Dr.Reginald Abraham Mengi angelikuwa Rais, Tanzania ingelikuwa sawa na Dubai

Wewe ni mpumbavu sana ni Heri ya mjinga anaweza kufundishika..! Nimekuuliza nitajie hiyo sehemu ya Tanzania ambako hawamjui Mengi au IPP media hazisikiki wala kuonekana hujataja hiyo sehemu badala yake unaleta ubishi wa kike......! Endelea kukaa na upumbavu wako......!
Yaani mengi anajulikana na watanzania wote? Hii ni akili kweli hii? Nakushauri kwa akili uliyonayo usije ukaoa maana utaolea watu!
 
Chadema pekee yao viongozi wao hawana msimamo Lowasa fisadi kisha Lowasa siyo fisadi

CCM walimkataa Lowassa kwenye mchakato wa mgombea Urais 2015 kwa madai ni Fisadi.....!
Umesahau kile kibwagizo cha "TUNA IMANI NA LOWASSA" mpaka CCM mkajichanganya na kuteua kichaa aingie Ikulu......leo wote mnasomeshwa namba kama wapinzani..!
Juzi Lowassa KARUDI CCM NYUMBANI na hatusikii tena kibwagizo cha " LOWASSA NI FISADI"!!
 
Tanzania imepoteza Kiongozi, Mzalendo,Mfanyabiashara,Bilionea,Mwungwana na na Mpenda Haki.

Najaribu kuwaza kwa sauti kubwa iwapo Dr.Reginald Abraham Mengi angelikuwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchi yetu ingelikuwa wapi Kiuchumi na Kisiasa?
Karibu kwa michango na utupie maoni yako hapa.

Wazo lako hili lingewezekana endapo tu angekuwa hana tatizo la Kulipa Mishahara Wafanyakazi wake na Kuwalimbikizia kwa Miezi Mitatu hadi Minne akilipa kwa Mafungu na Kiubaguzi vile vile. Kwakuwa kwa Mila za Kiafrika Marehemu huwa hasemwi sana basi naomba na Mimi pia niishie hapa tafadhali.
 
Yaani mengi anajulikana na watanzania wote? Hii ni akili kweli hii? Nakushauri kwa akili uliyonayo usije ukaoa maana utaolea watu!

Unaweza kuniambia wewe ulimjuaje Dr.Mengi?
Kwa njia hiyohiyo hata Watz wote wamemjua Dr. Mengi.....!
 
Tanzania imepoteza Kiongozi, Mzalendo,Mfanyabiashara,Bilionea,Mwungwana na na Mpenda Haki.

Najaribu kuwaza kwa sauti kubwa iwapo Dr.Reginald Abraham Mengi angelikuwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchi yetu ingelikuwa wapi Kiuchumi na Kisiasa?
Karibu kwa michango na utupie maoni yako hapa.
Kwa sababu ITV imekuwa kama CNN au BBC?
 
Angekuwaje Raisi? Watu wa kaskazini hawaruhusiwi kushika dola kwa namna yeyote ile. Tabia yao ni ngumu sana kuipeleka katika ngazi ya kimataifa!
 
Dr.Mengi hakuwa na akili za kipoyoyo za vyama mfu kama CCM na vibaraka vyake kama CHAUMA,TLP,CUF LIPUMBA, NCCR Mageuzi n.k.

Kama ni kuwa Rais angelitakiwa agombee kama MGOMBEA BINAFSI na si kupitia chama cha wendawazimu kama CCM na vibaraka wake......!!
CHADEMA vipi mbona hukuitaja? au chenyewe siyo chama mfu?
 
Unaweza kuniambia wewe ulimjuaje Dr.Mengi?
Kwa njia hiyohiyo hata Watz wote wamemjua Dr. Mengi.....!
Ww kaa na huo ujinga khwa mengi anajulikana na watz wote! Kama ulifaulu form 4 kwa akili hiyo basi kuna shida sana kwenye elimu yetu hii
 
CCM walimkataa Lowassa kwenye mchakato wa mgombea Urais 2015 kwa madai ni Fisadi.....!
Umesahau kile kibwagizo cha "TUNA IMANI NA LOWASSA" mpaka CCM mkajichanganya na kuteua kichaa aingie Ikulu......leo wote mnasomeshwa namba kama wapinzani..!
Juzi Lowassa KARUDI CCM NYUMBANI na hatusikii tena kibwagizo cha " LOWASSA NI FISADI"!!
Umesahau wewe aliyeanza kumwita Lowasa fisadi ni viongozi wa ufipa pale mwembe yanga.Cdm hakuna kiongozi hata mmoja mwenye msimamo na maneno anayoyanena kutoka ktk kinywa chake
 
Joyce mhavile ni mchaga? Madirector na mameneja karibu wote ni wahindi. Nachukia ukabila na wote waonaou promote. Una ushahidi na unayoyasema? Hivyo hivyo juzi mtu kasema Wahaya ni hatari eti Jacline ni mhaya. Mtu asili yake Rwanda kahamia tu kagera. Na aliyeleta hizo shutuma kajinasibu kuwa ni mchaga. Huu ukabila mnaoupandikiza na kuushikia bango iko siku mtaujutia. Tuongelee utanzania. Udhaifu wako wa kishindwa mambo fulani usitafute mtu wa kumbebesha lawama. PUMVAVU WOTE WENYE MAWAZO YA KIKABILA. SHENZI KABISA.
....Siyo Kilimanjaro ingekuwa kama Dubai?,.?bcoz kampuni yake inawachaga watupu
 
Kwa sababu ITV imekuwa kama CNN au BBC?
emoji1.png
Naam......! ITV inaitwa Superbrand au hujasikia hiyo?
 
Tanzania imepoteza Kiongozi, Mzalendo,Mfanyabiashara,Bilionea,Mwungwana na na Mpenda Haki.

Najaribu kuwaza kwa sauti kubwa iwapo Dr.Reginald Abraham Mengi angelikuwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchi yetu ingelikuwa wapi Kiuchumi na Kisiasa?
Karibu kwa michango na utupie maoni yako hapa.
Upuuzi
 
Baada ya kifo ndio sifa kede kede, alipokua hai aliitwa mzee wa show offs, mpenda vitoto na kadhalika,

Na bado mpaka mtakuja kusema angekua nabii Africa ingekua hivi na vile, lol

"you never know what you've got untill you lose it"
 
CHADEMA is another level......!
Tofauti ya CHADEMA na CCM na vibaraka wake iko dhahiri sana. Ni chama pekee ambacho viongozi wake wakuu na Wabunge wana kesi mahakamani kuliko vyama vyote.....!
Ni chama pekee ambacho Mbunge wake amenusurika kuuawa mchana kweupe.....!
Ni chama pekee ambacho kuna Viongozi na Wanachama wake wamepotea katika mazingira ya kutatanisha kwa visingizio vya kutekwa na watu WASOJULIKANA.......na bado wanaendelea kutekwa na kupotezwa.....!
Nilijua unapointi kumbe ndo wale wale wala ba...... Za Chuga
 
Nnataman sana kama nchi tuwe na utamaduni wa kuchagua viongozi matajiri, kua na viongozi wenye mentality za kitajiri inaweza kutusaidia sana, tunakua na viongozi waliolelewa kimaskini, wakakua na akili za kimaskini na mentality zao zimekaa kimaskini hii ni hatari maana wakisha dola ndio wanawaza kutumia mali za umma hovyo kama sio wao basi ndugu zao wanachota mali ya umma
 
Back
Top Bottom