tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 25,950
- 25,327
Du Mungu amponye haraka Tajiri wa Taifa, Dr Luois Shika Kid. Amen.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Najiuliza mpaka sasa kwa nini Jiwe hajaenda kumuona msukuma na PhD holder mwenzake
hayo mashavu yalivyovimba namna hiyo lazima kuna shida mahala
Tatizo hata tukimchangia pesa atazituma kwa matapeli wanaomdanganya watamletea mabilioni yake ya huko Urusi
hapanaNi mhaya
Maradhi.Hawajaweka wazi lakini kama kweli alikuwa analala kama tunavyosikia lazima awe na maladhi mengi sana mwilini mwake
Yeye mwenyewe tapeliTatizo hata tukimchangia pesa atazituma kwa matapeli wanaomdanganya watamletea mabilioni yake ya huko Urusi
Mkuu ni kweli alikuwa na mabilioni urusi ? ,Ni Dr wa kutibu binadamu ?,naomba uniambie coz naona tu comedy .
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee ana Wadhifa gani katika Taifa hili?Taarifa zilizopo mpaka sasa ni kuwa Dr. Shika mzee wa mabilioni yuko hoi kitandani hawezi hata kuzungumza
Ana ugonjwa wa kiganda damuhayo mashavu yalivyovimba namna hiyo lazima kuna shida mahala
Hivi mbona mnapenda kuleta pigo za kijinga kwenye mambo ya msingi...?Najiuliza mpaka sasa kwa nini Jiwe hajaenda kumuona msukuma na PhD holder mwenzake
ivi si nilisikiaga ma billion yake ya Russia yalikuja vip alitumbua zote