mengi ameshinda kwa point zote KO
mengi ni master. usifanye mchezo na mtu mwenye media, ana nguvu kuliko. rostam aziz alijitahidi kujibishana naye akashindwa ikabidi 'aachane na siasa uchwara'. media is the power kwa kweli!! wote walioshindana na mengi imekula kwao, muhongo ndo huyoooo zinahesabika!Hakuna game Mengi amepata kupoteza Vs kiongozi wa serikali.
- masilingi
- malima
- masha
- polisi
- now muhongo
Tumesikia mara kwa mara waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo akimlaumu IPP Chairman, Dr. Reginald Mengi kuwa anang'ang'ania vitalu vya gesi na mafuta kumilikishwa kwa wazawa kwa kuwa ni dalali. Leo katika report ya PAC bungeni, Prof. Sospeter Muhongo ametajwa kama dalali kwa kuwa ndiye yeye aliyewakutanisha Harbinder Sigh Seth na James Rugemalira katika dili ya Tanesco. Dr. Mengi atasema nini kuhusu yaliyotokea?
umesahau MANJI a.k.a tajiri wa yanga...alidondokea pua...Hakuna game Mengi amepata kupoteza Vs kiongozi wa serikali.
- masilingi
- malima
- masha
- polisi
- now muhongo
nikikumbuka kauli za muhongo dhidi ya wa-tz siamini kama leo hii ni yeye amechafuka hivyo. eti mitaji ya watanzania ni ya kuwekeza kwenye matunda na juice. alijaa dharau kupitiliza mpaka akataka kutoa CV ya ole sendeka kwamba ana elimu ndogo kushinda yeye msomi!Wahenga waliwahi kunena kuwa unaweza kumdanganya mtu mmoja kwa wakati mmoja, lakini ni vigumu kuwadanganya watu wote kwa wakati wote....ulafi wa kupindukia na wa bila soni umewaponza na utawahukumu.
Tumesikia mara kwa mara waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo akimlaumu IPP Chairman, Dr. Reginald Mengi kuwa anang'ang'ania vitalu vya gesi na mafuta kumilikishwa kwa wazawa kwa kuwa ni dalali. Leo katika report ya PAC bungeni, Prof. Sospeter Muhongo ametajwa kama dalali kwa kuwa ndiye yeye aliyewakutanisha Harbinder Sigh Seth na James Rugemalira katika dili ya Tanesco. Dr. Mengi atasema nini kuhusu yaliyotokea?
umesahau manji a.k.a tajiri wa yanga...alidondokea pua...
mengi ni master. usifanye mchezo na mtu mwenye media, ana nguvu kuliko. rostam aziz alijitahidi kujibishana naye akashindwa ikabidi 'aachane na siasa uchwara'. media is the power kwa kweli!! wote walioshindana na mengi imekula kwao, muhongo ndo huyoooo zinahesabika!