Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,583
CHADEMA ni moja, kamati kuu ilipowafukuza ni chadema nzima ilihusika, maana chadema siyo mbowe, slaa au zitto.
Tutawafukuza masalia wote wenye hila, wasaliti wote lazima wachukuliwe hatua
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Hakuna upendeleo NSSF labda kama kuna watu wengine,,huwezi amini YAKUBU KIDULA ni mtu ambaye na mahusiano naye ya karibu sana na nimekaa sana kwake pale Sinza Makaburini enzi hizo na mpaka sasa anaishi pale,,jamaa yuko very straight mi nilifikiri nikimaliza chuo atanibeba kwa kuwa ana wadhifa mkubwa pale NSSF lakini wapi alikuwa ananiambia muombe Mungu tu atakusaidia utapata lakini wapi Interview ya kwanza nimeenda na ya pili sikuitwa japo sikushindwa maswali.
Nilikua namuambia kama unaogopa kunipa kazi sababu watahisi UNDUGULIZATION wetu basi nitafutie hata mikoani tu lakini wapi Alhaji yule akaninyima kabisa kazi japo ye na Mke wake wote wako pale NSSF, Honestly nilitoka kumchukia sana ndugu yangu yule hasa kipindi kile ambacho sina kazi lakini sasa Alhamdulillah nina kijishughuli changu nimesahau yote hayo.
Siwezi kusemaa ni ukwasi au wizi ...lakini anao utajiri mkubwa Sana ....kila Ghorofa Moja la NSSF linalojegwa....kuna kampuni Moja ya kandarasi ikiwemo Za electrical ambayo kupitia hio ...lazima ghorofa lake nalo lipande....ie kariakoo ,pale makumbusho,mlimani etc
Chuo kikuu cha Dodoma ...kimemeza pesa nyingi tu Za wanachama....zilizoishia mifukoni kwa maafisa wa NSSF na hata wa chuo .....,maeneo ya Mbezi kuna mmoja wa maprofesa amejengewa chuo chake kikubwa Tu kupitia ujenzi wa udom...
Siku zote wanasema the only safe way kwa funds managers popote pale kufaidika tena kisomi ....ni through White Elephant Projects ...Sio NSSF tu......karibuni Masharika yote ya hifadhi ya Jamii nchini wakuu wake wanaiba kupitia white elephants projects.........hizo ni pesa Za wanachama ,iPo Siku watazihitajii..na wanataka miradi yenye faida ili nao wapate dividends ..pesa zinatumika Zao.....
Kuna Hao LAPF ...like Jengo Lao pale makumbusho.....Mara ya kwanza walikodishia hotelie ..Yule Mzungu tapeli ( Namjuwa ) alikimbja na pesa Za pango..kwa Kifupi aliendesha hoteli bila kulipa kitu...na kutoroka...,ikumbukwe kuwa ile hoteli kila kitu hadi umma ..walinunua LAPF yeye alikuwa na begi lake na akaondoka na bag lake...
Baada ya hapo hoteli akipewa Mzee Peacork ...aliikutaa kwenye Hali Mbaya ..ikabidi ifungwe ...kwa miaka mitatu Sasa au Zaidi.. ...
Juzi tu naona LAPF wameweka Bango la kukarabati Jengo ..( off course miaka 10 imefikia ) linahitaji kukarabati mkubwa...........ni miaka kumi ambapo pesa Za wanachama zinaenda kukarabati Jengo zuri la biashara ambapo lingetakiwa liwe limerudisha angalau asilimia...80 ya gharama ....lakini Hali Halisi Jengo lile halijaingiza CHOCHOTE kwa wanachama ...Sana Sana linakuwa mzigo kwa pesa Za wanachama kuchukuliwa kulitunza ...Huku pesa Za pango zikiliwa..
Hizi white elephants Za Masharika haya SSRF lazima wazidhibiti......
Kwani huju NSSF imeshakuwa kama masjid?
Kwani huju NSSF imeshakuwa kama masjid?
kama TRA na BoT zilivyokua kama parokiani.mababa paroko na maskofu kazi kujichotea mifedha eti wana memorandum of undestanding na serikali,memorundum za kufuja pesa ya walipa kodi kwenda kujengea makanisa?Kwani huju NSSF imeshakuwa kama masjid?
Ulimbukeni (ujinga?)! Angepata ukatibu angekodi helcopter ya wazi.
what persönal agenda?Hawa watu mbona wajinga hivyo; kila mtu anapochaguliwa kutumikia mashirika ya kimataifa angekuwa anafanya maandamano kama huyu zuzu si foleni zingefika TABORA kwa Kapuya!! Acheni ulimbukeni huo huyu Dau is just a religious zealot who is using the current weak leadership to advance his personal agenda based on his religion!!!
kama TRA na BoT zilivyokua kama parokiani.mababa paroko na maskofu kazi kujichotea mifedha eti wana memorandum of undestanding na serikali,memorundum za kufuja pesa ya walipa kodi kwenda kujengea makanisa?
Hawa watu mbona wajinga hivyo; kila mtu anapochaguliwa kutumikia mashirika ya kimataifa angekuwa anafanya maandamano kama huyu zuzu si foleni zingefika TABORA kwa Kapuya!! Acheni ulimbukeni huo huyu Dau is just a religious zealot who is using the current weak leadership to advance his personal agenda based on his religion!!!