Dr. Ramadhan Dau aunguruma darajani Kigamboni

Ila siasa ni mchezo uliojaa unafiki sana.
 
Hili swala limegeuka kuwa la kidini [emoji36] [emoji36] [emoji36]
 

Inawezekana pia Mmiliki wa Newcastle pia kaitwa na katambulishwa na Rais kwa kutoa Mchango mkubwa sana wa ujenzi wa daraja hilo wakati hii huo tunaambiwa alikuwa anamruka Magufuli wakati wa ujenzi?
 
Magufuli anasema siwez kuongea bila kumwita mtu alietoa mchango mkubwa kabisa katika daraja hiliii.

Hebu Dr Dau Njoo hapa mara mojaaa uongee kidogoo....
Haijalishi lakini kama kuna ishu ya kutumbuliwa jipu atatumbuliwa tu. Magufuli huwaga anasmile lakini mwisho wa siku kama kweli huyu jamaa ni fisadi kama wanavyo sema atatumbuliwa tu.
 
Hv huyu bwana ana wake wangapi hapa jukwaani? Haiingii akilini kila ukifungua jukwaa unakuta kuna mada inamhusu,magu angemwondoa kabisa kwenye serikali,hii sasa kero
Hahaha kuna watu una watufta apo ngoja waje
 
Kinachonishangaza ni kuwa suala la Dau ni kama linachukuliwa kwa mrengo wa dini hivi..
Mi nafikiri kama ametenda vyema apongezwe kama kavurunda aadhibiwe lakini sio kwa kigezo cha dini yake.
 
Hv huyu bwana ana wake wangapi hapa jukwaani? Haiingii akilini kila ukifungua jukwaa unakuta kuna mada inamhusu,magu angemwondoa kabisa kwenye serikali,hii sasa kero
Teh teh teh nasikia ilipangwa leo na mh.waziri Fulani jamaa asitambulishwe kwenye uzinduzi ikabidi mh.rais aingilie kati.amewafanyaje mbona mnamchukia sana.?
 
Hivi kumbe hili ni daraja lake!!!?
Hizi pesa zote alizipata wapi za kujenga daraja kama hili? Na ni kwa nini aliamua kujiongezea gharama kwa zaidi ya billiion 100 ambazo zinaweza kujenga daraja na nyongeza ya jengo jipya kama la TPA!?
Swali lako kalijibu Rais katika hotuba yake. Kasema gharama ziliongezeka kutokana na kutitia kwa kitanda cha bahari na kutokea kwa korongo la karibu mara mbili ya urefu walioukadiria hivyo gharama lazima iongezeke.
 
Hili swala la Dau kwanini mnaligeuza kama vita ya kidini?

Dau ni mtanzania mwenzetu na ameitumikia nchi yake vema...

Acheni kuchochea udini...
Ametumikia nchi yake vema,anatuhumiwa kuwa na utajiri wa 100 bilioni!!!!!
Tanzania vituko na maajabu havita kwisha
 
Hivi kumbe hili ni daraja lake!!!?
Hizi pesa zote alizipata wapi za kujenga daraja kama hili? Na ni kwa nini aliamua kujiongezea gharama kwa zaidi ya billiion 100 ambazo zinaweza kujenga daraja na nyongeza ya jengo jipya kama la TPA!?
Hao ndio vijana wa ccm ambao sasa utawala umeamua kuwazawadia kibarua cha udc
 
Dr.Magufuli
Dr.Dau
Dr.Kikwete

Mimi nawashkuru sana kwa kutuletea Daraja Hili La Mtukufu Julius Nyerere..
Mungu wabariki Viongozi hawa..
Mmoja wao hakuifanyia kazi.
 
Dr Dau na Dr Magufuli leo mmeweka historia kubwaa...wazandiki wamejinyea leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…