Mpui Lyazumbi
JF-Expert Member
- Sep 1, 2010
- 1,856
- 371
Dr. Shein ni moja ya viongozi smart sana.
mbona alipokuwa makam huku bara akikuwa kimya? pia nadhan ubora wa kazi unategemea na kiwango cha elim, kwani jamaa yupo juu, sikama huyu anayepwa kwa uzuri wa sura na kusingizia ni hshima!
Ndugu yangu Bara ni kugumu! Serikali ndani ya serikali ni vigumu kutawala. Ukawatawala watu kama akina Pengo wanaotaka kujenga serikali ndani ya serikali usifikiri kama utaweza kutimiza mipango yako kwa wananchi. Kilichomfanya adumu bara ni kutoonyesha uwezo wake akiwa bara. Asingefanya hivyo mbele ya akina MKAPA NA SUMAYE, hata leo urais wa Zanzibara angeusikia tu. Ilibidi awe smart akijua anachotaka. Hata Mwinyi alionyesha miujiza alipokuwa Rais Zanzibar, lakini alipoletwa kwa akina PENGO, ndipo alipopata kigugumizi na Mapengo.
Wasiwasi wangu mkubwa isijekuwa ni harakati za kuelekea 2015, Mzee ruksa kwa upande mwingine kazungumzia wacha Mungu kupewa kutawala. Akiwa makamu wa Rais sijui alifanya nini cha kupigiwa mfano. Lakini hii inaweza kuupa nguvu ule useme wa kuongoza Zanzabar ni sawa na kuongoza mkoa mmoja wa bara. Mara tu huyu kesha kuwa na sifa kubwa kiasi hicho, sijui ila mpeni muda ndio mumpie perfomance yake.
Ndugu yangu Bara ni kugumu! Serikali ndani ya serikali ni vigumu kutawala. Ukawatawala watu kama akina Pengo wanaotaka kujenga serikali ndani ya serikali usifikiri kama utaweza kutimiza mipango yako kwa wananchi. Kilichomfanya adumu bara ni kutoonyesha uwezo wake akiwa bara. Asingefanya hivyo mbele ya akina MKAPA NA SUMAYE, hata leo urais wa Zanzibara angeusikia tu. Ilibidi awe smart akijua anachotaka. Hata Mwinyi alionyesha miujiza alipokuwa Rais Zanzibar, lakini alipoletwa kwa akina PENGO, ndipo alipopata kigugumizi na Mapengo.
Tatizo la tanzania bara hatujui tutakacho na nini tukipe kipau mbelekati ya yafuatayo: ukabila, udini au nchi. Kuna makabila hayaridhiki mpaka yenyewe yapate utawala na kuna madhehebu ya dini hayaridhiki mpaka yenyewe yawe sehemu ya serikali. Hayakosolewi wala kuguswa! Ukiwaambia baadhi ya viongozi wao wanauza madawa basi watakushikia mabango bila kujiuliza kwanza kama kuna watu wa aina hiyo. Kweli hii ni nchi.
Ni rahisi kutawala Uganda na Kenya kuliko Tanzania, kwa sababu wao ni protestant. Hata utafiti unaonyesha kuwa nchi zenye asilimia kubwa protestant zinaendelea haraka sana kuliko counterpart wake.
kanisa katoliki ndio inayotuletea mabalaa tz . Inaonyesha hii biashara ya viroba vya unga wanayo zamani , kazi kweli
Dr Shein ni rais wa zanzibar ambaye wengi wetu tulikuwa tunamfahamu kama mzee wa mikasi. Nimekuwa namfuatilia kwa karibu utendaji wake tangu ashike madaraka. Sasa hivi wamefikia miezi sita tangu serikali anayoiongoza ashike hatamu na kwa utendaji wake na performance ni wa kuigwa. Nimefanya tathmini haya yafuatayo:-
Aliposhika madaraka motto ya uongozi wake ni Zanzibar yenye maendeleo na kujitegemea.
