Dr Shein a role model president we never had!!!

Dr Shein a role model president we never had!!!

Hivi huu u smart mnauchukuliaje? huyu si baada ya kuapishwa alitembelea wizara, sasa baada ya miezi 6, amewaita tena wakutane waulizane? Hapo utajua kuwa hana kazi za kufikiria za na kubuni maendeleo. Na mkumbuke Zanzibar ni kama wilaya ya Ilala kwa population, mimi nina uhakika hata Ngeleja akiwa raisi wa Zanzibar atafanya wonders, after all kwa vichwa vya huko atakuwa kisu cha kuotea mbali
ngeleja? yaani hata yule Livingstone Lusinde anaweza ku perform wonders Zanzibar. Zanzibar kwa ukubwa na population ni kama mbagala tu!

Kweli hali ya zanzibar imeanza kubadilika hata ukiingia kwenye ofisi za serikali huduma zimebadilika zimekuwa bora zaidi.

Ila sehemu moja tu ambayo ningependa kuona anaitupia macho haraka ni jengo la TvZ (karume house) limechoka sana na hata vitendea kazi (vifaa) vinahitajika vya kisasa.

Sure TvZ imechoka mbaya. However baadala ya kufanya vi routine maintainance day in day out Serekali ichukue bold step to move to mfumo wa digital once and for all. Advantage kubwa ya digital transmission is that private firms can be allocated channels on TVZ infrastructure (at reasonable cost) hence ensure quality content to viewers.( I ve been told that with digital transmission it is possible to transmit up to 26 programs simulltaneously on single channel?)

Dr. Shein kwa kweli katika kipindi hiki kifupi tu cha uongozi wake ameonyesha uongozi mzuri na wa kuigwa. Anaonekana hana maneno mengi, bali anaongea kwa vitendo. Nadhani ni kutokana na uzoefu alio upata akiwa makamu wa Rais, ambao ameuchanganya na uwezo wake binafsi na tabia njema ya kutotaka sifa bila kutimiza wajibu. Anaonekana kuimudu vyema nafasi hii. Serikali ya Muungano inahitaji rais wa namna hii 2015.

[h=2]Somo jingine kutoka Zanzibar[/h]

