Dr. Shika hoi kitandani

Dr. Shika hoi kitandani

niliona interview yake moja anasema alikuwa kidume kweli kweli ana watoto karibia nchi tano ikiwemo us, russia na italy. sina hakika kama hizo familia zinamtambua.
 
Victoire, wewe ni mweupe kama mzungu. Haya bwana.

Hahaaa hapana yani ngozi yangu ina weupe fulani kama watu wa Zanzibar. Nakumbuka siku moja nipo kwa ki super market nanunua zangu vinywaji akaja boya mmoja amelewa aisee nilikuwa counter nalipia alinipiga kumbo hilo...Halafu hata mwenye counter hakumsemesha chochote.
 
Najiuliza mpaka sasa kwa nini Jiwe hajaenda kumuona msukuma na PhD holder mwenzake
Akienda tu jamaa anakata moto soon.

Yaani bora atoroke hata hiyo hospitali akisikia huyo mtu anaenda kumjulia hali maana ni mchomoa betri asiye na mzaha.

"Proudly, brought to u by Bachelor Sugu"
 
Mbona Kigwangallah hakusepa tena yeye alimpokea airport kabisa
 
Nilifuatilia interview yake anasema eti hawezi kwenda hospital eti hawapo vizuri. Yeye yupo competent kuliko wao.
Nilimshangaa yaani huyu anaabisha sana mtu msomi hata pa kulala hana. Sijui what went wrong hadi akajikuta alivyo leo. Any way augue pole.
N.B kumbe wewe ni mweupe kama mzungu. Haya bwana.
Hapo ndio utamkubali kabudi kuwa alikuwa jalalani na PhD yake
 
Mbona Kigwangallah hakusepa tena yeye alimpokea airport kabisa
Sasa huyo si mwanae?halafu kibaya zaidi mwanae mwenyewe nae sio mwepesi ni fundi yaani mtundu km wasemavyo watoto wa mjini.

"Proudly, brought to u by Bachelor Sugu"
 
Laana iwaendee walioshikilia pesa zake.

Serikali ya Urusi ibebeshwe lawama zote.
 
Sasa huyo si mwanae?halafu kibaya zaidi mwanae mwenyewe nae sio mwepesi ni fundi yaani mtundu km wasemavyo watoto wa mjini.

"Proudly, brought to u by Bachelor Sugu"
Nasikia anawatoa wanae kafara ili aendelee kungaa kisiasa hii niliitoa kwa kigogo2014
 
Victoire, wewe ni mweupe kama mzungu. Haya bwana.

Hahaaa hapana yani ngozi yangu ina weupe fulani kama watu wa Zanzibar. Nakumbuka siku moja nipo kwa ki super market nanunua zangu vinywaji akaja boya mmoja amelewa aisee nilikuwa counter nalipia alinipiga kumbo hilo...Halafu hata mwenye counter hakumsemesha chochote.
Weka picha yako hapa kidogo tuone
 
Back
Top Bottom