Vitu alivyovifanya hadi sasa tangu awe kiongozi wa nchi:-
a. Ameweza kutengeneza motto ya serikali ni kuhakikisha wizara za zanzibar zinakuwa na mipango sahihi na kutekelezeka.
b. Amepunguza matumizi ya viongozi wa juu wa serikali pamoja na safari zisizo na muhimu na kuongeza mishahara ya wafanyakazi wa chini kwa zaidi ya asilimia 100.
c. Zanzibar ina current account surplus na imekuwa inaongezeka kila mwezi kuonyesha kukuwa kwa exports kuliko imports in the country.
d. GDP ya zanzibar inakuwa kwa kasi na ndio inachangia kwa kukua kwa sekta ya uzalishaji (production and trade) Tanzania.
e. Hospitali kuu ya mnazi mmoja inafanyiwa ukarabati mkubwa jambo ambalo hospitali hii ilitelekezwa kitambo.
f. Ameweza kuwakamata wafanyabiashara wakuu wa madawa ya kulevya zanzibar na wako mbio kufikishwa mahakamani.
g. Airport kuu ya unguja inaanza kujengwa kufikia hadhi ya kimataifa (jambo lilikuwa hekaya za kufikirika zamani) na wameanza mchakato wa kuanza kujenga airport kubwa pemba.
h. Zanzibar wako mbioni kuanzisha shirika lao la ndege.
i. Amepandisha bei ya karafuu kutoka shillingi 3,000 hadi Tshs 20,000 (na hivyo kutatua tatizo la umaskini kwa upande mwengine kwani ni zao la karafuu ni uti wa mgongo wa zanzibar na serikali ililitupa mgongo na matokeo Kenya wametajirika na wengine wameamua kuacha kulima karafuu na kufanya biashara na vijana wengine kuwa hawana kazi) baada ya kupanda bei vijana wengi wameamua kurudi shamba kuanza kulima tena karafuu.
Hayo ni machache ninayo fahamu ila binafsi nampa pongezi Dr Shein wewe ni kiongozi makini na tunasikia mwadilifu mmungu akupe nguvu uendelee na umakini huo huo uwasaidie wazanzibar kwa walikuwa maskini mno!!! Tunatamani uje kutuongoza na sie Tanganyika kwani tumekosa mwelekeo kwa sasa!!!!
Ndugu yangu Bara ni kugumu! Serikali ndani ya serikali ni vigumu kutawala. Ukawatawala watu kama akina Pengo wanaotaka kujenga serikali ndani ya serikali usifikiri kama utaweza kutimiza mipango yako kwa wananchi. Kilichomfanya adumu bara ni kutoonyesha uwezo wake akiwa bara. Asingefanya hivyo mbele ya akina MKAPA NA SUMAYE, hata leo urais wa Zanzibara angeusikia tu. Ilibidi awe smart akijua anachotaka. Hata Mwinyi alionyesha miujiza alipokuwa Rais Zanzibar, lakini alipoletwa kwa. MIJITU BAADA YA KUONGEA HOJA MNAANZA KUONGELEA PENGO NA KANISA KATOLIKI.KWENYE HUO UTAFITI WAKO HUJAONA MAHALI KUWA NCHI PIA ZENYE WAKATOLIKI WENGI UCHUMI UNAKUA KAMA BRAZIL,ARGENTINA,POLAND,SPAIN?
NYIE ENDELEENI KULISEMA KANISA LA MIAKA 2000,WAKATI LENYEWE LINAENDELEA KUTOA UMASKINI KWA KUFUNGUA MAHOSPITALI,MASHULE,NYUMBA ZA WATOTO YATIMA NA VYUO VIKUU.
CHUKI HAITAWASAIDIA NA KANISA KATOLIKI LITAKUWEPO MPAKA YESU AKIRUDI. WAMESHINDWA WAKINA KAISARI NERO NA WENGINE MASHETANI KURIHARIBU,MTAWEZA NYINYI VIDAMPA ?
Dr shein ni rais wa zanzibar ambaye wengi wetu tulikuwa tunamfahamu kama mzee wa mikasi. Nimekuwa namfuatilia kwa karibu utendaji wake tangu ashike madaraka. Sasa hivi wamefikia miezi sita tangu serikali anayoiongoza ashike hatamu na kwa utendaji wake na performance ni wa kuigwa. Nimefanya tathmini haya yafuatayo:-
Aliposhika madaraka motto ya uongozi wake ni Zanzibar yenye maendeleo na kujitegemea.
