, waalimu wenye mishahara kiduchu wanakatwa kwanguvu afu wengine wanabeba mipesa kwenye masandarusi afu unaongea ujuha hapa. Baba Slaa watanzania tusiotumika wengi tuko nyuma yako, tunakutakia maisha mema baba, wajinga kama hawa baba wamelipwa namafisadi kisha wanabadili id nakushinda humu wakibwabwaja ujuha wao. Kaza buti nasi huku mtaani tunakusaidia kupaza sauti zenye mamlaka kwa Mungu.
 

Kamanda cray umeongea kwa uchungu sana.Ninaelewa unavyojisikia..
 
Last edited by a moderator:
Maajabu ya dr.w.slaa ni kudandiaga hoja tu sijawahi msikia akija na hoja mbadala.

Wewe nimpuuzi sana, kwahiyo issue hii kama iliibuliwa na Kafulila hata akina Sendeka, mwigulu namisisiem mingi tu iliyochangia kwa mantiki ya kuwawajibisha mafisadi nao walidandia hoja? Acha utoto na kama si utoto bac ukuwadi, hii ni issue si ya kafulila tena, ndio maana inamaazimio ya bunge, so ni issue yakitaifa. Hivi huwa mnadhani mnadanganya nani? Mnadhani watanzania hawa wa sasa niwakutafuniwa tu wakameza tena watafunaji wenyewe ni weh... kama wewe. Acheni kutumika ipo siku mtaombwa na maka...l.o
 

Huna hoja wewe bali unaleta Mahoka
 
kipenzi cha wanachadema sio watanzania nani hamtake slaa labda ww na familia yenu ya chagadema

Mtu mwenye kufikiri kwakupitia the opposite of the organ, ndo anaongea ushuzi kama huu, angalia content si ujuha ka wako, so unafurahia escrow kwakua unamegewa vi elfu sabasaba, angalieni swala hili imeligharim taifa kiasi gani? Je uchumi wataifa haujayumba? Hakuna negative cosequences kwahili jambo? Kama zipo kwanini watu wasiliongelee? That is a logic, na sio chama. Ndomana yawezekana mtoa mada ni cdm lakini ameona nccr hasa aliegundua wizi huu anahoja, sio kwamba anampandisha bali anapaza sauti yake iungane nawengine wengi wenye nia njema nataifa hili ili angalau tupate unafuu na janga hili lakifisadi. Think and change.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…