Dr. Sengodo Mvungi on KLHN on "Mwanakijiji Live"

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,695
40,721
Ukiondoa matatizo mengine yoyote, natarajia kuwa na Dr. Sengodo Mvungi kutoka Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaam kwenye onesho letu la funga mwaka hapo kesho. Kuanzia kati ya saa nane mchana (EST, -5GMT). Tutaweza kufield maswali yenu live..
 
Asante,
Ila haya masaa unavo andika hivo wengine huwa yanatupiga chenga kidogo, labda ka msaada, hiyo ni saa ngapi za kwetu bongo?
 
Rwabugiri,

Hiyo itakuwa saa Nne Usiku kwa saa za afrika Mashariki (-5GMT ni masaa matano nyuma kutoka Greenwich ongeza +3GMT ni masaa matatu mbele ya Greenwich). Hii ina maana kwa TZ itakuwa 8hrs ahead, so saa 4 usiku. Naamini sijakosea au siyo MKJJ?
 
MMJ,
Mada itakuwa ni nini? Kama kuna issue special let us know ili tuweze kuchangia maswali in advance au kuandaa follow up questions.
 
naomba umuhulize kuhusu suala la mgombea binafsi ni hatua gani zinaweza kuchukuliwa na watanzania ili kuhakikisha kwamba ufumbuzi unapatikana haraka ili kutoa nafasi kwa wananchi kujiandaa kwa ajili ya uchaguzi mkuu ujao 2010.kwani tumeona hukumu hutolewa baada ya uchakuzi kukamilika.
 
Yawezekana kumuuliza maswali mbalimbali yanayohusiana na miaka miwili ya RAis Kikwete, current political issues na mtazamo wa kuelekea 2008
 
Back
Top Bottom