Mwanagenzi
JF-Expert Member
- Sep 11, 2006
- 700
- 213
Naamini Watanzania wengi hawaridhishwi na utangazaji wa TBC, na baadhi yetu tuliposikia kuwa Dr Ayoub Ryoba ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika hili tukafufua matumaini yetu kwa chombo hiki. Sasa ni muda umepita...je Dr Ryoba bado unajipanga?
Ningependa kuona TBC (hasa televisheni) inakuwa ya kisasa, vipindi vya kusisimua, watangazaji walio makini na kuvutia watazamaji; kushirikisha watazamaji kwa njia ya mtandao wa kijamii wakati wa habari; kuita wataalam au vyanzo vya habari studio wakati wa habari muhimu; kuwa na usikivu mzuri wa sauti; picha kutokwama kwama na kumuacha mtangazaji au msomaji akiwa anatahayari peke yake...
Ikiwezekana studio na au watangazaji wawe na mavazi nadhifu ya kufanana (unifomu) yanayotoa taswira ya taifa letu na utamaduni wetu kiasi kwamba hata mgeni akikuta habari inatangazwa au akifungulia TBC anaweza akagundua kuwa kituo ni cha Tanzania...
Ninakusubiri kwa hamu Mwalimu Ryoba!
Ryoba hana maamuzi zaidi ya Nape. Alikuwa na "shombo" la wanafunzi leo ametoka kwenye "shombo" hawezi kuenenda na kinyume cha kuhatarisha keki/piza yake! Wasikushinikize, fanya what is within the interests of your bosses!Naamini Watanzania wengi hawaridhishwi na utangazaji wa TBC, na baadhi yetu tuliposikia kuwa Dr Ayoub Ryoba ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika hili tukafufua matumaini yetu kwa chombo hiki. Sasa ni muda umepita...je Dr Ryoba bado unajipanga?
Ningependa kuona TBC (hasa televisheni) inakuwa ya kisasa, vipindi vya kusisimua, watangazaji walio makini na kuvutia watazamaji; kushirikisha watazamaji kwa njia ya mtandao wa kijamii wakati wa habari; kuita wataalam au vyanzo vya habari studio wakati wa habari muhimu; kuwa na usikivu mzuri wa sauti; picha kutokwama kwama na kumuacha mtangazaji au msomaji akiwa anatahayari peke yake...
Ikiwezekana studio na au watangazaji wawe na mavazi nadhifu ya kufanana (unifomu) yanayotoa taswira ya taifa letu na utamaduni wetu kiasi kwamba hata mgeni akikuta habari inatangazwa au akifungulia TBC anaweza akagundua kuwa kituo ni cha Tanzania...
Ninakusubiri kwa hamu Mwalimu Ryoba!
Aangalie asitumbuliwe kama kama waliyemtoa BBC! Take care Ryoba!Kwa uelewa Mkubwa na wa Kutukuka wa Mwalimu wangu Kipenzi Dkt. Ayub Rioba hana haja ya kukurupuka na kwa nimjuavyo sasa hivi anaandaa vitu ambavyo nina uhakika akiviwasilisha kwa Wafanyakazi wa TBC Redio na Tv Wengi wenu mtaacha rasmi kutizama Tv zingine na kusikiliza Redio zingine na muda wote mtakuwa glued TBC. Sina shaka na Mwalimu wangu na kitendo cha Rais Magufuli kumteua Rioba ni sawa sawa na Rais wa FIFA kumkabidhi TUZO ya World Best Footballer of the year Lionel Messi ( kifupi kipele kimempata mkunaji ). Dkt. Rioba achana na hawa Wanafiki tumia UELEDI wako.
Ujitegemehe jipya pale mwenye taaluma anaposimamiwa Na mwanasiasa nakuhakikishia akina jipya
Bunge live
Tido mhando ndio alierekebisha tbc tu lakini hawa wengine wanaangalia wa aliemteuaNaamini Watanzania wengi hawaridhishwi na utangazaji wa TBC, na baadhi yetu tuliposikia kuwa Dr Ayoub Ryoba ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika hili tukafufua matumaini yetu kwa chombo hiki. Sasa ni muda umepita...je Dr Ryoba bado unajipanga?
Ningependa kuona TBC (hasa televisheni) inakuwa ya kisasa, vipindi vya kusisimua, watangazaji walio makini na kuvutia watazamaji; kushirikisha watazamaji kwa njia ya mtandao wa kijamii wakati wa habari; kuita wataalam au vyanzo vya habari studio wakati wa habari muhimu; kuwa na usikivu mzuri wa sauti; picha kutokwama kwama na kumuacha mtangazaji au msomaji akiwa anatahayari peke yake...
Ikiwezekana studio na au watangazaji wawe na mavazi nadhifu ya kufanana (unifomu) yanayotoa taswira ya taifa letu na utamaduni wetu kiasi kwamba hata mgeni akikuta habari inatangazwa au akifungulia TBC anaweza akagundua kuwa kituo ni cha Tanzania...
Ninakusubiri kwa hamu Mwalimu Ryoba!
wewe ndio mnafiki,hakuna jipya pale.bendera fuata upepo tu chini ya napeKwa uelewa Mkubwa na wa Kutukuka wa Mwalimu wangu Kipenzi Dkt. Ayub Rioba hana haja ya kukurupuka na kwa nimjuavyo sasa hivi anaandaa vitu ambavyo nina uhakika akiviwasilisha kwa Wafanyakazi wa TBC Redio na Tv Wengi wenu mtaacha rasmi kutizama Tv zingine na kusikiliza Redio zingine na muda wote mtakuwa glued TBC. Sina shaka na Mwalimu wangu na kitendo cha Rais Magufuli kumteua Rioba ni sawa sawa na Rais wa FIFA kumkabidhi TUZO ya World Best Footballer of the year Lionel Messi ( kifupi kipele kimempata mkunaji ). Dkt. Rioba achana na hawa Wanafiki tumia UELEDI wako.