GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,611
- 127,991
Dunia ipi unaisemea?Km hakuwahi kufundisha tafsiri za dunia ktk context mbali mbali ni wazi CV yake na yako zote hazijatukuka.
Ndio kazi yenu, kujisifu na kuwasifu watu watu mnaotaka.wenyewe mnaita kujipigia debe. Na majamaa yasivyo na maadili, huweza kubali sifa za kipuuzi waziso nazo km marehemu wapewavyo. Sasa utapata wapi logic km wewe ni mpiga debe?Unapotuma post uwe unatuma tu moja na inatosha sawa? Halafu bora ungetuma nyingi hivi halafu ndani yake kuna " logic " tungekufikiria lakini kibaya zaidi umetuma posts tatu halafu zote ni " mataputapu " tupu.
Ndio kazi yenu, kujisifu na kuwasifu watu watu mnaotaka.wenyewe mnaita kujipigia debe. Na majamaa yasivyo na maadili, huweza kubali sifa za kipuuzi waziso nazo km marehemu wapewavyo. Sasa utapata wapi logic km wewe ni mpiga debe?
Wajamaa km wewe ni km marehemu, mnapokea sifa msizostahili mkidhani zinabaki kuwa sifa. Pole sana marehemu wewe. Kwa bepari hizo sifa za kipuuzi ambzo mtu hana ni kuku enjoy. Uwepo wako hapa ni mzuri sana,inakuwa rahisi kwetu kuelimisha watu kwa mifano hai.Mpiga Debe ndiyo anayefanya Gari ijae na anaweza vile vile akasababisha Gari isiondoke au hujui? Mkuu hapa utachoka mwenyewe hivyo jipange kisawasawa.
Wajamaa km wewe ni km marehemu, mnapokea sifa msizostahili mkidhani zinabaki kuwa sifa. Pole sana marehemu wewe. Kwa bepari hizo sifa za kipuuzi ambzo mtu hana ni kuku enjoy. Uwepo wako hapa ni mzuri sana,inakuwa rahisi kwetu kuelimisha watu kwa mifano hai.Mpiga Debe ndiyo anayefanya Gari ijae na anaweza vile vile akasababisha Gari isiondoke au hujui? Mkuu hapa utachoka mwenyewe hivyo jipange kisawasawa.
Atamfikia Tido?Hueanda dr. Ryoba akafanya mageuzi embu tumpe muda wa transition.
Wajamaa km wewe ni km marehemu, mnapokea sifa msizostahili mkidhani zinabaki kuwa sifa. Pole sana marehemu wewe. Kwa bepari hizo sifa za kipuuzi ambzo mtu hana ni kuku enjoy. Uwepo wako hapa ni mzuri sana,inakuwa rahisi kwetu kuelimisha watu kwa mifano hai.
Ka format upya Ubongo wako kwani naona virus wamekithiri!
Vipi inakuuma ninavyokukumbusha sifa za uongo hupewa maiti,haswa ktk nchi zenye bongo zinzohitaji kuformat km za wajamaa. Wale maiti mnawadhalilisha sana. Sasa km Kebwe mmemtumbua, halafu mnakwenda mpa sifa kibao.Nilimwangalia Simbachawene na mwenzie nikacheka sana.Nikawaonea huruma sana ,yaani wamekosa maneno mengine ya umakini ya kuaga bila kutoa siafa za uongo.
what a coward.Haya tulia sasa kwani SIFA uliyokuwa unaitaka kubishana na Mimi ili CV yako ipande umeshaipata ukiendelea kunitibua nitakuchenjia sawa?
Amewahi kufanya kazi itv,na mwanzilishi wa kipindi chankulikoni.na mijadala muhimu.alikua mwandishi wa habari za uchunguzi enzi izo rai kweli.no research,no right to speakRyoba aliwahi. kufanya kazi tv na radio gani?
Ana ujuzi/uzoefu gani kwenye uendeshaji WA vyombo hivi zaidi ya kuandika makala magazetini?
Wamemtwisha gunia la misumari