Vitu alivyovifanya hadi sasa tangu awe kiongozi wa nchi:-
a. Ameweza kutengeneza motto ya serikali ni kuhakikisha wizara za zanzibar zinakuwa na mipango sahihi na kutekelezeka.
b. Amepunguza matumizi ya viongozi wa juu wa serikali pamoja na safari zisizo na muhimu na kuongeza mishahara ya wafanyakazi wa chini kwa zaidi ya asilimia 100.
c. Zanzibar ina current account surplus na imekuwa inaongezeka kila mwezi kuonyesha kukuwa kwa exports kuliko imports in the country.
d. GDP ya zanzibar inakuwa kwa kasi na ndio inachangia kwa kukua kwa sekta ya uzalishaji (production and trade) Tanzania.
e. Hospitali kuu ya mnazi mmoja inafanyiwa ukarabati mkubwa jambo ambalo hospitali hii ilitelekezwa kitambo.
f. Ameweza kuwakamata wafanyabiashara wakuu wa madawa ya kulevya zanzibar na wako mbio kufikishwa mahakamani.
g. Airport kuu ya unguja inaanza kujengwa kufikia hadhi ya kimataifa (jambo lilikuwa hekaya za kufikirika zamani) na wameanza mchakato wa kuanza kujenga airport kubwa pemba.
h. Zanzibar wako mbioni kuanzisha shirika lao la ndege.
i. Amepandisha bei ya karafuu kutoka shillingi 3,000 hadi Tshs 20,000 (na hivyo kutatua tatizo la umaskini kwa upande mwengine kwani ni zao la karafuu ni uti wa mgongo wa zanzibar na serikali ililitupa mgongo na matokeo Kenya wametajirika na wengine wameamua kuacha kulima karafuu na kufanya biashara na vijana wengine kuwa hawana kazi) baada ya kupanda bei vijana wengi wameamua kurudi shamba kuanza kulima tena karafuu.
Hayo ni machache ninayo fahamu ila binafsi nampa pongezi Dr Shein wewe ni kiongozi makini na tunasikia mwadilifu mmungu akupe nguvu uendelee na umakini huo huo uwasaidie wazanzibar kwa walikuwa maskini mno!!! Tunatamani uje kutuongoza na sie Tanganyika kwani tumekosa mwelekeo kwa sasa!!!!
Kama ni kweli well done watu km hawa inabudi waendelee kuongoza hata km muda hauruhusu,coz huyu anaanza vyema af anayekuja anafanya kinyesi so mambo hayaendi,inaumiza hiyoo,inabakia kana shein angekuwepo,!!!!!!!!!
Ndugu yangu Bara ni kugumu! Serikali ndani ya serikali ni vigumu kutawala. Ukawatawala watu kama akina Pengo wanaotaka kujenga serikali ndani ya serikali usifikiri kama utaweza kutimiza mipango yako kwa wananchi. Kilichomfanya adumu bara ni kutoonyesha uwezo wake akiwa bara. Asingefanya hivyo mbele ya akina MKAPA NA SUMAYE, hata leo urais wa Zanzibara angeusikia tu. Ilibidi awe smart akijua anachotaka. Hata Mwinyi alionyesha miujiza alipokuwa Rais Zanzibar, lakini alipoletwa kwa akina PENGO, ndipo alipopata kigugumizi na Mapengo.
hebu subiri kidogo mpendwa,
imekuwaje kwa muda huo mfupi awe kapata mafanikio hayo na hasa ukizingatia kuwa bajeti yake ya kwanza ndiyo hii ya june/july 2011. nadhani mipango mingi ya hiyo ilianzia kwa karume.
in view of the aforesaid, bado navuta pumzi kumtathmini zaidi atakapotekeleza bajeti yake mwenyewe angalau kwa mwaka mmoja, kisha nitajua kama ni walewale tuliowazoea au huyu ni tofauti kidogo
ubarikiwe!