Dr Slaa aanza ziara Zanzibar

Dr Slaa aanza ziara Zanzibar

Dr. Slaa hana mvuto. Watu wanaendelea na shughuli zao kama hayupo vile.

Slaa maisha yake ya siasa anayamalizia kwa grafu ya chini mno!!!

Kijana mzima comments zako kama bado unafungwa nepi vile duh ukizeeka utaitwa mchawi unajaribu kumlinganisha na nani kwenye familia yako ha ha ha unaota ndoto za asubuhi wewe lost case
 
katibu mkuu wa chadema dokta wilbroad slaa yuko ndani ya zanzibar akihitimisha mabaraza ya katiba mpya ya chadema, wilaya za pemba na unguja!

Dr slaa amewasili katika visiwa hivyo katika kuhakikisha kwamba chadema inakusanya maoni ya watanzania walio wengi hasa kutokana na kwamba chama hicho ndiyo waasisi wa katiba mpya.

ni unafiki kusema eti chadema ndio waasisi wa katiba mpya, wakati cuf wameuwawa tokea mwaka 2000 kwa kusindikiza madai ya katiba mpya, hizo siasa umezianza lini hadi unakuwa hulijui hilo....?
Na tunamwambia dk slaa, kwa zanzibar asijisumbue, wazanzibar hatutaki katiba ila tunachotaka ni zanzibar yetu,
 
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dokta Wilbroad Slaa yuko ndani ya Zanzibar akihitimisha mabaraza ya Katiba Mpya ya CHADEMA, wilaya za Pemba na Unguja!

Dr Slaa amewasili katika visiwa hivyo katika kuhakikisha kwamba CHADEMA inakusanya maoni ya watanzania walio wengi hasa kutokana na kwamba chama hicho ndiyo waasisi wa Katiba mpya.

kumbe yupo nyumbani, naona kimyaaaa, kama hayupo.......!!!! chezea sisi wewe....!!! CHADEMA mwisho chumbeeeee!!!
ZANZIBAR KWANZA...!!
 
kumbe yupo nyumbani, naona kimyaaaa, kama hayupo.......!!!! chezea sisi wewe....!!! CHADEMA mwisho chumbeeeee!!!
ZANZIBAR KWANZA...!!

As if kweli wewe ni mzanzibari pole kwa kuwa teja la JF yaani ili mradi ni dr Slaa basi hamna shida ya katiba bure nyie kabisa
 
Kama nilivyosema awali issue iwe ile hadithi ya serikali tatu halafu warudi hawana la kuwaweka huko!
 
CHADEMA walikuwa wanahutubia au kupokea maoni?

Lazima niwe muwazi CCM walifanya vizuri kupokea maoni than any other party in short wako vizuri kwenye ki-organization! Wamekusanya maoni kisayansi if I may Say!
CCM utaishabikia mpaka 2015 akiwepo Jk akipanda Lowasa, Magufuli au Mwakyembe utachikichia kama supu kutafuta chama cha kwenda.
 
Dr. Slaa hana mvuto. Watu wanaendelea na shughuli zao kama hayupo vile.

Slaa maisha yake ya siasa anayamalizia kwa grafu ya chini mno!!!

Una maana mvuto kama yule bingwa wa kukenua kenua aliyehongwa suti tano na mwarabu?
 
Karibu Dr Slaa, Tupo tunasubiri tukusikie. Tupe vision ya muungano uutakao..
 
Katibu Mkuu wa CHADEMA Dokta Wilbroad Slaa yuko ndani ya Zanzibar akihitimisha mabaraza ya Katiba Mpya ya CHADEMA, wilaya za Pemba na Unguja!

Dr Slaa amewasili katika visiwa hivyo katika kuhakikisha kwamba CHADEMA inakusanya maoni ya watanzania walio wengi hasa kutokana na kwamba chama hicho ndiyo waasisi wa Katiba mpya.
Kachoooka, mchovu tu, hana mvuto tena wala tija
 
kumbe yupo nyumbani, naona kimyaaaa, kama hayupo.......!!!! chezea sisi wewe....!!! CHADEMA mwisho chumbeeeee!!!
ZANZIBAR KWANZA...!!

We jamaaa vp mbona unakomaaa kuchangia peke ako? Hv cdm huwa inakuumiza nini? Haaaaah haaaaaaaah moto utakuwakia,subirini 2016 magamba yote sero
 
As if kweli wewe ni mzanzibari pole kwa kuwa teja la JF yaani ili mradi ni dr Slaa basi hamna shida ya katiba bure nyie kabisa

Achana na huyo beach boy mla sembe anaishi mjini kwa kudra za vizee vya kiitaliano. Mimi nilikuwa Unguja kwa wiki yote hii watu wengi sana wanaiunga mkono Chadema hasa kwenye rasimu ya katiba hususan muundo wa muungano ambao Chadema wanapendekeza serikali tatu ambazo ndio pendekezo la wazanzibari wengi.

Sasahivi Unguja bendera kibao za Chadema zinapepea bila shaka yoyote wazanzibari wamegundua kuwa Chadema ndio chama pekee chenye nguvu, nia na uwezo wa kutetea maslahi yao katika muungano. ccm na mshirika wao cuf hawasomeki kabisa sasahivi.
 
Back
Top Bottom