Dr. Shein

Keykey

JF-Expert Member
Dec 1, 2006
3,250
740
i581_0709h7pks5.jpg

Makamu wa Rais Dk Ali Mohamed Shein akimfungisha ndoa Abdalla Hassan Mitawi, mfanyakazi wa kituo cha Televishein Zanzibar aliyemuoa mtoto wake Mwanaharusi Shein, ambaye ni Ofisa Uhusiano wa Benki ya Watu Zanzibar katika sherehe iliyofanyika jana kwenye Msikiti wa Al-Ibrahim Mombasa mjini Zanzibar.

Picha kwa hisani ya HabariLeo
 
Kumbe Dr. Shein ana mamlaka ya kufungisha ndoa?

Wanasheria hii ikoje wakuu?

Kama anafungisha ndoa kama wafanyavyo mashekhe, mapadre, wachungaji, nk lazima awe na leseni ya kufanya hivyo. Sina uhakika na Sheria za Zanzibar kuhusu hili.
 
Unashanga Dr shein kuwa na mamlaka ya kufuganisha ndowa ya mtoto wake ?wacha kufungisha ndowa Anatari watoto wa wakiume na kama wewe hujatahiriwa muombe tu akuondowe mkono wa koti huo.
 
Unashanga Dr shein kuwa na mamlaka ya kufuganisha ndowa ya mtoto wake ?wacha kufungisha ndowa Anatari watoto wa wakiume na kama wewe hujatahiriwa muombe tu akuondowe mkono wa koti huo.

loh. kaaazi kwelikweli
 
Kama anafungisha ndoa kama wafanyavyo mashekhe, mapadre, wachungaji, nk lazima awe na leseni ya kufanya hivyo. Sina uhakika na Sheria za Zanzibar kuhusu hili.
mkuu waislam baba ndio anayemuozesha binti yake
 
sikua najua hii. ila mhh maswali niliyo nayo ni mengi na sitaki kuyauliza hapa. Loh...
 
Image072.jpg

Bi. harusi Mwanaharusi Shein na bwana harusi Abdalla Mitawi kwenye sherehe yao iliyofanyika tarehe 26/07/2009 zenji ndani ya bwawani hotel . Shoto ni mdogo wa mbwana harusi Aliy Mitawi na kulia ni kaka wa bwana harusi Eddy Mitawi.

Picha kwa hiasani ya MICHUZI Blog
 
Back
Top Bottom