Huyo jamaani mtu mwenye sifa vibaya mnoNamzungumzia dr wa binadamu Gynocologist ngwale aliyewahi kukaimu ukurugenzi hospital ya taifa muhimbili miaka iliyopita kidogo. nimeuliza kwa sababu kila alipo rais magu naye yupo pembeni anafanya kazi gani ikulu ?kazi ya kitabibu au ?
Haya muungwana lakini sikumbuki kusikia kuna kitengo kinacho husiana na taaluma ya huyo mheshimiwa.Si umesema ni gynaecologist, sasa unataka afanye kazi gani nyingine pale Ikulu? Kumbuka ikulu ni tasisi kubwa.
Hao unaowasema huwa hawaonekani ovyo ovyo. Huyo ni doctor mwandamizi. Kuwa ame specialise gynaecology haimaanishi hawezi kutibu magonjwa mengine kwa ufanisi mkubwa au kuongoza timu ya madaktari wa ikulu au kuwa mshauri wa ikulu kwa masuala ya huduma za afya nchini.Swali lako ni zuri lakini vile vile ingekuwa vizuri ukafahamu sifa ya kijasusi.
Moja ya sifa ya kijasusi ni kuwa competent kwenya fani zaidi ya moja!
Usishangae sana, hizi ni taratibu na kanuni za maisha ndani ya taasisi nyeti za nchi.
kuna dr aliyeteuliwa kama dr wa rais I know ,huyu by professional ni dr wa kina mama ,naamini anafanya kazi isiyo ya udaktari pale so I want to know
Pengine amerudia kwenye fani yake ya zamani!dr wa rais namfahamu ,jamani huyu ni dr wa kina mama
Hawaonekani hovyo hovyo kwa maana gani? Hufahamu kama kuna wachungaji au maaskofu ambao ni majasisu.Hao unaowasema huwa hawaonekani ovyo ovyo. Huyo ni doctor mwandamizi. Kuwa ame specialise gynaecology haimaanishi hawezi kutibu magonjwa mengine kwa ufanisi mkubwa au kuongoza timu ya madaktari wa ikulu au kuwa mshauri wa ikulu kwa masuala ya huduma za afya nchini.
I guess ni daktari wa Mhe Raisi Magufuli.Namzungumzia dr wa binadamu Gynocologist ngwale aliyewahi kukaimu ukurugenzi hospital ya taifa muhimbili miaka iliyopita kidogo. nimeuliza kwa sababu kila alipo rais magu naye yupo pembeni anafanya kazi gani ikulu ?kazi ya kitabibu au ?
Nani aliyesema kuwa Gynecologist ni daktari wa kina mama?aaaah kumuona always na magu while I know yeye ni dr wa kina mama Napata shaka kama anatumika kama dr
Ukisema hivyo utauliza mbona magu naye ni mwalimu, anafanya nini ikulu. Ikulu ni taasisi kubwa na pia usione ukadhani
Nina ndugu yangu wa karibu sana... alikuwa Usalama wa Taifa, ila hakuna aliejua hata mke wake mpaka mauti ilipomfika (may his soul rest in peace)..Namzungumzia dr wa binadamu Gynocologist ngwale aliyewahi kukaimu ukurugenzi hospital ya taifa muhimbili miaka iliyopita kidogo. nimeuliza kwa sababu kila alipo rais magu naye yupo pembeni anafanya kazi gani ikulu ?kazi ya kitabibu au ?
Du, JF kuna raha. Gynecologist ni dakitari wa wanaume?Nani aliyesema kuwa Gynecologist ni daktari wa kina mama?
Unamsema yule proph,ndugu yao kina Singili na kitwanga?Kweli Magufuli alikuwepoNina ndugu yangu wa karibu sana... alikuwa Usalama wa Taifa, ila hakuna aliejua hata mke wake mpaka mauti ilipomfika (may his soul rest in peace)..
Alikuwa ni daktari wa magonjwa ya Binadamu pia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Hivyo, nahisi huyu pia anaweza akawa pia.
Back in the days alikuwa( huyu ndugu yangu) ni rafiki wa karibu wa Magufuli kipindi alipokuwa waziri. Alipofariki Magufuli alikuwepo kwenye mazishi, Kwahiyo nadhani lazima kutakuwa kuna connecting dots between Magufuli na Dr. Ngwale urafiki wao haujaanza 2016.
dr wa rais namfahamu ,jamani huyu ni dr wa kina mama
Acha kuwa juha daktari wa magonjwa ya kina mama na Watoto awe daktari wa raisi anaekaribia uzee!? Unajua acheni kujidai mnajua! Muuliza Swali yuko sahihi! Kama hujui jibu unajibaraguza nini!? Tuache umuch know ambao hauna maana! Hujui kitu kuhusu mada tajwa KAA KIMYARais ni binadamu tena anaelekea mzee, hivyo ni jambo la kawaida kuwa na Daktari jirani.
Kama kuna matatizo yanayozuilika ni bora yakazuiwa kuliko kuyaacha na baadae yakaleta gumzo na kumwathiri Rais kisaikolojia.