Dr slaa ahudhurie au asihudhurie kuapishwa kwa kikwete kesho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dr slaa ahudhurie au asihudhurie kuapishwa kwa kikwete kesho

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Jatropha, Nov 5, 2010.

 1. Jatropha

  Jatropha JF-Expert Member

  #1
  Nov 5, 2010
  Joined: Apr 9, 2009
  Messages: 1,152
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 160
  ndugu zangu uchaguzi umekwisha na matokeo yenye utata yamekwishatolewa na tume ya uchguzi. Matokeo hayo yana kila dalili kuwa yamechakachuliwa kwa nia ya kumuokoa mgombea wa ccm dr jakaya kikwete na kulinda heshima ya ccm.
  Najua wengi wetu tuna uchungu sana wa kuibiwa kura zetu. Lakini ni ukweli kwamba chadema imepata madiwani na wabunge wengi kwa mara ya kwanza, mfano katika kanda ya ziwa upo uwezekano mkubwa chadema ikaongoza halamshauri na manispaa zisizopungua 4hadi 6.

  Huu ni mzigo mkubwa sana ambao chadema imebeba mbele ya jamii kwa kipindi cha miaka mitano ijayo. Na matarajio ya wananchi ni makubwa sana.

  Kama madiwani na wabunge watashindwa kuondoa kero mbali mbali zinazowakabili wananchi katika kata na majimbo chadema iliyopata ushindi ni wazi kuwa idadi ya madiwani na wabunge wa chadema itashuka sana mwaka 2015, jambo ambalo litakuwa shangwe kubwa kwa ccm. Lakini kibaya zaidi chadema itashindwa kupata viti vya wenyeviti wa serikali za mitaa na vijiji mwaka 2014.

  Ili chadema iweze kujipanga vyema kushika madaraka katika halmshauri ilizoongoza na wagombea wake wengine walioshinda kutekeleza kwa vitendo ahadi zao kwa wananchi, panahatajika hali ya amani na utulivu miongioni mwetu wote viongozi wa ngazi ya taifa, mikoa, wilaya, madiwani na wabunge wetu
  .

  ni kuweli usiopingika ili madiwani na wabunge wa chadema waweze kutimiza matarajio ya wananchi, wananchama wote wa chadema katika maeneo husika wanahatajika kushirikai katika kubuni, kuratibu na kusimamia mipango, mikakati na miradi mabali mbali ya maendeleo katika maeneo yao. jukumu hili linahataji wananchama wenye mawzo yaliyotulia.


  Jukumu lingine kubwa lililo mbele yetu kama wananchama na makada wa chadema ni kukijenga chama kwa kufungua matawi na mashina nchi nzima ili kujiweka tayari na uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2014 na uchaguzi mkuu wa 2015. Hili nalo ni jukumu kubwa linalohitaji wananchama waliotulia.

  Hivyo wakati chadema makao makuu ikishughulikia suala la kuibiwa kwa kura zetu, ambapo naamini suluhisho kamili ni kuandikwa upya kwa katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania kwa kushirikisha wadau mbali mbali; na kupatikana kwa tume huru ya uchaguzi.

  Natoa pendekezo wanachama na mashabiki wa chadema wengine wote tusitishe malumbano ya suala hilo na tujikite zaidi katika majukumu niliyoyataja hapo juu, kwani wananchi waliowapigia kura madiwani na wabunge wetu watakapona tunaendeleza malumbano ya suala hilo watavunjika moyo na kutokuiamini chadema katika chaguzi zijazo. Aidha endapo madiwani na wabunge wetu watakaposhindwa kutimiza ahadi
  kwa sababu za msingi wapinzani wetu watawaambi wananchi kuwa tulishindwa kutimiza ahadfi hizo kwa sababu ya kugombea kwenda iuklu, hivyo tutakosa kura siku za usoni.

  Hivyo kwa kuanzia ili kujenga mazingira mazuri ya nashauri chadema ishiriki katika shughuli ya kuapishwa kwa kikwete ndipo madiwani na wabunge wetu pia wataweza kupata ushirikiano watakaouhitaji kutoka serikalini.

  Naomba kuwasilisha
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Nov 5, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Hapana, mie napendekeza asishiriki kuapishwa kwa JK ili hata jamii itambue kuwa kweli matokeo yalichakachuliwa, CHADEMA wameibiwa kura. Hivyo wao kumwapisha JK sio tatizo atakuwa rais wetu tusiyemchagua, tutashirikiana katika shughuli za maendeleo kama kawaida, kwa sababu Tanzania ni moja na watu wake ni wamoja.

  Ndoto yangu ilikuwa ni kuwa katika nchi ya KANAANI iliyojaa Maziwa na Asali, na ilikuwa ni CHADEMA peke yake ingeweza kunifikisha huko.

  Kwakuwa CCM wameshinda hakuna tatizo lakini la msingi ni kuhamasisha watu vijijini kuikubali sera za CHADEMA. Kama huku kwetu MBULU imewezekana kwa nini ishindikane mikoa kama ya DODOMA AU SINGIDA?
   
