Dr. Reginald Mengi vs Prof. Sospeter Muhongo: Nani ni Dalali?

Muhongo kakuta kesi inazungukazunguka tu na Mkono kila siku anakula hela ya Tanesco, akaamua kuwaita wadai na wadaiwa wakae chini wayamalize

yeye kosa lake nini?, kapata nini baada ya kuwa Dalali?, unaweza kuwa Dalali bila kupewa kitu?
angalieni sana hii Triangle ya Zitto, Mkono na Mengi, wanaonekana wazalendo sana kwa maneno, lakini Muhongo kawadhibiti mbaya na anawajua chini juu,
 
MG][/QUOTE]

Upgraded professor. Just call him core Suspect Muongo
 
Nadhani kwa sasa Prof anajuta kwa nini aliingia kwenye siasa
 
Kuhusu vitalu vya gesi, Mengi ni dalali na hilo halina ubishi.

Kuhusu la report ya PAC ngoja tusubiri utetezi ili ukweli ujulikane.

na wewe ni dalali wa prof mhongo!! ha ha ha ha! mnaumbukaje? kwani unasubiri ukweli gani tena?
 

ha ha ha ha! kweli wewe ni Kituko wa prof mhongo!
 
Last edited by a moderator:

Achafuke tu kama choose cha stendi,ndio asili yao madharau
 
Kuhusu vitalu vya gesi, Mengi ni dalali na hilo halina ubishi.

Kuhusu la report ya PAC ngoja tusubiri utetezi ili ukweli ujulikane.

Mengi na Mkono ndiyo walichanga na wahindi wakawapa Pesa Kafulila na Zito ili wahakikishe Mhongo na Maswi wanang'oka kwa manufaa Yao Binafsi si kwamba wana Uchungu na hizo Pesa, Wenye Uchungu na Pesa hizo ni Wananchi pekee, wengine wamesimama kwenye Mgongano wa kimasilahi zaidi . Hapo Leo Mzee mengi atasherekea sana Maana anajua kikwazo chake kinatoka ni mwendo wa kujimegea Ardhi Mtwara Kama na Mkono atarejeshewa Tenda zake zote ili aendelee kubunya Pesa za Tanesco.
 
ha ha ha ha! kweli wewe ni Kituko wa prof mhongo!

Sijakuelewa,

Utakuja kujua siku za mbele kaka, we fata upepo na mashairi mazuri yenye kukuliwaza, issue ya ESCROW kweli ipo na ni wizi wa mchana kabisa, Muhongo kahusikaje hapo?
 

Hahahaha
 
muhongo na uprofesa wake,kapigwa KO na mfanyabiashara Reginald Mengi.
 
kwakuwa umeme ulikatka maeneo mengi nchini, ripoti ya zito itarudiwa saa 3 usiku leo jumatano itv na radio 1.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…