20PROFF
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 8,217
- 7,255
Nimekuwa nikisikiza na kutafakari nyimbo na maneno ya huyu jamaaaa, nikaja gundua huyu jamaaa alikuwa mwanaharakati sana. Kupitia nyimbo zake amekuwa akielimisha na kukumbusha jamii kuhusu mambo yaliyotokea na yanaendelea, kiuchumi, kiutawala , kiimani pia. Alikuwa analeta awareness na kutaka waafrika tujitambue.
Amekuwa akizungumza kuhusu imani, kama hizi za ukristu na uislam ni dini za kuletwa lengo ni kutu program na kututwala. Mwenye nyimbo zake zaidi naomba aziweke hapa.
Amekuwa akizungumza kuhusu imani, kama hizi za ukristu na uislam ni dini za kuletwa lengo ni kutu program na kututwala. Mwenye nyimbo zake zaidi naomba aziweke hapa.