Dr. Shika hoi kitandani

Dr. Shika hoi kitandani

Huyu mzee nina wasiwasi alipigwa kwa kufumaniwa maana hata juzi alikuwa anaongea kwa jeuri na kiburi wakati hali tete. Ana aina fulani ya ujivuni na ni wale watu ambao enzi zao walikuwa wasumbufu sana bar...Sasa Urusi siyo kwa mchezo mchezo mimi mwenyewe nina ngozi nyeupe lakini kule nilibaguliwa. Nakumbuka nilikuwa nikipanda treni kiti nilichokalia naachwa peke yangu labda akae muingereza au mjeruamani ila siyo mrusi...Wale jamaa ni wabaguzi, watemi niliwahi kutolewa nduki ndani ya shopping mall bila sababu yoyote ile waliingia tu vijana wakaniona acha waanze kinitoa nduki aisee acha. Ukiwa kule unahitaji discipline ya hali ya juu sana na kujishusha kuliko kawaida...ukikaa kishika shika na kujimwambafai kijinga unarudi ukiwa kipande cha mtu kama alivyo shika.
 
Ndio maana cna mpango wa kuenda kwa ngozi nyeupe,nachukiaa sana kubaguliwa naweza kumua mtu nikazikwa huko huko bila hata wanakijiji kujua,nitabaki kwa ngozi nyeusi na cna mpango wa kwenda huko hata kwa offer........maisha yenyewe mafupi alafu nibaguliwe ...no.no..no.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyu mzee nahis anasumbuliwa na ugonjwa wa ini au figo..namuona kavimba sana mwili
 
Mzee anaonekana hana damu mwilini..hakuna kingine zaidi! Anaonekana kuwa na damu kidogo sana kiasi kwamba inapata shida kutembea mwilini. Angalia alivyovimba miguu
 
Mwenyewe kasema ugonjwa aliokuwa nao kitaalamu unaitwa DVT (Deep Vein Thrombosis), damu huwa inaganda kwenye baadhi ya maeneo ya mwili
 
Huyu mzee nina wasiwasi alipigwa kwa kufumaniwa maana hata juzi alikuwa anaongea kwa jeuri na kiburi wakati hali tete. Ana aina fulani ya ujivuni na ni wale watu ambao enzi zao walikuwa wasumbufu sana bar...Sasa Urusi siyo kwa mchezo mchezo mimi mwenyewe nina ngozi nyeupe lakini kule nilibaguliwa. Nakumbuka nilikuwa nikipanda treni kiti nilichokalia naachwa peke yangu labda akae muingereza au mjeruamani ila siyo mrusi...Wale jamaa ni wabaguzi, watemi niliwahi kutolewa nduki ndani ya shopping mall bila sababu yoyote ile waliingia tu vijana wakaniona acha waanze kinitoa nduki aisee acha. Ukiwa kule unahitaji discipline ya hali ya juu sana na kujishusha kuliko kawaida...ukikaa kishika shika na kujimwambafai kijinga unarudi ukiwa kipande cha mtu kama alivyo shika.
Ukijishusha sana si watakutatua marinda mkuu
 
Nilifuatilia interview yake anasema eti hawezi kwenda hospital eti hawapo vizuri. Yeye yupo competent kuliko wao.
Nilimshangaa yaani huyu anaabisha sana mtu msomi hata pa kulala hana. Sijui what went wrong hadi akajikuta alivyo leo. Any way augue pole.
N.B kumbe wewe ni mweupe kama mzungu. Haya bwana.
 
Ndio ukalishe poumbu huku Bongo huku ukienjoy bunyero ya buku Jero.
Ndio maana cna mpango wa kuenda kwa ngozi nyeupe,nachukiaa sana kubaguliwa naweza kumua mtu nikazikwa huko huko bila hata wanakijiji kujua,nitabaki kwa ngozi nyeusi na cna mpango wa kwenda huko hata kwa offer........maisha yenyewe mafupi alafu nibaguliwe ...no.no..no.

Sent using Jamii Forums mobile app

dodge
 
Back
Top Bottom