Dr. Ramadhani K. Dau amlilia Alhajj Mzee Kitwana Kondo

Dr. Ramadhani K. Dau amlilia Alhajj Mzee Kitwana Kondo

Naomba mzee wngu kuna vitu usiwe una jibu au niseme kuna watu usiwe unawajibu tunatoufautina malezi makuzi na tulipotoka mwingine kwao hamna wazee kwenye familia zao wote wapo sawa tu mwingine akujui Mohamed Said nani ktk nchi hii mwingine anataka kupata kufahamika kupitia jina lako sheikh wngu...
Huko ni kujipendekeza na ni udhaifu kushindwa kusimamia hoja... huyo mzee kamba nyingi yaani too much... humu kaumbuliwa na Dr Dau
 
Historia ya Dar ni ya KK?
Na wewe acha kuquote juu juu kasome mwanzo kimeandikwa utaelewa kama historia ya nani nimezungunzia nini acha usumbufu usio na lazima kuquote majibu ya mtu mwingine aliyeuliza.
 
Na wewe acha kuquote juu juu kasome mwanzo kimeandikwa utaelewa kama historia ya nani nimezungunzia nini acha usumbufu usio na lazima kuquote majibu ya mtu mwingine aliyeuliza.
Dunia hii ya internet mtu yeyote anayetaka historia yoyote isiandikwe kashashindwa kabla hajaanza.
 
Huko ni kujipendekeza na ni udhaifu kushindwa kusimamia hoja... huyo mzee kamba nyingi yaani too much... humu kaumbuliwa na Dr Dau
Nashukuru kwa nielewa ndugu yngu hoja unazo ww kila kitu unajua ww Ongera sna ndio maana pia nmemuomba mzee wngu Mohamed Said asijibu kitu toka kwako kutoka na hoja zako ndugu yngu kila kheri...
 
Wakati tukiwa UDSM kuliwaga na msemo wa Kudisco Siyo Mwisho wa Maisha, kwa kufanya reference ya KK, kwamba baada ya kuambiwa amedisco aliwajibu hivyo akaendelea na mishe zake na kuja kuwa mtu mkubwa tu.
 
Nashukuru kwa nielewa ndugu yngu hoja unazo ww kila kitu unajua ww Ongera sna ndio maana pia nmemuomba mzee wngu Mohamed Said asijibu kitu toka kwako kutoka na hoja zako ndugu yngu kila kheri...
Undugu nami umeutoa wapi? Na fitina zako za akili zubafu
 
Wakati tukiwa UDSM kuliwaga na msemo wa Kudisco Siyo Mwisho wa Maisha, kwa kufanya reference ya KK, kwamba baada ya kuambiwa amedisco aliwajibu hivyo akaendelea na mishe zake na kuja kuwa mtu mkubwa tu.
Hivi kumbe KK ali disco UDSM ndio kakimbilia USA kupata degree!!? Asante kwa taarifa kama ni za kweli
 
Hivi kumbe KK ali disco UDSM ndio kakimbilia USA kupata degree!!? Asante kwa taarifa kama ni za kweli

Mkuu sina uhakika kama ni za kweli, tulikuwa tunasimuliana tu kupeana moyo, ila naambiwa ni intake za mwanzo kabisa pale UDSM.
 
HAKUJAWAH KUTOKEA MTU SMART TANZANIA KAMA RAMADHAN .DAU.........
Smart kwa wizi au? Eleza vizuri ueleweke.. hata watu mashuhuri huelezewa kwa sifa zao... acha USHABIKI maandazi
 
Duduwasha hiyo ni typographical error na wewe unajua lakini we ni mtu wa maskhara...nitasahihisha.
 
Wacha uongo. KK alikwenda US 1963 kabla ya UDSM kuzaliwa

Mkuu hakuna mahali popote niliposema kwamba ni kweli, sijathibitisha chochote, ni msemo tuliokuwa tunautumia kupeana moyo, sina uhakika kama kweli alidisco au lah.
 
Naam ni kweli kabisa safari ni mbele na nyuma wengine hutangulia. Mzee KK ametangulia. Kwa kuondokewa na mzee Kitwana Selemani Kondo, Dar es Salaam will never be the same. Maskini Dar es Salaam, imeondokewa na watu na kubaki na mfano tu wa watu!
Nimeisoma yote ila hapo kwenye red kunatoa picha ya wakazi 'waliobakia' Dar es Salaam ...mifano ya watu!
Pia kuna kitu hajaweka nadhani hakupaswa kuweka yote ...hijabu kwa watoto wa shule.
Mwandishi ni msomi na kaeleza vizuri, wenye uelewa wataelewa KK alichosimamia kutoka uzawa hadi uTZ.
 
