- Thread starter
- #41
Sorry Swahili is my second languageMaradhi.
Sorry Swahili is my second languageMaradhi.
Ukatuni upi mkubwaHalafu jamaa professionally ni daktari kuna jamaa alisoma nae Russia akawa ananisimulia ukatuni wake tangu huko ughaibuni
Sent using Jamii Forums mobile app
Ccm ikishakutumia ukutupa mazima,walimtumia kwenye kampeni zama za manunuzi mwanzaYaani daktari mkubwa kama huyu serikali wanashindwaje kumhudumia? Ni aibu kubwa sana kwa serikali ya Magufuli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani madada Wa mjini walizidaka juu kwa juuivi si nilisikiaga ma billion yake ya Russia yalikuja vip alitumbua zote
Mungu amponye kidume cha mbeguTaarifa zilizopo mpaka sasa ni kuwa Dr. Shika mzee wa mabilioni yuko hoi kitandani hawezi hata kuzungumza
Yale yaliishapigwa siku nyingi enzi za wild wild eastMaskini, asije akahesabiwa haki huku nyuma akiyaacha ma billion dollars yake hayajafika kwenye account.
Taarifa zilizopo mpaka sasa ni kuwa Dr. Shika mzee wa mabilioni yuko hoi kitandani hawezi hata kuzungumza
alafu sijui kwanini hakujawahi kujitokeza ndugu yake hata siku moja.
Asante kwa taarifa, jukumu letu kumsaidia, hopefully Lugumi atakuwa front.
Walijitokeza siku moja tu na kutowekaalafu sijui kwanini hakujawahi kujitokeza ndugu yake hata siku moja.
angelipwa yale mamilion hewa wangekuja hadi Dar kumfata.Walijitokeza siku moja tu na kutoweka