Ukiondoa matatizo mengine yoyote, natarajia kuwa na Dr. Sengodo Mvungi kutoka Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaam kwenye onesho letu la funga mwaka hapo kesho. Kuanzia kati ya saa nane mchana (EST, -5GMT). Tutaweza kufield maswali yenu live..

Hiyo itakuwa saa Nne Usiku kwa saa za afrika Mashariki (-5GMT ni masaa matano nyuma kutoka Greenwich ongeza +3GMT ni masaa matatu mbele ya Greenwich). Hii ina maana kwa TZ itakuwa 8hrs ahead, so saa 4 usiku. Naamini sijakosea au siyo MKJJ?
naomba umuhulize kuhusu suala la mgombea binafsi ni hatua gani zinaweza kuchukuliwa na watanzania ili kuhakikisha kwamba ufumbuzi unapatikana haraka ili kutoa nafasi kwa wananchi kujiandaa kwa ajili ya uchaguzi mkuu ujao 2010.kwani tumeona hukumu hutolewa baada ya uchakuzi kukamilika.