Naomba mzee wngu kuna vitu usiwe una jibu au niseme kuna watu usiwe unawajibu tunatoufautina malezi makuzi na tulipotoka mwingine kwao hamna wazee kwenye familia zao wote wapo sawa tu mwingine akujui Mohamed Said nani ktk nchi hii mwingine anataka kupata kufahamika kupitia jina lako sheikh wngu...
Rubawa,
Ahsante nimekusoma.
 
Huko ni kujipendekeza na ni udhaifu kushindwa kusimamia hoja... huyo mzee kamba nyingi yaani too much... humu kaumbuliwa na Dr Dau
Duduwasha,
Hayo niliyoeleza ni kweli lakini sikukazimishi kuamini.

Wengi waliamini kuwa TANU haikuwepo hadi alipotokea Nyerere na Chuo
Cha Kivukoni wakaandika kitabu, ''Historia ya TANU 1954- 1977,'' na hii
ndiyo ilivyokuwa kwa miaka hadi nilipoandika historia ya Abdul Sykes 1998.

Maneno yale jana niliyasema mbele ya Ngombake Mwiru ambae aliingizwa
TANU na Ally Sykes mwaka wa 1954.

Nimeyasema mbele ya Paul Rupia mtoto wa John Rupia.

Nimeyasema mbele ya Bakari Mwapachu ambae alipokwenda Abdul,
Nansio, chumba chake alichokua analala na mdogo wake Juma ndicho
alicholala Abdul na yule mwenzake.

Nimeyasema haya mbele ya Kleist, mtoto wa Abdul Sykes ambae yeye
alinifahamisha kuwa mwaka ule wa 1953 wakati baba yake anahangaika
kuunda TANU tayari alikuwa na barua ya kuingia Chuo Kikuu Cha Princeton,
New Jersey.

Nimeyasema haya mbele ya viongozi wakubwa wa CCM na nafasi bado
wanayo ya kunipinga ikiwa wao wanaona mimi ni mzushi.

Duduwasha nimeandika kitabu cha Abdul Sykes nikiwa kijana wala uzee
ulikuwa bado haujafika.

Ikiwa wewe unaona mimi haya nimezua basi mimi nitakuwa mwandishi wa
sifa za akina Irving Wallace.

Sikujua kama hiki kitabu cha Abdul Sykes kitakuja kuwaumiza watu roho
kwa kiasi hiki.

Waliofunga watu kamba sote tunawafahamu na huu mwaka wa ishirini hata
mmoja wao hajathubutu kusema lolote kuhusu kitabu hiki.

sI9pe8HdRV1IbgSUVp1WwWiwpT3OwSVW2r0sJg6KtdIUTQkuL7FdLP_eyMMduPjiTY2j_BqLyn3ajsND7WMVY07LbVmSNnJmdU_n2yeZJD7uAeJ-1GTqWohFn-XCGv5OXynr6lNfO2N5uMKIZK7-cuwto9V046kg9gjC19U5D1Pv2FGbvzp4D2buxL-HaDRYTpgnGHk0EBFtyn8EEkX51gWsLONtduvaalLyXw--cUsF_jagRKmpFQKn41lZSNAWuvkvoPEFiEnuacqro9cTCUTiuNT6RX9abdJ7GFHYGVvKTOT_jjO2S5X4-vCaK1ZfN-jntXBaq3BybSIQjmfEX7b-WRkuPgQGP72QZfE8VcR2A6i1nu-GjDwUtMNCrn1HKHSt1x61d6qYG5ZNjiuqM98h71yzdohdpA2Lkn1OqWEf8c8uMK3XXdSFa57EulCqlKxtgvHrvWcbq4lE6SPxEq_KN7uVS4AM883ogzfdrwM3Y7xiAo_P1I34v-vdB_UJNJKL8-bYDiKMhPSXhjbhiJEDdr-K9rScjYle2HsgRztM-lP_5BIKQ2kUewzSWEN1NqWj6G-gjnS_yLmI5OEWCZhe7BHa5GNIRuBC5lJyuV5JwZadwQ=w1119-h630-no

Mzee Ngombale Mwiru katika Khitma ya Kitwana Kondo
 
Back
Top Bottom