\Habari za uhakika na zimethibitishwa na Mwigulu Nchemba mbele ya mkutano wa hadhara Nkinga leo jioni.Kuwa Dr Dalaly Kafumu amepata ajali mbaya maeneo ya kijiji cha Mwisi,amelazwa hapa Nkinga hospital ameumia kichwani.Nchemba amehusisha ajali hiyo na imani za kishirikina kuwa ni uchawi wa Cdm uliosababisha ajali hiyo.
Biblia inasema: Usimwache mchawi akaishi, ijapokuwa yeye ni mchumi wa daraja la kwanza, ijapokuwa historia yake aliwahi kufanya kazi BOT na sasa wana Iramba wamemtuma bungeni nawaombea CCM WOTE WAKA REST ON FIRE!
Habari za uhakika na zimethibitishwa na Mwigulu Nchemba mbele ya mkutano wa hadhara Nkinga leo jioni.Kuwa Dr Dalaly Kafumu amepata ajali mbaya maeneo ya kijiji cha Mwisi,amelazwa hapa Nkinga hospital ameumia kichwani.
Nchemba amehusisha ajali hiyo na imani za kishirikina kuwa ni uchawi wa Cdm uliosababisha ajali hiyo
Hapo kwenye red! Sijui nani anawachaguaga viongozi wasio na fikira kama huyu anayetamka vitu ambavyo haiwaingii Watanzania hata punje!
ccm ni zigo kwa Taifa letu jamani!
Habari za uhakika na zimethibitishwa na Mwigulu Nchemba mbele ya mkutano wa hadhara Nkinga leo jioni.Kuwa Dr Dalaly Kafumu amepata ajali mbaya maeneo ya kijiji cha Mwisi,amelazwa hapa Nkinga hospital ameumia kichwani.Nchemba amehusisha ajali hiyo na imani za kishirikina kuwa ni uchawi wa Cdm uliosababisha ajali hiyo.
Habari za uhakika na zimethibitishwa na Mwigulu Nchemba mbele ya mkutano wa hadhara Nkinga leo jioni.Kuwa Dr Dalaly Kafumu amepata ajali mbaya maeneo ya kijiji cha Mwisi,amelazwa hapa Nkinga hospital ameumia kichwani.Nchemba amehusisha ajali hiyo na imani za kishirikina kuwa ni uchawi wa Cdm uliosababisha ajali hiyo.
biblia imeandikwa mahala fulani kuwa "usimuache mwanamke mchawi kuishi"
maneno haya aliambiwa nabii Musa.
Hata mfumko wa bei na yale mamilioni yalioko Uswisi yamesababshwa na uchawi wa CDM.Habari za uhakika na zimethibitishwa na Mwigulu Nchemba mbele ya mkutano wa hadhara Nkinga leo jioni.Kuwa Dr Dalaly Kafumu amepata ajali mbaya maeneo ya kijiji cha Mwisi,amelazwa hapa Nkinga hospital ameumia kichwani.Nchemba amehusisha ajali hiyo na imani za kishirikina kuwa ni uchawi wa Cdm uliosababisha ajali hiyo.
KWANI WENYE UWEZO WA KUROGA NI CHADEMA TU? Huyu jamaa ni KILAZA SANA, MASHAVU YAKE!Habari za uhakika na zimethibitishwa na Mwigulu Nchemba mbele ya mkutano wa hadhara Nkinga leo jioni.
Kuwa Dr Dalaly Kafumu amepata ajali mbaya maeneo ya kijiji cha Mwisi, amelazwa hapa Nkinga hospital ameumia kichwani.
Nchemba amehusisha ajali hiyo na imani za kishirikina kuwa ni uchawi wa Cdm uliosababisha ajali hiyo.