TANZIA Dr Ruthbetha Kateule (PhD) afariki dunia

TANZIA Dr Ruthbetha Kateule (PhD) afariki dunia

Akiwa na miaka 22 alijiunga na UDSM kama Mkufunzi Msaidizi.

Miaka hiyo siku hizi wasichana wanawaza kudanga na baba zao.
Watu wengi waliozaliwa mwaka 1987 wamemaliza form VI kati ya mwaka 2008 na 2009.
Ina maana hawa wakati wanaenda chuo kikuu mwaka 2009 wakamkuta mwenzao waliyezaliwa mwaka mmoja akiwa mkufunzi.
 
Kinda katika sayansi na mifumo ya kompyuta nchini Dr Ruthbetha Kateule (PhD) hatunae. Kwa umri huo wa Miaka 38 (1987-2025) na PhD kaipata majuzi. Naamini mirathi haitaleta shida labda vyeti kibao. #KataaPhD#View attachment 3300762
Hii ni wiki ya masikitiko kwa wana TISCO, waliokuwepo miaka mingi.
Hiki ni kifo cha pili ndani ya wiki mbili kwa watoto waliozaliwa miaka ya 80 , wazazi wao wakifanya kazi TISCO na waote wakiishi TISCO Flats Masaki.
Tunakumbuka wiki iliyopita alisindikizwa kijana wa Msaki(watu wakambatoza bishoo).
Huyu msomi kijana Ruthbeta Kateule naye anazaliwa miaka hiyo hiyo.
Ni masikitiko
RIP Dk Kateule.
 
Hii tu basi? Kwa kuwa huu ni msiba tuache. Tuandae mjadala siku nyingine.

Wasomj wetu wa PhD study zao ni zile zile.

Prevalence of....
Factors associated....
Knowledge, attitude.....
Determinants of......

Hivi vyote vimeandikwa kwenyw Text books.

Bagamoyo tutaanzisha uzi mwingine tujadiliane hili jambo.
Kiufupi hamna cha maana kuna watu huu mfumo wanaulewa sana ila hawana maajabu zaidi ya vyeo tu.
 
Hii ni wiki ya masikitiko kwa wana TISCO, waliokuwepo miaka mingi.
Hiki ni kifo cha pili ndani ya wiki mbili kwa watoto waliozaliwa miaka ya 80 , wazazi wao wakifanya kazi TISCO na waote wakiishi TISCO Flats Masaki.
Tunakumbuka wiki iliyopita alisindikizwa kijana wa Msaki(watu wakambatoza bishoo).
Huyu msomi kijana Ruthbeta Kateule naye anazaliwa miaka hiyo hiyo.
Ni masikitiko
RIP Dk Kateule.
TISCO ni nini kaka?
 
Hii tu basi? Kwa kuwa huu ni msiba tuache. Tuandae mjadala siku nyingine.

Wasomj wetu wa PhD study zao ni zile zile.

Prevalence of....
Factors associated....
Knowledge, attitude.....
Determinants of......

Hivi vyote vimeandikwa kwenyw Text books.

Bagamoyo tutaanzisha uzi mwingine tujadiliane hili jambo.
Wala hakuwa main author hapo, na hakuwa na final say na hiyo study. Angalia mpangilo wa authors
 
Back
Top Bottom