Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,865
- 4,267
Katika jambo lisilotarajiwa na wengi, Dr Slaa amepita katikati ya maduka hapa jijijini Mwanza huku akiamsha taharuki kwa mamia ya watu wakitaka kumwona. Dr Slaa akiwa ameambatana na mbunge wa Nyamagana mh Wenje alipata wakati mgumu baada ya kila mtu kutaka kumsalimia. Nimeshuhudia magari yakipiga honi na abiria walikuwa wanashuka kwenye daladala wakikimbilia eneo aliopo. Kesho kuna uchaguzi wa meya wa jiji la Mwanza, yawezekana ujio wa Dr ni mahususi kwa shughuli hiyo.
Chagulani anasemaje kuhusu ujio wa mh. Dr.slaa, hajatoa tamko lolote.?
sasa hapa tujadili nini?
Ni taarifa tu kamanda!sasa hapa tujadili nini?
sasa hapa tujadili nini?
sasa hapa tujadili nini?
MI nadhani Mwanza nako kuna Wachaga wengi mno ndo maana Dr. Slaa anapokewa hivi, au Rejao, Riz 1 Maralia Sugu mnasemaje?
sasa hapa tujadili nini?
sasa hapa tujadili nini?
Ni dalili njema!!! Nape upo? Ritz, Rejao, Zomba et al mmesikia marafiki zangu. Heri mimi mshabiki sina kadi!!! Ninachoangalia ni mateso ya watanzania walio wengi ambao 67.9% wanaishi chini ya dola 1.25 kwa siku!!! Wengine hata mia hawana na ardhi walishanyang'anywa na wachimba madini.
tujadili jinsi dr wa ukweli alivyo kwenye mioyo ya watz.
acheni kugombania madaraka.wananchi walishaanza kuiamini cdm lakini kwa jinsi mambo yanavoenda ndani ya chama watu wanaanza kustuka.hebu angalia na tafakari vurugu za juzi hadi mbunge anaingia chini ya meza.
Mwanza wameonyesha upendo kwa mtetezi wao na Rais mtarajiwa,