Dr. Shein Alia Mgawanyiko uliopo Zanzibar

Dr. Shein Alia Mgawanyiko uliopo Zanzibar

Mbona siku ile ya hotuba alikuwa anachekelea na kupiga makofi!!? Au alitegemea ile hotuba ingemaliza matatizo?
 
Si mlishamaliza kuufukia moto kwa pumba za mbao!!? Tatizo lipo wapi tena?
Na kwanini aendelee kulalamika wakati alishapewa ofa ya dakika 5 za bure?
 
ila mimi naona kama Shein kalazimishwa kukaa tuu kwenye hii aibu ,hata ukimtazama kwa sura unahisi kitu..!!tayari kasha kana ushauri wa mtukufu mwenzie wa bara wajino kwa jino kaona zanznibar haikaliki tena
Kwanini asijiuzuru? Kwani alizaliwa kuwa rais? kwanini afanye asichoamini? angekataa kugombea urais duru la pili tungeelewa
 
Back
Top Bottom