NA MHARIRI

30th August 2011

email.png

B-pepe

printer.png

Chapa

comment_bubble.png

Maoni

KATUNI(521).jpg

Maoni ya katuni

[FONT=ArialMT, sans-serif]Kuanzia wiki hii Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar imeanza kupanga bei ya sukari, mchele na unga wa ngano kwa nia ya kupunguza mfumuko wa bei. Kinachofanyika ni kama kutoa bei elekezi.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Zanzibar si wazalishaji wa sukari, ngano wala mchele kwa kiwango cha kutajwa kutosheleza mahitaji ya wakazi wa visiwa hivyo, kwa maana nyingine vyakula vyote hivi vinaagizwa kutoka nje ya visiwa hivyo.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Bei hizi zinaonekana kuwa chini zaidi sana zikilinganishwa na zile za Tanzania Bara ambako kila kitu kinategemea zaidi nguvu za soko. Kwa mfano, bei ya sukari Zanzibar baada ya serikali kuingilia kati itauzwa kati ya Sh. 1,620-1,664 badala ya Sh. 1,800 za awali.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Hali ni hivyo kwa mchele ambao sasa unatauzwa kati ya Sh. 1,060 na 1,070 badala ya Sh. 1,200, tunataja bei hizo kuonyesha kuwa inawezekana bei za bidhaa zikaratibiwa pamoja na ukweli kwamba bado tunaendesha uchumi wetu kwa misingi ya nguvu za soko.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Kwa ujumla Tanzania Bara inazalisha kwa kiasi kikubwa vyakula vingi; mchele, ngano, mahindi na hata viwanda vya sukari viko zaidi ya vinne, kama Kilombero viwili, TPC na Kagera; lakini bei ya sukari haionyeshi kuwa kuna chochote kinachozalishwa nchini.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Uchunguzi wa gazeti hili uliofanywa wiki iliyopita katika mikoa mingi nchini ulionyesha kwamba bei ya sukari ilikuwa haishikiki, baadhi ya mikoa ilikuwa imefikia Sh. 2,400 kwa kilo moja ipapokuwa mkoa wa Mbeya ulikuwa na bei ya kipekee ya Sh. 1,800 kwa kilo.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Bei ya sukari kwa mkoa wa Mbeya ilikuwa ni ya chini kuliko mikoa mingine kwa sababu moja kubwa, sukari iliyoko sokoni inatoka nje ya nchi, inadaiwa ni ya Malawi. Haijulikani ni kwa nini sukari ya nje iwe rahisi kuliko inayozalishwa nchini.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Tumeamua kuzungumzia hatua ya Serikali ya Zanzibar si kwa sababu tunataka kurejea kwenye zama za tume ya bei, au kutamani siasa ya ujamaa ambayo kila kitu kilikuwa kinaendeshwa mikononi mwa dola, tunataka kuzungumzia wajibu wa serikali katika kuingilia kati shughuli za kiuchumi kwa nia njema nyingi.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Kubwa kuliko yote, kulinda sarafu ya nchi dhidi ya ushindani ambao si lazima katika soko, kama vile matumizi ya ovyo kabisa ya dola ya Marekani katika shughuli za kiuchumi ndani ya nchi; lakini jingine ni hili la biashara huria kuachiwa kana kwamba kila mtu anaweza tu kuvuna awezavyo bila kuwako na ukomo fulani wa kupata faida.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Tumesema na tunasisitiza kwamba hatuna nia wala sababu ya kulilia zama za ujamaa za mfumo wa uchumi hodhi, lakini tumekuwa tunajiuliza mara nyingi nini hasa kinafanya bidhaa nyingi kuwa za bei ya juu ya kutupa? Kuna wakati mafuta ya petroli yanayopita katika bandari ya Dar es Salaam kuuzwa rahisi nchini Uganda, Rwanda na hata Burundi kuliko bei za humu nchini.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Kinachofanya hali hii iwe hivyo inawezekana sana ikawa ni mfumo wetu wa kodi, kwamba taratibu za ulipaji kodi nchini ni mbovu sana kiasi kwamba mzigo mkubwa anabebeshwa mlaji wa mwisho, mwananchi.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Kama si mfumo mbovu wa kodi ni vigumu kujua ni kitu gani hasa kinaweza kufanya bidhaa ambayo imetoka nje ya nchi kuuzwa kwa bei ndogo zaidi ya zile zinazozalishwa hapa nchini; kodi hizi zinajidhihirisha katika gharama za uzalishaji; kwamba tunaweza kuwa na umeme wa ghali zaidi ambao utaathiri gharama zote za uzalishaji, ni jambo linalohitaji mjadala mpana zaidi.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Kabla ya Mamlaka ya Udhibiti Huduma za Nishati na Umeme (Ewura) kuanza kutoa bei elekezi nchini, kampuni zinazofanya biashara ya bidhaa hizo zilikuwa zinapata faida ya kutupa. Hakukuwa na ukomo, kila mwenye kutaka kujipangia bei yake alikuwa anafanya hivyo na hakukuwa na kigezo cha kuulizwa.[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Hata hivyo, baada ya kutungwa kwa kanuni za usimamizi wa nishati hiyo, umma umeshuhudia bei inazoakisi hali halisi ya soko si kwa Tanzania tu, bali hata katika soko la dunia. Ni kwa kutambua ukweli huu tunajiuliza kwamba katika hatua zilizotangazwa kuchukuliwa na serikali ya Zanzibar haiwezi pia kuangaliwa kwa misingi ya kuendeleza wimbi hilo Tanzania Bara?[/FONT]
[FONT=ArialMT, sans-serif]Nia si kurejea kwenye zama za uchumi hodhi, ila kuwa na mfumo unaoakisi hali halisi ya soko na si mbinu za kusaka faida kubwa huko maisha yakizidi kuwa magumu kwa wananchi.[/FONT]

CHANZO: NIPASHE

Mtazamo: somo jengine kutoka katika serikali za mapinduzi zanzibar.

Nimefurahi kuwa mumeyaona hayo lakini sio Dr. Shein bali ni GNU kwa pamoja. Sisi wazanzibari tunajuwa kabisa kinachoendelea. CCM tumewaweka mahala pao na CUF mahala pao. Tunavotaka wazanzibari ndivyo serikali yetu itakavo kwenda. Subiri miaka miwili ndio mutoe tathmini. Maana hata nyinyi wa tanganyika mutataka kuwa kama sisi

Ndugu yangu Bara ni kugumu! Serikali ndani ya serikali ni vigumu kutawala. Ukawatawala watu kama akina Pengo wanaotaka kujenga serikali ndani ya serikali usifikiri kama utaweza kutimiza mipango yako kwa wananchi. Kilichomfanya adumu bara ni kutoonyesha uwezo wake akiwa bara. Asingefanya hivyo mbele ya akina MKAPA NA SUMAYE, hata leo urais wa Zanzibara angeusikia tu. Ilibidi awe smart akijua anachotaka. Hata Mwinyi alionyesha miujiza alipokuwa Rais Zanzibar, lakini alipoletwa kwa akina PENGO, ndipo alipopata kigugumizi na Mapengo.

