Dr.Reginald Abraham Mengi angelikuwa Rais, Tanzania ingelikuwa sawa na Dubai

Mzalendo2015

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
6,697
9,048
Tanzania imepoteza Kiongozi, Mzalendo,Mfanyabiashara,Bilionea,Mwungwana na na Mpenda Haki.

Najaribu kuwaza kwa sauti kubwa iwapo Dr.Reginald Abraham Mengi angelikuwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchi yetu ingelikuwa wapi Kiuchumi na Kisiasa?
Karibu kwa michango na utupie maoni yako hapa.
 
Dr.Mengi hakuwa na akili za kipoyoyo za vyama mfu kama CCM na vibaraka vyake kama CHAUMA,TLP,CUF LIPUMBA, NCCR Mageuzi n.k.

Kama ni kuwa Rais angelitakiwa agombee kama MGOMBEA BINAFSI na si kupitia chama cha wendawazimu kama CCM na vibaraka wake......!!
umesahau CHADEMA ni walewale tu
 
Naona jamaa unafikiri utajiri wake angeupeleka kwenye bajeti ya nchi au ndo angesababisha mgongano wa kimaslahi zaidi..! Maana ye mwenyewe mfanyabiashara then Rais kwaiyo uenda ata makampuni mengi yangepata tender huku yeye akiwa mwanahisa wa hayo makampuni na mwisho wa siku ingekuwa 30% ya uchumi wa nchi uko mikononi mwake..!
 
Tanzania imepoteza Kiongozi, Mzalendo,Mfanyabiashara,Bilionea,Mwungwana na na Mpenda Haki.

Najaribu kuwaza kwa sauti kubwa iwapo Dr.Reginald Abraham Mengi angelikuwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchi yetu ingelikuwa wapi Kiuchumi na Kisiasa?
Karibu kwa michango na utupie maoni yako hapa.
....Siyo Kilimanjaro ingekuwa kama Dubai?,.?bcoz kampuni yake inawachaga watupu
 
umesahau CHADEMA ni walewale tu

CHADEMA is another level......!
Tofauti ya CHADEMA na CCM na vibaraka wake iko dhahiri sana. Ni chama pekee ambacho viongozi wake wakuu na Wabunge wana kesi mahakamani kuliko vyama vyote.....!
Ni chama pekee ambacho Mbunge wake amenusurika kuuawa mchana kweupe.....!
Ni chama pekee ambacho kuna Viongozi na Wanachama wake wamepotea katika mazingira ya kutatanisha kwa visingizio vya kutekwa na watu WASOJULIKANA.......na bado wanaendelea kutekwa na kupotezwa.....!
 
....Siyo Kilimanjaro ingekuwa kama Dubai?,.?bcoz kampuni yake inawachaga watupu

Pambaf....!
Usijifanye hamnazo. Hivi sasa Watz wote wanamlilia Mengi kila kona unataka kusema Tanzania kuna Wachagga peke yao?
 
Watz wote? Umekosea kutumia neno wote! Huku nilipo kuna watu hata hawamjui mengi, na wala hawajui kama kafa
 
Kuna mitanzania mmezidi kwa unafiki...!
Can you tell us which part of this country you're referring to? Ni wapi ambako ITV, EATV na Radio One havisikiki au kuonekana kama so uongo?

Kuna nchi jirani wanajua Mengi hatunaye lakini wewe mnafiki mkubwa unapayuka ati kuna sehemu Tanzania watu hawajui chochote kuhusu Daktari Mengi!
 
We jamaani mjinga sana, yaani hapo kichwani kwako unajua mengi anajulikana na watanzania wote! Toa kwanza huo ujinga, alafu tuanze kujadili
 
Ach Kamba mzee
Tanzania imepoteza Kiongozi, Mzalendo,Mfanyabiashara,Bilionea,Mwungwana na na Mpenda Haki.

Najaribu kuwaza kwa sauti kubwa iwapo Dr.Reginald Abraham Mengi angelikuwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchi yetu ingelikuwa wapi Kiuchumi na Kisiasa?
Karibu kwa michango na utupie maoni yako hapa.
 
Mzee hujui kama huyo Mzee ni Kada
Dr.Mengi hakuwa na akili za kipoyoyo za vyama mfu kama CCM na vibaraka vyake kama CHAUMA,TLP,CUF LIPUMBA, NCCR Mageuzi n.k.

Kama ni kuwa Rais angelitakiwa agombee kama MGOMBEA BINAFSI na si kupitia chama cha wendawazimu kama CCM na vibaraka wake......!!
 
Chadema pekee yao viongozi wao hawana msimamo Lowasa fisadi kisha Lowasa siyo fisadi
 
We jamaani mjinga sana, yaani hapo kichwani kwako unajua mengi anajulikana na watanzania wote! Toa kwanza huo ujinga, alafu tuanze kujadili

Wewe ni mpumbavu sana ni Heri ya mjinga anaweza kufundishika..! Nimekuuliza nitajie hiyo sehemu ya Tanzania ambako hawamjui Mengi au IPP media hazisikiki wala kuonekana hujataja hiyo sehemu badala yake unaleta ubishi wa kike......! Endelea kukaa na upumbavu wako......!
 
Weupe waliyaona hao huwezi ukawa masikini ukapewa leseni kubwa utawaletea umasikini.MTU masikini mwenye roho mbaya katu Mungu hawezi mbariki kila afanyalo ni laana
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom