KILWA KWETU
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 249
- 137
Ondoa picha
Ondoa picha
Makubwa hayaHujasema alivyokushika mkono Na kupewa Nssf baada ya kufukuzwa kazi bandari,pia hujaeleza uhusiano wako Na binti alokuwa analelewa Na kk baada ya baba take kufariki Na kk kumchukua make wa marehemu Na watoto wake ETI kuwalea,Na we we kwa kwendakwenda kwa kk ukamtamani huyo binti Na kumtaka kimapenzi bila aibu kuwa una mke.naishia hapo
Mkuu watu waliolishwa sumu ya dini kisa mke wakihamia Uislam huwa na Tabia safi za upendo za Ukristo wao na hawawezi kuwa kama fanatic Muslims trust me...Muslim by artificially..haa haaa..bro una mbwembwe!!
Hapa napita tu-sijaelewa kituSundiata Keita hilo jina kubwa sana naomba kulisalimu kabla sijakujibu.
Uchaguzi wa jina lako hapa tu umekukuza na kukuweka juu sana.
Aliyesoma historia ya Afrika Mashariki na Mali ya enzi hizo atajua. Heshima kwa Mansa Ibrahim na Mansa Mussa.
Mapungufu yako nayapunguza ma mazidifu yako nayazidisha.
Hicho kitabu ndugu yangu ninacho katika maktaba yangu ndani hapa nyumbani na sikumbuki kama nina soft copy, lakini naomba muda kidogo niangalie soft copy repository yangu kwa sababu nina kama 60 terabytes za audio visual (8ncluding epub, pdf and mobi books) kwa hesabu za haraka.
Nimeshapata maombi kadhaa kuhusu vitabu na kama tunaweza kuwasiliana zaidi kuhusu vitabu kupitia email yangu ya al.watan@gmx.net
Al.watan@gmx.net.
Mpagani was kiarabu weye kisha unajitia umefunga. Labda umebadirisha ratiba ya mlo tuMbuzi mkubwa Wewe, kisa cha Ku quote maneno yote hayo ni ili iweje tumia akili kuliko kutumia makalio.
Ambacho hujaelewa ni kipi ndugu yangu?Hapa napita tu-sijaelewa kitu
Hapana,ni hiyo maktaba yako,sijui ma terrabytes,audio visuals etc etc kana kwamba storage chambers za CIAAmbacho hujaelewa ni kipi ndugu yangu?
Hujawahi kusikia kuhusu historia ya Sundiata Keita katika historia ya dunia hii?
Hujapata kumsikia Kitwana Selemani Kondo katika historia ya Jiji la Dar-es-salaam?
Ni vijimambo tuu.Hapana,ni hiyo maktaba yako,sijui ma terrabytes,audio visuals etc etc kana kwamba storage chambers za CIA
Mmmmmm!!!
Uislam sio mgumu kiasi cha Wewe kufanya upuuzi na uachweMpagani was kiarabu weye kisha unajitia umefunga. Labda umebadirisha ratiba ya mlo tu
Ondoa picha
Tatizo sheikh,ni kwamba watu ambao ni irrelevant unawapaisha sanaIngia hapo chini ninamzungumza Rashid Ali Meli aliyechukua fedha za Dar es Salaam
Municipal Council kumpa Idd Faiz Mafungo (aliyekuwa mweka hazina wa Al Jamiatul
Islamiyya na TANU) ili kutunisha mfuko wa safari ya kwanza ya Nyerere UNO 1955.
Ali Meli alikuwa mtunza fedha wa Dar es Salaam Municipal Council.
Huyu kachero alikuwa ndiye Secretary wa Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika.
Kwa nafasi hii yake na kwa kuwa alikuwa katika viongozi wa juu wa TANU hakuna
kilichokuwa kinampita.
Hakuna wasiwasi alijua hata hili la Ali Meli kutoa fedha za serikali kuzileta TANU ili
kumsafirisha Nyerere, New York.
Hapo chini nakieleza kisa cha Ali Meli ambae kwa vyovyote vile alisalitiwa na kachero
huyu kwa Waingereza.
Jackline1,Tatizo sheikh,ni kwamba watu ambao ni irrelevant unawapaisha sana
Yupo segerea,huna habari?Huyu mjahidina mwizi hajarudishwa nyumbani kujibu tuhuma za ufisadi pale nssf?
sitaki kujibizana na gaidiUislam sio mgumu kiasi cha Wewe kufanya upuuzi na uachwe