Tatizo la tanzania bara hatujui tutakacho na nini tukipe kipau mbelekati ya yafuatayo: ukabila, udini au nchi. Kuna makabila hayaridhiki mpaka yenyewe yapate utawala na kuna madhehebu ya dini hayaridhiki mpaka yenyewe yawe sehemu ya serikali. Hayakosolewi wala kuguswa! Ukiwaambia baadhi ya viongozi wao wanauza madawa basi watakushikia mabango bila kujiuliza kwanza kama kuna watu wa aina hiyo. Kweli hii ni nchi.

Ni rahisi kutawala Uganda na Kenya kuliko Tanzania, kwa sababu wao ni protestant. Hata utafiti unaonyesha kuwa nchi zenye asilimia kubwa protestant zinaendelea haraka sana kuliko counterpart wake.

BINGO!

As much as watu watakuja kukuletea longo longo mimi niko na wewe kwenye hilo by 200%

Protestants kusema ukweli mafanikio yao hayana kifani and of all Christian denominations I really admire them

Halafu jamaa huyu sijasikia akihusishwa na ufisadi wowote.Viva camarade Shein.

Huo umakamo wa rais HAKUUTAKA na wao WAKAMLAZIMISHA
Huo urais wa ZNZ hakuutaka lakini wa WAKAMLAZIMISHA

Jamaa hana makuu hata kuftarisha anaftarisha kwa watoto yatima au vijijini

Ananikumbusha Mzee Idrissa Abdul Wakil

Dr shein ni rais wa zanzibar ambaye wengi wetu tulikuwa tunamfahamu kama mzee wa mikasi. Nimekuwa namfuatilia kwa karibu utendaji wake tangu ashike madaraka. Sasa hivi wamefikia miezi sita tangu serikali anayoiongoza ashike hatamu na kwa utendaji wake na performance ni wa kuigwa. Nimefanya tathmini haya yafuatayo:-

Aliposhika madaraka motto ya uongozi wake ni Zanzibar yenye maendeleo na kujitegemea.

Vitu alivyovifanya hadi sasa tangu awe kiongozi wa nchi:-

a. Ameweza kutengeneza motto ya serikali ni kuhakikisha wizara za zanzibar zinakuwa na mipango sahihi na kutekelezeka.

b. Amepunguza matumizi ya viongozi wa juu wa serikali pamoja na safari zisizo na muhimu na kuongeza mishahara ya wafanyakazi wa chini kwa zaidi ya asilimia 100.

c. Zanzibar ina current account surplus na imekuwa inaongezeka kila mwezi kuonyesha kukuwa kwa exports kuliko imports in the country.

d. GDP ya zanzibar inakuwa kwa kasi na ndio inachangia kwa kukua kwa sekta ya uzalishaji (production and trade) Tanzania.

e. Hospitali kuu ya mnazi mmoja inafanyiwa ukarabati mkubwa jambo ambalo hospitali hii ilitelekezwa kitambo.

f. Ameweza kuwakamata wafanyabiashara wakuu wa madawa ya kulevya zanzibar na wako mbio kufikishwa mahakamani.

g. Airport kuu ya unguja inaanza kujengwa kufikia hadhi ya kimataifa (jambo lilikuwa hekaya za kufikirika zamani) na wameanza mchakato wa kuanza kujenga airport kubwa pemba.

h. Zanzibar wako mbioni kuanzisha shirika lao la ndege.

i. Amepandisha bei ya karafuu kutoka shillingi 3,000 hadi Tshs 20,000 (na hivyo kutatua tatizo la umaskini kwa upande mwengine kwani ni zao la karafuu ni uti wa mgongo wa zanzibar na serikali ililitupa mgongo na matokeo Kenya wametajirika na wengine wameamua kuacha kulima karafuu na kufanya biashara na vijana wengine kuwa hawana kazi) baada ya kupanda bei vijana wengi wameamua kurudi shamba kuanza kulima tena karafuu.

