Dr. Slaa ailipua Ikulu

Muhimu UKAWA kuitisha maandamano nchi nzima kushinikiza JK kutekeleza maamuzi ya bunge au ajiuzulu.

Ni wazi Dr Slaa anawaandaa Watanzania..

Ukawa ni lazima watafanya jambo kubwa
 

Mkuu huo umakini wa mr president uko wapi?
Chini ya uongoz wake nchi imeshuhudia tembo wakipungua kwa kasi ya ajabu na kutisha, kiwango cha elimu kimeshuka, deni la taifa limepaa, umaskini na ufukara unazd, afya duni, tembo na twiga wamepakiwa kwenye ndege na kusafirishwa, kinyume cha sheria. And you call JK eti mtu makini stupid kabisa.
 
Du nimekuja speed nikajua ameipiga bomu kama walivyo jilipua Arusha kumbe story zenyewe za Shigongo dah.

Ulijua nivile vibahasha venu mnavyo pewaga au ni wali maharage mnaolishaga watu kwenye mikutano yako
 

Kuna aliyekuzuia kuanzisha thread kwa hao uliowataja?

Kwani mpaka aanzishe Molemo ndiyo uridhike?
 
Muhimu UKAWA kuitisha maandamano nchi nzima kushinikiza JK kutekeleza maamuzi ya bunge au ajiuzulu.
hii sasa itakuwa sio Nchi
Kama hata majungu ya Bunge kuyatekeleza wakati hata Mahakama inakataa mtu yeyote asiingilie jambo hilo
Jifunzeni taratibu za mihimili mi3 MAHAKAMA, BUNGE, RAIS/SERIKALI
mfano Muswada (Bills) ikipendekezwa /kupitishwa na Bunge sio lazima asubuhi Rais aisaini kuwa SHERIA inaweza chukua hata miaka

 
BABU ni wakupuuzwa tu! Upweke, maradhi na Uzee vinampeleka puta!
 
Ningeshangaa sana babu asingedandia hii hoja muflis, maana siku hizi kaishiwa, anatazama upepo na anadandia.

Babuuu, kalee kijukuu. Haya mambo huyaelewi tena ntashangaa zaidi kama hii hoja haijafanywa ya chademaa.

Aisee! hii hoja inaungwa mkono mpaka na CMM chezea upinzani weweee!!!
 
tatizo hapa ni watanzania wengi kuendeleza njaa na kugeuka wapiga debe wa mafisadi na kujitoa akili kama kina nchambi namshana na wengineo weeeeengi ccm

hamuwasemi vibabu na vigagula vilivyosheheni ndani ya ccm yenu.lakini slaa mnamuita babu.
kikwete akitaka ku?danganya watanzania Anaita wazee lak!ini doctor wa ukweli akiongea ccm yoote inahamia humu kisa hamtaki ukweli uwafikie watanzania hii ni aibu
 
Wezi wana lindana,

tume shidwa kuwa objective kamataifa,
tume shindwa kuwa objective kama serekali
tume shindwa kuwa objective kama Bunge,
....
Mbowe
 
Kuna aliyekuzuia kuanzisha thread kwa hao uliowataja?
Kwani mpaka aanzishe Molemo ndiyo uridhike?
Kwani Zitto na Kafulila hawakuwa CHADEMA? au kwa vile hawatoki Kaskazini
Hoja ya ESCROW si ya CHADEMA na ndio maana Kafulila kaikomalia tena akijua kuna watu wataidandia km yao
Dr Slaa yeye aendelee na UKAWA na katiba km za EPA zimeisha bado za Mwembe yanga
msifukuze upepo tu Mbunge Simbachawene (Mwanasheria ) aliwaambia Wabunge km Rais akikataa kuwawajibisha hao mliompelekea mtamfanya nini? (CHADEMA mmeona ni kuzunguka mitaani?)
 
Makanda Molemo chakujiuliza hapa kwanini kidumu kina mashine nyingi zakutengeneza ufisadi
 

Nimekuuliza tena kwani ni lazima Hoja aanzishe Molemo?

Kwanini unipangie cha kuandika?

Wewe ni nani hata unishikie akili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…