 3. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #3
  Nov 5, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Slaa ni mtu mdogo sana , hata asipo kwenda kuapishwa haisaidii kwani haongezi lolote kwenye uapishaji zaidi ya kuwekwa back bencher na kuwa mtazamaji tu wakati mwenye nchi anaapa. Tutamkaribisha ikulu anywe chai halafu aondoke, si atakuwa ameingia ikulu au .
   
 4. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #4
  Nov 5, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Ningekuwa mimi nisingeenda bse kwenda ingekuwa kusupport matokeo
   
 5. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #5
  Nov 5, 2010
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  wewe hata haki zako huzijui.
   
 6. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #6
  Nov 5, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ww subiri RAIS WAKO WA UKWELI AAPISHWE KESHO, ACHA LONGOLONGO, NA ATAKUONGOZA MPAKA 2015, HALAFU ATAKUJA MWINGINE KUTOKA CCM TENA, ATAKUONGOZA 2015-2025
   
 7. marshal

  marshal JF-Expert Member

  #7
  Nov 5, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 350
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  nilikuwa sijui kumbe wewe ndo yule alie toroka milemmbe,walikupa jina hilo maana unapenda misisfa mpaka akili imekuwa zero (cero).
   
 8. N

  Nyauba JF-Expert Member

  #8
  Nov 5, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 1,098
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Kwa matumaini ya wapenzi,wananchama na wapenda mabadilko nchini natuma DR SLAA hatahudhuria shughuli yeyote ya kuhalalisha uchakachuajii wa uchaguzii itakayofanywa na TUME
   
 9. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #9
  Nov 5, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mmeshindwa nyamazeni, kwani hamna ubavu wakupambana na CCM nyie. Mlidhania RAIS anachaguliwa kwa vi sms vya humu JF ? mlijipa hope wenyewe kuwa slaa anashinda. Napenda mumpe urais wa JF, hapo vipi ? si unamfaaa?
   
 10. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #10
  Nov 5, 2010
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Haisaidii anaona aibu kujitokeza mbele ya watu, atawaambia nn wana CHADEMA ambao aliwahakikishia ushindi na hakuupata ? . Kwa hiyo sinto shangaa sana kwa yeye kujitokeza kwani zama zake zimeisha ni aibu yakushindwa ndio inayo muhukumu.
   
 11. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #11
  Nov 5, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,945
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Hapana kabisa, hasishiriki? Huo ni utakuwa ni upuuzi na unavyoongea naona kama rushwa vile. Wasipotoa ushirikiano wananchi wataambiwa. Hivi wewe unaijua kazi ya mbunge na diwani? Kama hapana soma katiba ya jamhuri ya Muungano.
   
 12. S

  Solomon David JF-Expert Member

  #12
  Nov 5, 2010
  Joined: Mar 1, 2009
  Messages: 1,148
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  madrassa al sul wewe
   
 13. J

  Jafar JF-Expert Member

  #13
  Nov 5, 2010
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kuhudhuria au kutohudhuria hakubadirishi matokeo ya kuchakachuliwa. Cha msingi uchaguzi wa raisi kura zirudiwe kuhesabiwa upya kwanza.
   
 14. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #14
  Nov 5, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,945
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Huu ni ushabiki na sioni point yoyote kwenye thesis yako.
   
 15. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #15
  Nov 5, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,496
  Likes Received: 19,892
  Trophy Points: 280
  foleni tutapanga wote, tutapigika wokte kwa aka 5 ,hata wamama wako wakiwa wajwazito watapanda bajaji vile vile ss sijui unashangilia nn hapa
   
 16. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #16
  Nov 5, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  bajaji zenyewe zipo?
   
 17. N

  Nationalist Member

  #17
  Nov 5, 2010
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Quote Originally Posted by GeniusBrain View Post
  Ww subiri RAIS WAKO WA UKWELI AAPISHWE KESHO, ACHA LONGOLONGO, NA ATAKUONGOZA MPAKA 2015, HALAFU ATAKUJA MWINGINE KUTOKA CCM TENA, ATAKUONGOZA 2015-2025

  Genius brain kweli nimeamini kuwa wewe ni mbayuwayu!!
   
 18. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #18
  Nov 5, 2010
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 721
  Trophy Points: 280
  mkumbusheni anywe dawa maana ni msahaulifu sana

  vinginevyo kesho ataanguka tena kama ilivyotokea juzi aliporud toka zenji shauri yake...
   
 19. K

  Kiti JF-Expert Member

  #19
  Nov 5, 2010
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 228
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Siyo Slaa tu, Wengi hata kwenye TV hatuna time kuangalia uchakachuaji ukihalalishwa na katiba. Mwogopeni Mungu Jamani
   
 20. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #20
  Nov 5, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hv we GeniusBrain... kila post unayo tuma watu wana criticise hujisikii aibu, halafu acha mizaha humu ndani watu tupo kwa ajilli ya kuelimishana.... pumbafu mkubwaa
   
Loading...