Hayo ni machache ninayo fahamu ila binafsi nampa pongezi Dr Shein wewe ni kiongozi makini na tunasikia mwadilifu mmungu akupe nguvu uendelee na umakini huo huo uwasaidie wazanzibar kwa walikuwa maskini mno!!! Tunatamani uje kutuongoza na sie Tanganyika kwani tumekosa mwelekeo kwa sasa!!!!

Rekebisha basi kimombo, sema 'we've ever had' never maana yake hatujawahi kuwa naye.

Sure TvZ imechoka mbaya. However baadala ya kufanya vi routine maintainance day in day out Serekali ichukue bold step to move to mfumo wa digital once and for all. Advantage kubwa ya digital transmission is that private firms can be allocated channels on TVZ infrastructure (at reasonable cost) hence ensure quality content to viewers.( I ve been told that with digital transmission it is possible to transmit up to 26 programs simulltaneously on single channel?)

Kama yaliyosemwa ni kweli basi hongera zake, ila akumbuke airpor... Sorry air strip, maana ni aibu tupu, hakuna viti vya kupumzikia, mtu unasubiri ndege juani duuh.

Rekebisha basi kimombo, sema 'we've ever had' never maana yake hatujawahi kuwa naye.

Mkuu ni sawa sawa kichwa cha habari We never had kwani kwa mwendo anaokwenda nao Dr Shein bila ya shaka zanzibar wanaweza kuwa na rais mchamungu na mwenye mwenendo safi kitu ambacho hawajawahi kuwa nacho tangia uhuru. Hivyo basi kilugha ni sahihi kusema we never had ila tusimsifu sana kwani hawa jamaa wanaenda wakibadilika kama vinyonga.

Huo umakamo wa rais HAKUUTAKA na wao WAKAMLAZIMISHA
Huo urais wa ZNZ hakuutaka lakini wa WAKAMLAZIMISHA

Jamaa hana makuu hata kuftarisha anaftarisha kwa watoto yatima au vijijini

Ananikumbusha Mzee Idrissa Abdul Wakil

Mkuu,

Huko peke yako mie binafsi nilikuwa impressed sana nilipomuona Mke wa rais wa zanzibar akienda kufuturu na wananchi wa kawaida vijijini na sio kuwaita watu wamfuate ikulu. Hata hivyo tusubiri bado mapema sana. Hata hivyo CUF nao wanastahiki kupongezwa sana kwani wana ushiriki mkubwa katika haya mafanikio. Tunawaombea kila la kheri na sie Tanganyika tupate vigezo vya kuleta mageuzi kwetu.

mbona alipokuwa makam huku bara akikuwa kimya? pia nadhan ubora wa kazi unategemea na kiwango cha elim, kwani jamaa yupo juu, sikama huyu anayepwa kwa uzuri wa sura na kusingizia ni hshima!

Kuna sababu nyingi ila kubwa aliyekuwa naye ndiye aliyesababisha yeye awe kimya kwa kumficha ili Dr. Shain utendaji kazi wake usionekane, manake mtu ukishakuwa mvivu siku zote hutokubali mpambanaji akuzidi kwa namna yoyote ile. Lakini pili walio karibu na Dr. Shain na wanaomafahamu vizuri wanaweza kusema lolote juu yake Mkapa being among them. But honestly Shain is somebody else Tanganyika walimwita mzee wa sherehe na kupanda miti ila kila kichwa tukione kilivyo ****** kambania sasa hivi ndo anaonesha yeye ni mtu wa namna gani na kwa kupitia kwake ndipo tujiulize Rais wetu huwa anashauriwa na nani???? Na twende mbali zaidi anaposhauriwa je ushauri huo huwa anauchukua???

I admire Dr Shein, ni Dr wa ukweli. I never lose appetite listening him or following him like I do in following my professional ethics. Andefine the path to be followed, na wengine should follow, tuache siasa, vyama pamoja na ushabiki wa kipuuzi tunapozungumzia masuala ya kitaifa ni uzalendo tu kwenda mbele.

Viva Dr Shein. We miss you Dr, we love you and we wish you all the best in building an economic model for east Africa region.

Dr shein ni rais wa zanzibar ambaye wengi wetu tulikuwa tunamfahamu kama mzee wa mikasi. Nimekuwa namfuatilia kwa karibu utendaji wake tangu ashike madaraka. Sasa hivi wamefikia miezi sita tangu serikali anayoiongoza ashike hatamu na kwa utendaji wake na performance ni wa kuigwa. Nimefanya tathmini haya yafuatayo:-

Aliposhika madaraka motto ya uongozi wake ni Zanzibar yenye maendeleo na kujitegemea.

