Dr. Ngwale ni nani katika serikali ya Magufuli

Namzungumzia dr wa binadamu Gynocologist ngwale aliyewahi kukaimu ukurugenzi hospital ya taifa muhimbili miaka iliyopita kidogo. nimeuliza kwa sababu kila alipo rais magu naye yupo pembeni anafanya kazi gani ikulu ?kazi ya kitabibu au ?
Huyo jamaani mtu mwenye sifa vibaya mno
 
Swali lako ni zuri lakini vile vile ingekuwa vizuri ukafahamu sifa ya kijasusi.

Moja ya sifa ya kijasusi ni kuwa competent kwenya fani zaidi ya moja!

Usishangae sana, hizi ni taratibu na kanuni za maisha ndani ya taasisi nyeti za nchi.
Hao unaowasema huwa hawaonekani ovyo ovyo. Huyo ni doctor mwandamizi. Kuwa ame specialise gynaecology haimaanishi hawezi kutibu magonjwa mengine kwa ufanisi mkubwa au kuongoza timu ya madaktari wa ikulu au kuwa mshauri wa ikulu kwa masuala ya huduma za afya nchini.
 
Ikulu anaweza kuwepo yoyote yule anaekubalika na raisi, sio lazima kila unaemuona ikulu ujue kazi yake. Kuhusu huyu dr sijui anahusika na nini?
 
kuna dr aliyeteuliwa kama dr wa rais I know ,huyu by professional ni dr wa kina mama ,naamini anafanya kazi isiyo ya udaktari pale so I want to know

Rais anakuwa na daktari mmoja tu, vipi huyo daktari naye akiugua? Na nani anayeteua daktari, mgonjwa mwenyewe ana sauti katika mchakato wa kumpata daktari wake? Nauliz tu...
 
Mwinyi Dr wake alikuwa Prof Mtulia, Mzee Mkapa alikuwa Lwakatare, Kikwete lwakatare/Janabi?? Magu=....mhhhh siwezi kuunganisha
 
Huyo ni ''Son of a peasant who turned to be among city tycoons''

Shida yako ni nini hapa mleta mada??
 
Huyo ni ''Son of a peasant who turned to be among city tycoons''

Shida yako ni nini hapa mleta mada??
aaaah kumuona always na magu while I know yeye ni dr wa kina mama Napata shaka kama anatumika kama dr
 
Hao unaowasema huwa hawaonekani ovyo ovyo. Huyo ni doctor mwandamizi. Kuwa ame specialise gynaecology haimaanishi hawezi kutibu magonjwa mengine kwa ufanisi mkubwa au kuongoza timu ya madaktari wa ikulu au kuwa mshauri wa ikulu kwa masuala ya huduma za afya nchini.
Hawaonekani hovyo hovyo kwa maana gani? Hufahamu kama kuna wachungaji au maaskofu ambao ni majasisu.

Mimi nimemsaidia muuliza swali kwa sababu yeye anadhani akimuona fulani anatibu wagonjwa kwenye hospitali ya Jeshi basi huyo ni daktari tu na hana fani nyingine zaidi ya udaktari.

Una haki ya kukubali au kupinga comment yangu kwa sababu nilichofanya ni kutoa dokezo tu.
 
Namzungumzia dr wa binadamu Gynocologist ngwale aliyewahi kukaimu ukurugenzi hospital ya taifa muhimbili miaka iliyopita kidogo. nimeuliza kwa sababu kila alipo rais magu naye yupo pembeni anafanya kazi gani ikulu ?kazi ya kitabibu au ?
I guess ni daktari wa Mhe Raisi Magufuli.
 
Ukisema hivyo utauliza mbona magu naye ni mwalimu, anafanya nini ikulu. Ikulu ni taasisi kubwa na pia usione ukadhani

Mwambie hata Balazi KIjazi ni Engineer, anafanya nini pale Ikulu?
 
Namzungumzia dr wa binadamu Gynocologist ngwale aliyewahi kukaimu ukurugenzi hospital ya taifa muhimbili miaka iliyopita kidogo. nimeuliza kwa sababu kila alipo rais magu naye yupo pembeni anafanya kazi gani ikulu ?kazi ya kitabibu au ?
Nina ndugu yangu wa karibu sana... alikuwa Usalama wa Taifa, ila hakuna aliejua hata mke wake mpaka mauti ilipomfika (may his soul rest in peace)..

Alikuwa ni daktari wa magonjwa ya Binadamu pia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Hivyo, nahisi huyu pia anaweza akawa pia.

Back in the days alikuwa( huyu ndugu yangu) ni rafiki wa karibu wa Magufuli kipindi alipokuwa waziri. Alipofariki Magufuli alikuwepo kwenye mazishi, Kwahiyo nadhani lazima kutakuwa kuna connecting dots between Magufuli na Dr. Ngwale urafiki wao haujaanza 2016.
 
Huyo ni secret intelligence agent wa rais! Ndio maana sisi tunadhani yeye ni dk wa rais kumbe yupo kiusalama zaidi!
 
Nina ndugu yangu wa karibu sana... alikuwa Usalama wa Taifa, ila hakuna aliejua hata mke wake mpaka mauti ilipomfika (may his soul rest in peace)..

Alikuwa ni daktari wa magonjwa ya Binadamu pia katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Hivyo, nahisi huyu pia anaweza akawa pia.

Back in the days alikuwa( huyu ndugu yangu) ni rafiki wa karibu wa Magufuli kipindi alipokuwa waziri. Alipofariki Magufuli alikuwepo kwenye mazishi, Kwahiyo nadhani lazima kutakuwa kuna connecting dots between Magufuli na Dr. Ngwale urafiki wao haujaanza 2016.
Unamsema yule proph,ndugu yao kina Singili na kitwanga?Kweli Magufuli alikuwepo
 
Rais ni binadamu tena anaelekea mzee, hivyo ni jambo la kawaida kuwa na Daktari jirani.

Kama kuna matatizo yanayozuilika ni bora yakazuiwa kuliko kuyaacha na baadae yakaleta gumzo na kumwathiri Rais kisaikolojia.
Acha kuwa juha daktari wa magonjwa ya kina mama na Watoto awe daktari wa raisi anaekaribia uzee!? Unajua acheni kujidai mnajua! Muuliza Swali yuko sahihi! Kama hujui jibu unajibaraguza nini!? Tuache umuch know ambao hauna maana! Hujui kitu kuhusu mada tajwa KAA KIMYA
 
Back
Top Bottom