Haya bwana, tuishie hapo maana ukienda kumuuliza Ombeni atakwambia 'ni maelekezo kutoka juu' na unajua kuna sheria inayozuia kuhoji chochote hiyo ngazi ya juu hata kama ni kwa ajili ya kujifunza, hivyo sitaki kuvunja sheria!swali kama hili kamuulize balozi Ombeni ndie mwenye jibu zuuuuri zaidi ya dr. Dau
Nimesikiliza voice note ambayo Dau katamka kuwa anamshukuru mheshimiwa raisi kwa kutambua uwepo wake cause hata kwenye ratiba alikuwa hajawekwa na hivyo alikuwa hajajiandaa kwa speech!
Nani atulie? Wasio tulia ni hao walio ishi kwa kula fadhila zake kina pangu pakavu tia mchuzi,ndio ukape ushauri huo.Ndo mtulie sasa siyo kila mkiamka mnamuanzishia Uzi.
By the way maisha yenyewe ni mafupi.Yu wapi Nyerere wa Butiama.
Prof Ngongo,Kikwete alimyanyua Mramba mkono kule Rombo akawaomba wapiga kura wamrejeshe jembe lake baada ya muda akamfunga siku hizi nasikia anafanya usafi Mwananyamala hospital.
Halafu Ustaadhi Mohamed Said kanichanganya kweli kweli katuaminisha daraja la Kigamboni ni daraja la Dau leo Dr Majipu kalibatiza rasmi daraja la Mwl Nyerere mtu kutoka bara asiyejua kula chapati wala kufunga tai kafunzwa na wazee wa Kariakoo leo kila kitu kizuri kinaitwa kwa jina lake na kuwaacha wazee wetu wa Dar es Salaam bila hadhi wala kumbukumbu wakati jiji hili lao.Mzee Mohamed Said anatuchanganya sana sijui tumfuate nani sasa duh vyovyote mimi nitaliita daraja la Dau potelea mbali ubwabwa na juice za NSSF zimetutia upofu.
Hivi kumbe kupiga picha na rais mkatoliki kuna hadhi yake eeh? Yaani hadi watu wanaianzishia thread!
Dream Boy,Kumtegemea mtu akufanikishie mambo yako ni shiriki. Na dhambi kubwa Mungu anahekima yake kwa binadamu. Mnashangaa Dau kutokukumbukwa katika uzinduzi wa daraja alolisimamia, mbona hamkumbuki hata Uhuru wa Tanganyika mambo ni hayohayo ,kikubwa hilo daraja watakuwa wanapita viumbe wake Mwenyemungu waovu na wachamungu. By the way maisha yenyewe ni mafupi.Yu wapi Nyerere wa Butiama.
Tena mkumbushe profesa Ngongo ni ripoti ile inayomnukuu korokoroni.
Pantoni bado lipo weweMie mkazi wa Kigamboni hapa nilipo kichwa kinaniuma nikifiria kama nitaweza kumudu kuvusha kitoyota corolla DX changu hapo darajani, maana hizo gharama za ujenzi na hiyo mishahara ya watendaji wote hapo yooote nitabeba mie,duh!
Hujamsoma THE BIG SHOW? RUDIA:
Magufuli anasema siwez kuongea bila kumwita mtu alietoa mchango mkubwa kabisa katika daraja hiliii.
Hebu Dr Dau Njoo hapa mara mojaaa uongee kidogoo....
Teh teh teh Magufuli kawaweza kweli leo ..Nani atulie? Wasio tulia ni hao walio ishi kwa kula fadhila zake kina pangu pakavu tia mchuzi,ndio ukape ushauri huo.
heshima yako Njiwa nimekustudy sana humu. Licha ya umri wako mdogo u told me u r on ur late 20s. Haupurupuki
Ngongo,Kikwete alimyanyua Mramba mkono kule Rombo akawaomba wapiga kura wamrejeshe jembe lake baada ya muda akamfunga siku hizi nasikia anafanya usafi Mwananyamala hospital.
Halafu Ustaadhi Mohamed Said kanichanganya kweli kweli katuaminisha daraja la Kigamboni ni daraja la Dau leo Dr Majipu kalibatiza rasmi daraja la Mwl Nyerere mtu kutoka bara asiyejua kula chapati wala kufunga tai kafunzwa na wazee wa Kariakoo leo kila kitu kizuri kinaitwa kwa jina lake na kuwaacha wazee wetu wa Dar es Salaam bila hadhi wala kumbukumbu wakati jiji hili lao.Mzee Mohamed Said anatuchanganya sana sijui tumfuate nani sasa duh vyovyote mimi nitaliita daraja la Dau potelea mbali ubwabwa na juice za NSSF zimetutia upofu.
Hivi wameisikia hiyo "Bismillahi" aliyoanza nayo. Sitaki ugomvi na mtu.Haya wale wenye roho ya husda angalieni kiduchu hii matumbo ya kuhara yawakate.