Vitu alivyovifanya hadi sasa tangu awe kiongozi wa nchi:-

a. Ameweza kutengeneza motto ya serikali ni kuhakikisha wizara za zanzibar zinakuwa na mipango sahihi na kutekelezeka.

b. Amepunguza matumizi ya viongozi wa juu wa serikali pamoja na safari zisizo na muhimu na kuongeza mishahara ya wafanyakazi wa chini kwa zaidi ya asilimia 100.

c. Zanzibar ina current account surplus na imekuwa inaongezeka kila mwezi kuonyesha kukuwa kwa exports kuliko imports in the country.

d. GDP ya zanzibar inakuwa kwa kasi na ndio inachangia kwa kukua kwa sekta ya uzalishaji (production and trade) Tanzania.

e. Hospitali kuu ya mnazi mmoja inafanyiwa ukarabati mkubwa jambo ambalo hospitali hii ilitelekezwa kitambo.

f. Ameweza kuwakamata wafanyabiashara wakuu wa madawa ya kulevya zanzibar na wako mbio kufikishwa mahakamani.

g. Airport kuu ya unguja inaanza kujengwa kufikia hadhi ya kimataifa (jambo lilikuwa hekaya za kufikirika zamani) na wameanza mchakato wa kuanza kujenga airport kubwa pemba.

h. Zanzibar wako mbioni kuanzisha shirika lao la ndege.

i. Amepandisha bei ya karafuu kutoka shillingi 3,000 hadi Tshs 20,000 (na hivyo kutatua tatizo la umaskini kwa upande mwengine kwani ni zao la karafuu ni uti wa mgongo wa zanzibar na serikali ililitupa mgongo na matokeo Kenya wametajirika na wengine wameamua kuacha kulima karafuu na kufanya biashara na vijana wengine kuwa hawana kazi) baada ya kupanda bei vijana wengi wameamua kurudi shamba kuanza kulima tena karafuu.

Hayo ni machache ninayo fahamu ila binafsi nampa pongezi Dr Shein wewe ni kiongozi makini na tunasikia mwadilifu mmungu akupe nguvu uendelee na umakini huo huo uwasaidie wazanzibar kwa walikuwa maskini mno!!! Tunatamani uje kutuongoza na sie Tanganyika kwani tumekosa mwelekeo kwa sasa!!!!

Nakubaliana na wewe kwa kiasi kikubwa niliyoweka red anaweza kuwa amechangia kidogo, maana michakato yake itakuwa imeanza before yeye... Mungu Ibariki Zanzibar!

DAKTA ALI MOHAMED SHEIN: MWANASIASA MSTAARABU NA MCHAPA KAZI
AJABU NILIYEPATA KUMFAHAMU ZAMA HIZI!!!

Jamani mbona hatuelewani??????????????

Huyu baba Mzee Shein ndiye miongoni mwao watu saba nchi wenye uelekeo na ASILI YA USTAARABU WA SIASA ZA MTANZANIA na chimbuko lake. Wengine sita sitowataja leo lakini wengine wooooooooooooooteeee waliobakia ni siasa za MTIFUANO mtindo mmoja!!!!!!!!!

Dr Shein, mimi nilimuona tangu siku nyingi sana 'alipommakamu' Mzee Mkapa kipindi kile na baada ya kuenguliwa kwake ofisi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri yetu ya Muungano wa Tanzania na kupelekwa kule Zanzibar, PENGO aliloliacha kwenye ofisi hii na kule kuongezeka kwa misururu ya maamuzi mbalimbali tatanishi yanayohitaji busara zake zaidi, ni uthibitisho tosha kwamba sifa nilizowahi kumiminia huyu baba hazikua ni ajali hata kidogo.

Wa-Tanzania tusisubiri kusifia lulu hii wa karne yetu haadi pale penye mauti tu (Mungu aepushe mbali). Ni mtu mmoja:

(1) mwenye uwezo wa kujitengea muda kulifikiria jambo pembeni bila ya uwepo wa washauri,

(2) mnyenyekevu na mwenye majibu ya upole kupindukia,

(3) Hujiruhusu kuwa mwanafunzi katika darasa la kila tukio na kwa kila mtu bila kujali midaraja ya kimaisha

(4) Ni mkali zaidi ya pilipili kichaa (waulize mawaziri akina Pesambili Mramba enzi hizo watakuambia)

(5) Haogopi kutofautiana maoni, kusimamia anachoamini, na kutetea MASLAHI YA UMMA na wala si maslahi ya genge ndani ya chama.

(6) Huheshimu sana maoni ya WALAZWAHOI huku mitaani

(7) Ni MCHAPA KAZI mwenye tija nyingi kwa taifa; mfwatiliaji ajabu WA KIMYA KIMYA kwa kila agizo analotoa hadi kujulikane matokeo yake

(8) Hasumbuliwi na MARADHI SUGU ya Ukristo, Uislamu, Upemba, Unguja wala Ubara huyu baba

(9) Ingawaje Dr Shein huadhibu baada ya kipindi kirefu cha kumelimisha mtu na kutoa ushauri wake wa moyo, huyu baba HAFAHAMU HILA, CHUKI wala VISASI!!!!!!!!!!!!

(10) Zaidi ya yote, Dr Shein ni MCHA MUNGU mwenye imani kali LAKINI asiyejionyesha kwenye makutano ya barabara juu ya imani yake wala kufunikwa wingu katika maamuzi yake kutokana na imani yake. Ni miongoni mwao viongozi waadilifu wachache tuliobaki nao enzi hizi

Ukitaka kugundua siri hiyo nzito kamuangalie tu matendo yake ndipo utakapojiridhisha mwenyewe nafsi yako juu ya huyu MWANASIASA MAHIRI asiyeisha busara lakini bila makeke wala madaraka kumpanda kichwani.

NB: Ingawaje ndani ya CCM wapo wazee wengi sana wanaoonekana kupenda sana KULAZIMISHA HESHMA kwao eti kwa kuzingatia nyadhifa mbali mbali walizowahi kuzishika katika taifa letu, LAKINI kwa huyu Baba Dr Shein heshma za Walazwahoi kote Tanzania Bara na Visiwani humtafuta alipo.

Zahama hizi mtu huheshimika MATENDO wala si VYEO, wenye kusikia hili na wasikie!!!!

Laiti kama kungalikuepo na uwezekano ningaliweza kuwatuma vijana wengi sana bila kujali vyama vyao

... ili waende wakachukue tusheni ya SIASA ZA USTAARABU WA KITANZANIA, lakini ilioja bidhaa hadimu ya UADILIFU, UCHAPAJI KAZI na ULINZI WA MASLAHI YA UMMA kutoka kwa hawa magwiji wawili wa enzi hizi, Dr Ali Mohammed Shein na Dr Willibroad Slaa wa CHADEMA tu, kati ya wengi 5 kote nchini wa aina ya hawa viongozi wawili.

Hakika ningalipendekeza tusheni hiyo ihudhuriwe hasa wabunge na madiwani vijana akina:

1. Zitto Kabwe

- (ili imsaidie kuondokana na self-seeking tendency na kuimarisha uwezo wake finyu 'kucheza kama timu memba').

2. Job Ndugai

- (ili ikamsaidie kutofautisha dhamani kati ya MASLAHI YA CHAMA ukulinganishwa ma MASLAHI YA UMMA).

3. Julius Mtatiro

- (ili ikakuimarishe zaidi kule kutokusumbuliwa na UKRISTO na UISLAM bali wakati wote aone tu Utanzania, CUF)

4. Diwani Zaina

- (ili apende zaidi misitu yetu ya asili na kuifadhi huko same).

5. Nauye Junior

- (ili akabainishe kwanza juu ya NINI ANACHOKIAMINI na ulinzi imara wa Maslahi ya Umma si Vikundi ndani ya CCM).

6. John Myika

- (ili akajiimarishe zaidi juu ya Ufuatiliaji mambo - Katiba MPYA - hadi kujulikane mwisho wake)

7. Mama Shellukindo

- (kupata uimara zaidi katika mambo ya msingi kama wa Jairo bila kurudi nyuma hata iweje).

8. Halima Mdee

- (UJASIRI zaidi wa kuwaambia hata wazee kwamba Tanzania haipendi ubadhirifu wa ardhi).

9. January Makamba

- (ili ajue kusema HAPANA pale anapotwishwa madaraka makubwa ambayo hana uzoefu nayo).

... Mwana JF hebu na wewe kawaongeze orodha ya watu hapa na kitu gani ungependa waende kuchukulia TUSHENI kwa hawa viongozi wetu mahiri hapo juu?????

Back
Top Bottom